Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Mwanaume tangu lin anapendwa? Kwa kipi? Ili iweje? Tunaweka tyuuh sawa muungano ili watoto wasihangaike na familia kuyumba baasi.
Na Kuna wanawake wanapenda wanaume makapuku na kuwavumilia Mimi siwezi kwa kweli, mtu hamna anachokupa na stress akupe Tena kah.
Moyo sukuma damu tu ndio kazi yako
 
Hata elfu moja naweza kuwa nao, papuchi yangu siihurumii maana hyo ndio kazi yake kubwa iliyofanya nikazaliwa mwanamke. Hata nikiwa na wababa kumi sijali as long as wamenipa mbegu sijali kabisa Hilo. Kwanini nizae na mtu mmoja na ili iweje lazima nichaganye damu tofauti tofauti, sio kuzaa na baba mmoja baba akiwa kilazs na mtoto anaridhi ubovu wa babake Nani anataka hyo kitu. Lazima nitafte mbegu nzuri tofauti tofauti ili nipate watoto wazuri
Naomba tuzae mtoto 1
 
Kwan mnajuga bas, mie nikipaka mhita kweny nyapu, wee ukaja na dushe lako kuchovya ndo imetoka mazima hiyoooh, unakuwa msukule wangu tyuuuh. Nakuendesha nitakavyo
Apa nimenyosha mikono [emoji119][emoji119][emoji119]master plan, ila ukifikisha above 30+ nao hupotea wa kutongoza ata wa Jf nao huisha itabidi utie juhudi za kumtafuta anase kwenye mtego
 
Sasa afanye kinachompa faraja hyo ya usawa hata kuzimu hamna usawa sembuse swala la kujipa furaha
kinachompa furaha ni huyo mmewe,Sasa akijidanganya naye kugawa nje ajue ndo imeisha hiyo,
 
Na Kuna wanawake wanapenda wanaume makapuku na kuwavumilia Mimi siwezi kwa kweli, mtu hamna anachokupa na stress akupe Tena kah.
Moyo sukuma damu tu ndio kazi yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi baas, kweli bhana na sio kusukuma maumivi na mateso khaaaaaj
 
Apa nimenyosha mikono [emoji119][emoji119][emoji119]master plan, ila ukifikisha above 30+ nao hupotea wa kutongoza ata wa Jf nao huisha itabidi utie juhudi za kumtafuta anase kwenye mtego
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] story tyuuuh dea, sipendi kutumia mlango wa giza ktk ndoa,
Mie km kuumiza naumiza kavu kavu, huku muhusika anayasikiliza maumivu na mateso kwa kuona live ile enyewe yaaan.
 
Mwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.

Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo am greatfull for. Tuliishi kwa upendo,furaha na amani hadi miezi 8 ilopita nilipogundua kuwa nilivyomdhania mume wangu sivyo alivyo.

Kwakuwa nampenda na kumfahamu sana mume wangu, kuna kitu nilikuwa tu nakihisi hakiko sawa kwa muda. Baadae nikagundua he was cheating. Yaani sitaki kuelezea mstuko niloupata na jinsi ninaumia jamani. Japo aliomba sana msamaha and all that ila moyo wangu umekufa ganzi wapendwa.

Mume nilompenda sana kwasasa namuona kama jirani yangu tu, hata hamu nae sina kabisa na hata tendo la ndoa ni kama ananibaka tu. Tushaongea sana, tushakwenda hadi vacation sie wawili tu ila sioni kinachobadilika. Akisafiri kikazi au mimi nikisafiri najisikia amani zaidi and i dont miss him kabisa.

Kuna wakati nilimuomba some alone time nifikirie kuhusu mustakabali wa hii ndoa, alinipa huo muda na kwa kipindi hicho cha wiki moja kichwani mwangu nilishangaa kunazunguka watoto wetu tu na sio mume wangu. Sijamueleza mtu yeyote kuhusu hili hata mama yangu wala mshenga wetu ila linanitafuna hatari.

Wenzangu mnawezaje kusamehe wanaume wanaowacheat na kurudi katika hali zenu za kawaida? Maana mie kwasasa mume wangu namuonaje sijui, nae naona hali hii inamtesa ila ndio hivyo tena[emoji134]
Sijisikii kumpenda wala kumheshimu tena, naona kama hadeserve kwa kutokuithamini na kuivuruga ndoa yetu.
Sisi wanaume kutoka nikawaida ila inabidi tusisahau familia lakin ukitegemea kupata mwanaume asiye na mpango wa kando labda uende sayari nyingine
 
Wanawake mtusamehe sisi kutoka nilazima ispokuwa tusisahau familia zetu ukitaka asiye nampango wa kando labda uende sayari nyingine
 
Mambo mengine huwa minaona kama ni upuuzi tu, siumwambie muachane ili uishi kwa amani na kuyatengeneza maisha yako kama single parent....
Alafu nimejikuta napata hasira tu jinsi ulivyo na mwanaume boya kabisa...[emoji3525]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] story tyuuuh dea, sipendi kutumia mlango wa giza ktk ndoa,
Mie km kuumiza naumiza kavu kavu, huku muhusika anayasikiliza maumivu na mateso kwa kuona live ile enyewe yaaan.
Mfalijini mwanamke mwezenu asije akawa kama umom
(Mke 1 hulemaza akili. jokes jmn)
 
"sisi wanume wote" is such a strong word. Things are not the same and i dont think they will ever be. Kama unaelewa maana ya ndoa lakini.
Mkuu, ebu usiichukulie ndoa kama vile kitu cha ajabu sana.......
Ndoa ni ndoa, na tabia za huyo mume wako hazina mahusiano na ndoa kabisa.
Na kwajinsi nilivyo yasoma maelezo yako, nimegundua wewe ni aina ya eanawake wajeuri sana tena asie na mnyenyekevu kwa mume wake.
Ebu vunja hiyo ndoa nyar'gi ng'ato
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hafu tukishazaa maana Mimi sipendi kufungwa fungwa na kubanwa banwa kwenye maisha napenda Uhuru mie
Mimi tutakuwa tunaangalia familia mambo yako siingilii wala kufwatilia
 
Mkuu kwanza nikupe pole kwa mkasa uliokukuta lakini nikupongeze kwa nia yako ya kutafuta ushauri wa kuhitaji kuendelea na ndoa yako pamoja na yote yaliyojiri.

Nimeona katika baadhi ya comment watu wamechangia kwa namna mbalimbali, nami nimewiwa kusema jambo.

Binafsi nitajikita kwenye ushauri wa kiroho. Kwanza kabisa ndoa ni jambo jema mbele za Mungu na katika biblia imeandikwa apataye mke apata kitu chema naye hujipatia kibali mbele za bwana(mithali 18:22).

Kama ilivyo kawaida ya shetani daima hujaribu kuvuruga mipango ya Mungu juu ya wanadamu naye hutumia njia mbalimbali moja wapo na ambayo ni kubwa zaidi ikiwa ni ndoa. Kwa nini ndoa? Ndoa ndio chanzo cha familia (nuclear family) hivyo akivuruga ndoa mambo mengine automatically yatavurugika kwenye uzao wote unao fatia, ana deal na source.

Yawezekana hajaanzia hapo kwenye ndoa yako, ukitaka kujua hilo tazama status za ndoa za dada zako, kaka, ndugu wengine upande wa mama na baba kwa ujumla unaweza kubaini something in common (yaani kuna matukio yanayojirudia over time katika ndoa za family au ukoo fulani) na kama ni hivo basi kinachotokea kwako ni muendelezo tu wa kile shetani alichokijenga way back kwenye ukoo husika. Kama ndio inaanzia kwako basi unahitaji kufanya jambo kunusuru vizazi vijavyo.

Msingi wa maelezo yangu hapo juu ni kutaka kukushauri kumkabidhi Mungu hii battle badala ya kuanza kumlaumu ama kumchukia mme wako. Kumbuka pia shetani hutumia milango kama chuki, huzuni, majonzi, maumivu, kisasi nk ili kuujeruhi moyo wako. Na ukishajeruhiwa right away roho wa Mungu huondoka na roho ya shetani hukuingia na kuanza kukudrive crazy.

Usikae kimya na kusema haya ni majaribu, hapana hivi ni vishawishi. Na tofauti ya vishawishi na majaribu/mitihani ni hii:

Vishawishi(temptations) ni zile hila za shetani ambazo hukufanya umuasi Mungu na kutenda dhambi, nayo dhambi huzaa mauti (uharibifu) ambazo hututenga na uso wa Mungu (ambalo ndio kusudi kuu la shetani).

Majaribu/Mitihani (tests/trials) ni mambo ambayo Mungu humpitisha mtu ili kumpima imani, kumuimarisha ama amuandae na jambo la mbeleni. Hivyo majaribu ni kama kuchelewa kuoa/kuolewa, kuchelewa kupata mtoto ndoani nk nk ambayo hayazai dhambi na unapofaulu Mungu hukupa tuzo.

Kwa hiyo mkuu, mimi nikusihi usimhukumu mme wako, pamoja na yote samehe ili umshinde shetani, unapokuwa na chuki juu ya mtu fulani unaye umia ni wewe kwa kuwa chuki huishi ndani yako si kwa mchukiaye.

Kwa imani yako (sijui ni imani ipi) ila kwa maelezo yako nakuona ni mtu mwenye hofu ya Mungu, samehe kisha mtumainiye yeye na atakulindia ndoa yako, ubarikiwe sana mtu wa Mungu.
 
Wanawake wengi waliopo kwenye ndo sio rahisi kucheat compared to mens, ndio maana unakuta kuna wimbi la mabinti wana mahusiano na waume za watu and they are so proud of it, ni nadra sana kukuta mke wa mtu anacheat unless aamue kujichetua tu akili
wake za watu wengi tu wanachepuka
 
Back
Top Bottom