Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Mara nyingi inatokea waume kucheat .Kikubwa kwa wanaume kucheat ni TAMAA na si kuto mpenda mke . Msamehe, jitahidi tu kufanya namna ya kurudisha moyo.
 
[emoji23][emoji23]wewe wasema utakuwa na mawivu yako
Mimi wivu utakuja pale nione mtu kaja kakushika tako au analeta za kuleta na tena sio wivu hyo namfundisha adab chap tofaut na hapo mama ni dushe dushe ukitaka hlo ukiamka hlo maana mi ndo nachopendea uwe na dem ambae game ni uwakika na ushirikiano
 
kinachompa furaha ni huyo mmewe,Sasa akijidanganya naye kugawa nje ajue ndo imeisha hiyo,
A wapi Toka lini mtu akakupa furaha na huu ujinga wakusema flani ananipa raha ndio inaumiza watu. Mie hata mwanangu au ndugu yangu sitegemei anipe furaha, furaha na amani ni tunda la ndani la kwako mwenyewe
 
Ni hivi tu yeye hajakulia timing nzuri ya kukufumania usidhani we ndo uko safi...
 
Mimi wivu utakuja pale nione mtu kaja kakushika tako au analeta za kuleta na tena sio wivu hyo namfundisha adab chap tofaut na hapo mama ni dushe dushe ukitaka hlo ukiamka hlo maana mi ndo nachopendea uwe na dem ambae game ni uwakika na ushirikiano
Kwanini uone wivu na mkataba wetu ilikuwa kuzaa tu kila mtu a mind bussiness zake, Mimi sipendi mtu mwenye wivu nakunifatilia fatilia nyuma ka mkia iha maana hajiamini basi
 
Sio rahisi


Ila inabidi ufikirie kwa akili ya kihivi

Kati ya wanaume 10 wakiooa, 7 wanasaliti ndoa zao...

Sasa upo tyr kumuacha huyo?na km upo tyr,je utakuwa na mahusiano mengine?km ndio ujue unaweza kudondokea kwa cheater mwingine tena mwenye mapungufu zaid ya hayo

Ila unaweza kuachana nae km hutakuwa na mahusiano serious na mwanaume milele....yaani uwe chama la kuchovya chovya tu

Shangaa ungekuwa mwanaume ningekushauri umuache huyo mwanamke ni kwasababu wanawake waaminifu bado wapo wengi plus mwanamke akicheat hukue ata sumu atakunywesha
 
Mwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.

Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo am greatfull for. Tuliishi kwa upendo,furaha na amani hadi miezi 8 ilopita nilipogundua kuwa nilivyomdhania mume wangu sivyo alivyo.

Kwakuwa nampenda na kumfahamu sana mume wangu, kuna kitu nilikuwa tu nakihisi hakiko sawa kwa muda. Baadae nikagundua he was cheating. Yaani sitaki kuelezea mstuko niloupata na jinsi ninaumia jamani. Japo aliomba sana msamaha and all that ila moyo wangu umekufa ganzi wapendwa.

Mume nilompenda sana kwasasa namuona kama jirani yangu tu, hata hamu nae sina kabisa na hata tendo la ndoa ni kama ananibaka tu. Tushaongea sana, tushakwenda hadi vacation sie wawili tu ila sioni kinachobadilika. Akisafiri kikazi au mimi nikisafiri najisikia amani zaidi and i dont miss him kabisa.

Kuna wakati nilimuomba some alone time nifikirie kuhusu mustakabali wa hii ndoa, alinipa huo muda na kwa kipindi hicho cha wiki moja kichwani mwangu nilishangaa kunazunguka watoto wetu tu na sio mume wangu. Sijamueleza mtu yeyote kuhusu hili hata mama yangu wala mshenga wetu ila linanitafuna hatari.

Wenzangu mnawezaje kusamehe wanaume wanaowacheat na kurudi katika hali zenu za kawaida? Maana mie kwasasa mume wangu namuonaje sijui, nae naona hali hii inamtesa ila ndio hivyo tena[emoji134]
Sijisikii kumpenda wala kumheshimu tena, naona kama hadeserve kwa kutokuithamini na kuivuruga ndoa yetu.
Pole sana mkuu, jaribu kujipa moyo na umsamehe mmeo..mim ni mwanaume na nampenda sana mke wangu na pia sijawahi msaliti hata siku moja, lakin hisia za kupenda wanawake wengne zinakuja n najitahd tu kuzikwepa, amin mkuu, katika wanaume 10, 8 wanacheat, ni maumbile na haina maana hawapendi wake zao au wapo tayari kuwaacha! Mungu atusaidie

Sent from my SM-N910U using JamiiForums mobile app
 
Mmmmmh huyo umom mie sijaamin km kajiua kweli, maan hakuna taarifa za ushahidi.
Umomi ni muongo alikuwa anatafta Kiki tu yule inabidi apate tiba ya akili na anatokea huko Tarime ukute mibangi imemuathiri kichwa yake yule Mana kule bangi ni Kama sigara
 
Kwanini uone wivu na mkataba wetu ilikuwa kuzaa tu kila mtu a mind bussiness zake, Mimi sipendi mtu mwenye wivu nakunifatilia fatilia nyuma ka mkia iha maana hajiamini basi
Bas tuzae tu alaf kila mtu na hamsini zake
 
Imekuaje mpaka ukagundua????? Kama ulianza kupekua simu yake na kumfatilia bhasi pole maana hakika ulipata mwanaume anaejielewa akawa anakuheshimu na kukutunza na familia. Unashindwa kumsamehe akati hata mchepuko wake hujawahi kukupigia simu kukutukanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nenda hata kwa mama yako mzazi umwambie huo upuuuzi kuwa unavunja ndoa kisa mwanaume kacheat nasema Ukija kupata ambae Hacheat jua ni HANISIII NA HANAA HELAAA.

MWANAUME HAKUUMBIWA MWANAMKE MMOJA POLE SANA NA UMSAMEHE MUMEO
aisee
 
Back
Top Bottom