mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,093
- 4,925
Dada umejitathimini sababu za yye kucheat
Mkae muongeee
Mkae muongeee
Yaan kwa mtindo huu mtanyweshwa hadi damu za hedhi ili muwe mazuzu km sio mazezeta, [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Bebe usijali nita kucheat ila hutojua ndo raha ya ndoa sio ile ya wazi wazi.
Ila na nyie huwa mnatunyoosha sana mara libwata, mugoda, mara usiamshe mechi za ugenini dah
We tulia, atazunguka atachoka nae atatulia tuHakuna hiyooooh bhanaaah
Yaan kwa mtindo huu mtanyweshwa hadi damu za hedhi ili muwe mazuzu km sio mazezeta, [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Nikishajua kuna shida unadhan nitakula chakula Chako? thubutuYaan kwa mtindo huu mtanyweshwa hadi damu za hedhi ili muwe mazuzu km sio mazezeta, [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sawa tyuuuh Ili hali furaha na amani kajipatia mwenyewe, kwani shida nn aaaahWe tulia, atazunguka atachoka nae atatulia tu
Sijui labda nimekuwa sugu..[emoji23][emoji23][emoji23]wewe
Thubutu hujakutana na lile la kijijin tena OG, Mbna fedha zote mie ndo muweka hazina, chezea mitishamba ya asili weyeeeeeeh.Mbona tunakunywa sana tuu, unadhani utakuwa wa kwanza ww, utamiliki mwanaume wa kwako mwenyewe ambae ni maskini tuu na sio mwenye uwezo wa kati kwenda juuu
Watu wenye Imani ya kweli mmebakia wachache sana maana siku hizi pastors,manabii na mitume wanakula matunda ya bwana church.Sikubaliani na wewe hata kidogo!
Mtu mdanganyifu ni yule ambaye hana uhusiano na Mungu.
Mimi niliyemkabidhi Yesu maisha yangu siwezi kuwa na tabia hizo za kishetani, kamwe.
Kwa Yesu kuna raha sana jamani. "Asante Yesu kwa kuniokoa"
JESUS IS LORD!
Khaaaaaah hivi unajua mitishamba weyeeeeh? Kuwa mpoleeeh tyuuuh nakuambia wallahNikishajua kuna shida unadhan nitakula chakula Chako? thubutu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ambalo ata ndugu zake kuja hadi akuombe ruhusa, ilo ni kiboko na mm nalielewa maana nimeona watu wakinyooshwa naloThubutu hujakutana na lile la kijijin tena OG, Mbna fedha zote mie ndo muweka hazina, chezea mitishamba ya asili weyeeeeeeh.
Hata elfu moja naweza kuwa nao, papuchi yangu siihurumii maana hyo ndio kazi yake kubwa iliyofanya nikazaliwa mwanamke. Hata nikiwa na wababa kumi sijali as long as wamenipa mbegu sijali kabisa Hilo. Kwanini nizae na mtu mmoja na ili iweje lazima nichaganye damu tofauti tofauti, sio kuzaa na baba mmoja baba akiwa kilazs na mtoto anaridhi ubovu wa babake Nani anataka hyo kitu. Lazima nitafte mbegu nzuri tofauti tofauti ili nipate watoto wazuri[emoji1787][emoji1787]Utaachana na wangapi sasa????? Huionei huruma pu.. yako na wanao kila mmoja kuwa na baba yake kama watoto wa pakaa????
I wonder why ni sawaHahaha mkuu ila nyie kila mtoto kuwa na mama yake ni sawa tu siyo
Sisi wanawake tuwasamehe vile tumeambiwa kuumizwa na tuna mioyo jiwe wao ya nyama.Sanaaaaah kila mtu ana moyo was nyama unaohis maumivu.
Watoto wameanza kuwa yatima baada ya baba yao kibamia dinda kuhangaika huko nje, simshauri kumuacha mumewe ampige matukio mpaka apate depression afe kabisa ili awe huru kuji mwambafai mwambafai. Maana mkichitiwa huwa mnaumia sanaSasa Kama hataki kusamehe si avunje ndoa ili mumewe aumie zaidi?? Nyie mnamshauri njia ya kutaka kuwafanya watoto waishi yatima
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Mimi nitoe kwenye hilo kundi mkuu japo nachepuka mara moja moja tuHii inatokea , ila unapaswa kujua kuwa mwanaume yeyote aliye kamilika hanaga mwanamke mmoja hata awe rais wa nchi .
Kwahivyo unapaswa kumpenda tu mme wako na jua kuwa unaumia sana , ila hakuna namna nyingine!
Samahe maisha yaende mbele maana hautakuta mwanaume asiye toka nje ya ndoa sisi wanaume wote ndivyo tulivyo!
Mahusiano hamna kustaafu mzee Ni mwendo wa kula na kuliwa that's life. Mimi sivunji mahusiano kamwe na k mume humpati na huna Cha kufanya Tena nakuruhusu uone kabisa na Mimi niendelee na free life langu tulee tu watoto basi. Hyo ya kushare nenda huko nje na Mimi nifanye yanguHuu ndo ukweli mchungu labda aamue kustaafu mahusiano kitu ambacho hakiwezekani.
Wewe ni Mimi kabisa ujue hivi kwanini uumie mtu akitumia viungo vyake jamani, naona watu huwa tunajibebesha mizigo isiyo na lazima, na huwezi mpangia mtu mzima matumizi ya viungo vyake siku tukijua hivo maisha yatakuwa raha sanaSijui labda nimekuwa sugu..
Nina kiwango kidogo sana cha kujali na kuumia sababu ya Mtu..
Akaaaah hapa n jino kwa jino hadi kieleweke lolSisi wanawake tuwasamehe vile tumeambiwa kuumizwa na tuna mioyo jiwe wao ya nyama.
Hata baba yako mzazi anamwanamke nje utamuacha huyo halafu umapate malaika wa kua na ww tu mama mzazi ndio hua mmoja sio mwanamke angalia mambo muhimu kwenye ndoa yako anagimiza mengine muachie mwenyeweMwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.
Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo am greatfull for. Tuliishi kwa upendo,furaha na amani hadi miezi 8 ilopita nilipogundua kuwa nilivyomdhania mume wangu sivyo alivyo.
Kwakuwa nampenda na kumfahamu sana mume wangu, kuna kitu nilikuwa tu nakihisi hakiko sawa kwa muda. Baadae nikagundua he was cheating. Yaani sitaki kuelezea mstuko niloupata na jinsi ninaumia jamani. Japo aliomba sana msamaha and all that ila moyo wangu umekufa ganzi wapendwa.
Mume nilompenda sana kwasasa namuona kama jirani yangu tu, hata hamu nae sina kabisa na hata tendo la ndoa ni kama ananibaka tu. Tushaongea sana, tushakwenda hadi vacation sie wawili tu ila sioni kinachobadilika. Akisafiri kikazi au mimi nikisafiri najisikia amani zaidi and i dont miss him kabisa.
Kuna wakati nilimuomba some alone time nifikirie kuhusu mustakabali wa hii ndoa, alinipa huo muda na kwa kipindi hicho cha wiki moja kichwani mwangu nilishangaa kunazunguka watoto wetu tu na sio mume wangu. Sijamueleza mtu yeyote kuhusu hili hata mama yangu wala mshenga wetu ila linanitafuna hatari.
Wenzangu mnawezaje kusamehe wanaume wanaowacheat na kurudi katika hali zenu za kawaida? Maana mie kwasasa mume wangu namuonaje sijui, nae naona hali hii inamtesa ila ndio hivyo tena[emoji134]
Sijisikii kumpenda wala kumheshimu tena, naona kama hadeserve kwa kutokuithamini na kuivuruga ndoa yetu.