cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,698
Kuchepuka ni kuchepuka tu bila kujali jinsia ile pain unayo feel ni sawa na mkeo maana na yeye ni binadamu ana nyama Kama wewe ana hisia yeye sio jiwe useme halina feeling's hii tabia mbovu za kimfumo dume zinaumiza wanawake Sana, in short usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwingine Bora tu muachaneSisem Mwanaume achepuke, ila kuchepuka kwa Mwanaume ni tofaut kabisa na kuchepuka kwenu, you don't do sex for fun, au uongo???