Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanajidanganya sana! Na hapo ndipo naiona faida ya kuzaliwa mwanamke kwa sababu sisi wanawake kwetu ngono siyo kama chakula tofauti na hii jinsia nyingine iliyomsaliti Yesu wao kila wakati wanatamani wawe wananiliu hasa waafrika!

Mimi ndiyo maana mwanamke akiniambia eti she’s a sex addict huwa hainiingii akilini! Maana sisi hisia zetu ziko mbali na ni hadi ziwe stimulated!

So to my side I think i’m happier and better without sex and I can handle being single for the rest of my entire life. Come sun come rain.

Dogs are the best creatures ever. Very loving and selfless kwanza nashangaa kwanini wanasema wanaume wote ni mbwa yaani wanafananisha mbwa na vitu vya ajabu wanawaonea sana mbwa jamani that is so unfair.
Ww fuga mbwa wenzako waanzishe familia
 
Wanajidanganya sana! Na hapo ndipo naiona faida ya kuzaliwa mwanamke kwa sababu sisi wanawake kwetu ngono siyo kama chakula tofauti na hii jinsia nyingine iliyomsaliti Yesu wao kila wakati wanatamani wawe wananiliu hasa waafrika!

Mimi ndiyo maana mwanamke akiniambia eti she’s a sex addict huwa hainiingii akilini! Maana sisi hisia zetu ziko mbali na ni hadi ziwe stimulated!

So to my side I think i’m happier and better without sex and I can handle being single for the rest of my entire life. Come sun come rain.

Dogs are the best creatures ever. Very loving and selfless kwanza nashangaa kwanini wanasema wanaume wote ni mbwa yaani wanafananisha mbwa na vitu vya ajabu wanawaonea sana mbwa jamani that is so unfair.

Heee hii kali yaani mbwa ni bora kuliko......
 
Mizani haiwezi kua balance hapo, Mwanamke anaoa hata wake 4, wewe unaweza ishi na wanaume wanne? nature hairuhusu hilo, huwezi kupata usawa hapo , kiumbe chochote cha kiume kwenye swala la mapenzi hakiko sawa na kiumbe cha kike, kupata usawa hapo ni uongo rafiki
Basi mkae kwa kutulia hivyo pindi mnapoigwa tukio la kuchapiwa,
Maana kila mtu ashinde match zake, aaaaaah kwan tsh ngap bhanaaaah
 
Jihogo lile nene, ndefu, kichwa kikubwa, afu jeusi weeeeeh likizama kunako hasa mwanaume ajue kulitumia kwenye show, lol mbna mwanamke atanena kwa lugha zote 27, na mwanaume lugha zote 20. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hilo jihogo la uchumi wakati hatari fire Sana, Tena ukute mwenye jihogo Hilo anajua kubenjua mikao yote lazima uombe Pooh wallah
 
Yani ww na akili zako zote ukaamini unaweza kuwa mwenyewe kwa mwanaume mmoja?

Kama mpo wawili tu kwa jamaa shukuru na Muombe asiongeze wa 3.
 
Wanaume wenzangu kumbekeni kauli hii kuna la kujifunza hapa.

"Wanawake wote ni rahisi kusamehe lakini ni wagumu kusahau" hivyo mkikosana kidogo tu lazima atakumbushia yale ya nyuma au ukifanya kosa linalokua na kuelekeo wa lile la mwanzo atakumbushana tena.Hii ni tofauti na sisi Wanaume Kusamehe ngumu lakini tukishasamehe tunasahau kabisa na wala hatupendi kukumbuka wala kukumbushia ni kwa sababu mioyo yetu ina uvumilivu wa hali ya juu na hatuwezi kubeba vitu viwili kwa wakati mmoja tofauti na wenzetu hawa.

Hivyo tuishi na wake zetu kwa umakini tusiwaumize tukaharibu ndoa zetu,nimefanya research hata kwa mpenzi niliye nae ikitokea nimekosea mimi inakua ishu kubwa sana kuliko yeye akinikosea..na nimejifunza hapo.
 
nyakoo dada yangu pole Sana jaribu kukaa chini fikiri vyema Kama unaamua kubaki na ndoa yako zungumza na mmeo na zaidi Kama ameomba msamaha amekiri msamehe utarejea taratibu kumbuka kuendelea hivyo ndio kujiumiza zaidi na kumuumiza mmeo zaidi Kwa sababu anaona amekiri na mbaya zaidi Kama ulitamka mbele yake umemsamehe na bado unaendelea kuonesha kutokumsamehe Kwa namna ulivyo ni kosa kubwa ingawa hisia zinaweza kuchangia pia
Lakini sikushauri kufuata ushauri wa cariha Jael na mkewangu wa hapa JF cocastic nakwambia wazi kiuhalisia utapotea na kusababisha madhira makubwa Sana na baada ya muda utajuta na kama ukipita ukasoma hapa hayo majina matatu niliyokutajia yatabaki kichwani kwako daima endapo ukifuata ushauri wao kwamba utafute mchepuko Kama unataka kuanzisha mahusiano mapya mwambie mmeo kwamba toka akusaliti humuelewi na huna Amani nae muachane Kwa Amani unanzishe mahusiano mapya na si huo utopolo wanaokushauri

Soma hapa nyakoo
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] weeeeh mwenyewe akili zangu unazijua, leta ujinga wako nakupiga tukio hadi usahau asili yenu ni wapi, mamaeeeeeh, afu relaaaaaaaaaaaaax
 
A cheating husband or wife will never change, they change techniques, so whatever decision you make jua tu kwambe he is doing the same thing!

But, I will do anything for my children, stay together, be a wife, and wait, make sure:

- Huongezi Mtoto tena.
- Kua tu mke responsible and good.
- Jaribu Kuwa positive na maisha!

Madhara ya kuachana:

- Maumivu kwa watoto ukiolewa tena.
- Ngumu sana kupata mapenzi ya dhati.
- Unaweza tumiwa vibaya na wanaume.

Ukishindwa kabisa Mama yangu, maisha haya mafupi, kama waweza kaa na watoto peke yako, uka avoid mahusiano mapya, mme akawatunza, wewe Mwambie akupishe hapo aende kwa hao wanawake wake!

Mke wangu alionyesha ku cheat toka 2010 nikajikaza sana for 7 years siongei Ila naugua, mwaka 2016 bila sababu nikaondoka home!

Najuta kupoteza mda wangu wa kuishi na machungu na maumivu, bora ningeondoka! Maisha ya ndoa ni utumwa sana sana, Yani Acha tu!

Ndoa imewashinda nyie sio utumwa kwa wote mzee niaje?
 
Mtoto niliyemzaa asikilize waruka njia Yani nishindwe kumhandle mtu niliye mubeba tumboni, that's won't happen to me as long as I am live,
Karata zangu nazipanga vizuri na Tena nakula kingi vizuri, mtu tumezaa wote tumetofautiana hutaki kutoa matunzo eti unanikomoa wee sio Mimi aisee. Ujinga wetu uishie huko Mambo ya kutesa mtoto kisa tofauti zetu hazipo, Tena mwisho wa mwezi ukifika haraka Sana tuma hela, lazima kuwekexa kwa mtoto hayo maujinga yetu hayawahusu kabisa.
You Will be surprised.. mwenzio huko when i was a little boy alikua anasema hvyo hvyo, i knew nothing back then, just imagine upweke ambao ungekua nao wewe kwa kumkosa mzazi mmoja wapo kwa mambo ambayo wewe kama mtoto wala hayakuhusu, hao watoto msione mnawajaza maneno mkadhan wanawaelewa, upweke wa kumkosa mzazi mmoja ambae wanajua yupo hua unawatafuna sana, usiku vitandani wanalia sana tu , wakitembea barabarani huko wakaona watoto wenzao wanatembea na wazazi wao wote wawili hua vinawachoma sana , mtoto atakusikiliza vyema tu , utampa sumu yote chini ya jua, sijui vitisho vyote..siku aje ajue ukweli , afunuliwe , ..rafiki mwanau umemzaa mwenyewe atakua mbogo kwako ,

mwenzio huku hakuamn, alienda analia kunisemea kwa mchungaji , maumivu anayopata mtoto pengine ni zaid hata haya ya wewe kusalitiwa na baba yake,

Omba Mungu yasitokee, it's out of your control likiharibika, Omba uwe na familia bora unayoitamani, Mungu atakupa, ila sio hii ya kujaza watoto sijui bla bla, yule ni baba kwao, kama vile ww ulivyo na baba, wanaweza kua adui yako within seconds tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Hilo jihogo la uchumi wakati hatari fire Sana, Tena ukute mwenye jihogo Hilo anajua kubenjua mikao yote lazima uombe Pooh wallah
Mungu wangu tobaaaaaaaah weeeee atasahau kabisaa km alikua na maumivu ya kucheatiwa. Chezea jihogo weyeeeeeeeeeh
 
Basi mkae kwa kutulia hivyo pindi mnapoigwa tukio la kuchapiwa,
Maana kila mtu ashinde match zake, aaaaaah kwan tsh ngap bhanaaaah
Hio haitowezekana, ama la ukifanya hilo tukio uwe na plan B mapema ya kula kona, inaweza saidia
 
Back
Top Bottom