Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Unaeza ukawa mbunifu sana anakubinua kila style anayotaka mnoo, ukampa heshima sanaa, ukamtunzia watoto vizuri sana, ukamuombea mema mnoo, ukamfurahisha kuliko kawaida... Aisee na bado akachepukaa vizuri tu
Binadamu harudhiki na huwa nashangaa mtu kufanya vitu ili amfuraishe mtu, badala ya kujifuraisha mwenyewe, matokeo yake ndio haya kuja kuumia. Tujifunze kujifuraisha na kufanya Mambo kwa ajili yetu kwanza
 
[emoji23][emoji23]Hilo jihogo la uchumi wa Kati vepee eti.
Jihogo lile nene, ndefu, kichwa kikubwa, afu jeusi weeeeeh likizama kunako hasa mwanaume ajue kulitumia kwenye show, lol mbna mwanamke atanena kwa lugha zote 27, na mwanaume lugha zote 20. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Huko ni kudanganyana na kuhalalisha huu uovu wenu, hakuna hiyo lazima mizani iwe balanced,
Usaliti daww yake ni kisasi haijalishi ni upande gan umeanza. Km mbwai na iwe mbwai tyuuuuh.
Mizani haiwezi kua balance hapo, Mwanamke anaoa hata wake 4, wewe unaweza ishi na wanaume wanne? nature hairuhusu hilo, huwezi kupata usawa hapo , kiumbe chochote cha kiume kwenye swala la mapenzi hakiko sawa na kiumbe cha kike, kupata usawa hapo ni uongo rafiki
 
Hapo kwenye moyo uliopondeka sasa! Picha linaanza moyo wangu tu wenyewe ni jiwe yaani tayari ni kipondeo tosha!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie huwa nasemaga mbwai na iwe mbwai tyuuuh, hapa ni piga nikupige. Kwan shda nn aaaaah
Dawa ya moto ni Moto tu hii kujifanya malaika ndo kumeumiza wengi. Wanawake wanaoheshimu ndoa ndo huumizwa Ila wale viruka njia hawana hata stress. Kuna wamama Wana tabia nzuri very responsible, wanatimiza majukumu yao Ila mateso wanayopewa Mungu ndo anayejua wamepata na maradhi.Sasa chakufia hapo nini
 
Niseme tu ukweli,wanawake mna faraja na niwavumilivu mno. Kuna mengi tunakutana nayo huku mtaani, kuna mnayo yasikia mnayapuuza mengine mnayaona kupitia simu zetu lakini mnatusamehe bure...
Kuna siku nilijitusu kutongoza msichana kwa simu, wife akanibamba, kumbe nilitakiwa niwe nafuta sms, wife akaniuliza kistaarabu kabisa
"nikikunyang'anya hiyo simu na nikukutanishe na huyo binti unaweza kumtongoza na akakuelewa na hicho kigugumizi chako?" ile nianze kujitetea akasema "nitafunika ungo ufe..." nikanyamaza kimya [emoji1][emoji1][emoji1][emoji28]

Ahsante Mungu ni mwaka 12 sasa umepita.
Nadhani pia ndio maana wanaume wengi wanakufa mapema si kwa sababu ya kazi za risk bali pia matendo yamchukizao Mungu vile viapo tunavyoenda kuviapa wakati wa ndoa mbele ya Mungu na wazazi ni vibaya sana. Sasa unakuta mtu ana cheat mke anajua anajidai kusamehe physically ila rohoni hasamehi na unakuta wengi anakuwa kashamtoa mwanaume kwa roho yake sasa mke ambaye umepewa na Mungu ameshakutoa kwa roho yake yaani kiroho wewe ushakufa kwake unategema nini hapo?
 
Mbona yeye kafanya huo wake hapa Dar kwangu, tena huko pwani mbali, aaaaah dawa ya moto n moto. Hujui hilo weeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23] for your own security tu rafiki, usifanye hilo jambo alafu ukabaki hapo hapo kwa madai kwamba mbona yeye kafanya hapo hapo na wewe upo, utakua mshkaki hivi hivi , fanya tukio kula kona
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaaah n kupiga average tyuuuh.
Sipendi kuona mtu analia eti ameni cheat, kah anashindwa kujiongeza kwani, siachi ndoa kizembe hapo tuanze tu kupigana matukio Hadi tuzeeke
 
Niseme tu ukweli,wanawake mna faraja na niwavumilivu mno. Kuna mengi tunakutana nayo huku mtaani, kuna mnayo yasikia mnayapuuza mengine mnayaona kupitia simu zetu lakini mnatusamehe bure...
Kuna siku nilijitusu kutongoza msichana kwa simu, wife akanibamba, kumbe nilitakiwa niwe nafuta sms, wife akaniuliza kistaarabu kabisa
"nikikunyang'anya hiyo simu na nikukutanishe na huyo binti unaweza kumtongoza na akakuelewa na hicho kigugumizi chako?" ile nianze kujitetea akasema "nitafunika ungo ufe..." nikanyamaza kimya [emoji1][emoji1][emoji1][emoji28]

Ahsante Mungu ni mwaka 12 sasa umepita.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe mkibananishwa mnakuwa wapole eeh?
 
Shida huku bongo watu wanajua ngono ndio furaha yenyewe kumbe Kuna Mambo mengi mtu unaweza fanya na ukawa bado na furaha tele. Hamna mtu anayeweza kukupa furaha hapa duniani usipokuwa mwenyewe.
Hyo ya mbwa Tena ni Bora hamna rafiki mwema asiye saliti ka mbwa , mbwa ni best friend Hana unafiki

Wanajidanganya sana! Na hapo ndipo naiona faida ya kuzaliwa mwanamke kwa sababu sisi wanawake kwetu ngono siyo kama chakula tofauti na hii jinsia nyingine iliyomsaliti Yesu wao kila wakati wanatamani wawe wananiliu hasa waafrika!

Mimi ndiyo maana mwanamke akiniambia eti she’s a sex addict huwa hainiingii akilini! Maana sisi hisia zetu ziko mbali na ni hadi ziwe stimulated!

So to my side I think i’m happier and better without sex and I can handle being single for the rest of my entire life. Come sun come rain.

Dogs are the best creatures ever. Very loving and selfless kwanza nashangaa kwanini wanasema wanaume wote ni mbwa yaani wanafananisha mbwa na vitu vya ajabu wanawaonea sana mbwa jamani that is so unfair.
 
Hongeraaaaa!!!!!
It is now confirmed kwamba unawakilisha kundi kubwa sana la wanaume wajinga. Ni kweli mke wako akichoka tabia zako na kuamua kuondoka hapo unakuwa umemwacha.
Hongera sana kichwa cha familia.
[emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Niseme tu ukweli,wanawake mna faraja na niwavumilivu mno. Kuna mengi tunakutana nayo huku mtaani, kuna mnayo yasikia mnayapuuza mengine mnayaona kupitia simu zetu lakini mnatusamehe bure...
Kuna siku nilijitusu kutongoza msichana kwa simu, wife akanibamba, kumbe nilitakiwa niwe nafuta sms, wife akaniuliza kistaarabu kabisa
"nikikunyang'anya hiyo simu na nikukutanishe na huyo binti unaweza kumtongoza na akakuelewa na hicho kigugumizi chako?" ile nianze kujitetea akasema "nitafunika ungo ufe..." nikanyamaza kimya [emoji1][emoji1][emoji1][emoji28]

Ahsante Mungu ni mwaka 12 sasa umepita.
[emoji23][emoji23]aibu uliyoipata sasa
 
Dawa ya moto ni Moto tu hii kujifanya malaika ndo kumeumiza wengi. Wanawake wanaoheshimu ndoa ndo huumizwa Ila wale viruka njia hawana hata stress. Kuna wamama Wana tabia nzuri very responsible, wanatimiza majukumu yao Ila mateso wanayopewa Mungu ndo anayejua wamepata na maradhi.Sasa chakufia hapo nini
Ndo maan yule mdada aliuawa pale kimara stop over kisa uvumilivu na kujivika majukumu ya malaika, naamini angekuwa na mchepuko wala asingekua kaburini leo, aaaaaah sitaki kujinafiki na kuidhulumu nafsi angu mie mwenyewe khaaaaah
 
Wala sio serious ni wewe tu, Yani nife kwa vitu rahisi hivi that's never
Kama hujaolewa bado, hakikisha unapata uzoefu wa kupigwa matukio ya kutosha kwanza kabla hujaingia kwenye ndoa, itakusaidia sana , sisi wanaume tukio pisi ya maana shetani nae hua jiran tu hapo hapo , utakua disappointed sana , ndoa yako na familia uliyo iota siku moja itapota hv hv kufumba na kufumbua, ni bora mara mia uingie huko ukiwa unajua fika hili jambo mda wowote litatokea, lisipotokea it's good for you, ila likitokea ulisha jiandaa kisaikolojia zamani, tofaut na uingie ukiwa unajua wewe ndio alfa na umega, rafiki, you will be surprised nakuambia
 
Back
Top Bottom