Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

We huna nia nzuri kabisa na hii ndoa mkuu, eti talaka!! Are you serious kweli? Atafute tu kipoozeo atulie, ila kama amekolea akataka na mtoto sasa hayo yatakuwa maamuzi yake. Sitomuingilia.
Natamani nikuite jina la utotoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi siwezi nafukia nafsi yangu nifuraishe jamii huku naumia ndani I will never, Kuna vitu vya kumvumilia mtu Kama maradhi, shida uchumi kuyumba na sio kuvumilia ujinga wa mtu kukuumiza hisia huwa inauma Sana Bora ivunjike mguu Kuna pain Killers sio mtu kukuumiza hisia zako hovyo. Na hisia zinauma jamani, Bora tu na Mimi nifanye yangu kwanza mda wa kumpenda mtu nautoa wapi Mimi. Acha niipende nafsi yangu na wanangu
Haya maswala usiyachukulie serious hivi, walai utakufa kwa pressure... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi siwezi nafukia nafsi yangu nifuraishe jamii huku naumia ndani I will never, Kuna vitu vya kumvumilia mtu Kama maradhi, shida uchumi kuyumba na sio kuvumilia ujinga wa mtu kukuumiza hisia huwa inauma Sana Bora ivunjike mguu Kuna pain Killers sio mtu kukuumiza hisia zako hovyo. Na hisia zinauma jamani, Bora tu na Mimi nifanye yangu kwanza mda wa kumpenda mtu nautoa wapi Mimi. Acha niipende nafsi yangu na wanangu
Nimeukataa unafiki ni mateso makali mno mtu unaishi kwa taabu na dhiki balaa
 
Na ukiwa mwenyewe furaha tele ukikutana ha Hawa vidudu mtu sasa

Yeah mi nashangaa mtu anayesema eti kuwa single ni upweke woii kuna watu wako kwenye ndoa lakini wana upweke tani kama zote kuliko hata walio single, yaani mimi jamani ni bora hata nipewe stress na kitu gani sijui lakini siyo mwanaume we hawa wanafanya makusudi kwa sababu wameshaona ni haki yao kukosea siku zote.

Hata haka kambwa kangu kakinipa stress nitakaelewa maana ni bahati mbaya hakajui kitu, siyo hawa watu wazima na akili zao.
 
Nimegundua wanawake wengi wanaosupport huu ujinga wa eti “mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja” ndiyo wale wale ambao wanakubali kuwa michepuko na kusema “akiwa ndani ndiyo wako akiwa nje ni wetu”! Pathetic!
Ni hawajiamini na ni tegemezi na wanaogopa jamii itawaonaje eti Hawa ndio mwisho huchomwa na mkaa gunia mbili.
Na mumewe kuwa na michepuko daily miungovi Hadi kufanya Mambo ya msingi wamesahau
 
Leo wanapewa za uso hadi waelewe somo, km n nature yao huu upumbavu basi wajue na wanawake wana nature yao vile vile ambayo ni kulipa kisasi.

Halafu baadae wanakuja kulalamika wanawake wana roho mbaya kumbe huwa wanaanza wenyewe halafu sisi ni wamaliziaji
 
Na wew tafuta mtu hakika nakwambia utapata amani
 
Bora iwe ni kweli halisi wengi wanaongeza na uongo uliotukuka hadi mtoto anaonesha chuki za wazi kabisa kwa mzazi wake. I wish wazazi wakitengana wawe na mipaka ya mambo ya kuwashirikisha watoto kwa faida ya watoto hata kama wametengana kwa ubaya.
Ni Bora nyeupe iitwe nyeupe hafu mda wote hata watoto huwa hawalishwi sumu ni vile tu humzoea mama aliyemlea kumsikiliza ni rahisi na anakuwa kila kitu tofauti na wewe huwa unakuwa busy no bond hapo utahisi mtoto kalishwa sumu kumbe sio
 
Mtoa mada nakushauri utafute mwanaume viwango vya juu kumzidi huyo mumeo,,mpimane mpe mchezo usiku kucha,
Ila wasome miandiko yao humu utadhani sio wao wanaojiua kisa wanawake
Kabisaaah atafute mwanaume smart, JB, casual, Royal, mwenye Jihogo la kiwango cha uchumi wa kati, afu abiringike nalo kweny show, hadi jamaa amwage waarabu na waafrica, wallah atapata nafuu ya furaha na amani ya moyo,
Then maisha ya ndoa na familia yaendeleeh km kawaida.
 
Tena wanaume walivyo na roho nyepesi, akipigwa tuiko la kuchapiwa mkewe huwa anavurugwa kweli kweli, na hakuna rangi wana acha kuona wallah. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Tatizo ni kwamba, nyinyi mkifanya hivyo basi kila kitu kinahamia huko , hisia , akili, mwili , nafsi , roho ..yaani kila kitu, shida inaanzia hapo

na ndio maana ni ngumu sana Mwanaume kusamehe mwanamke msaliti.. tofaut na sisi, hakuna kinachohama
 
nyakoo dada yangu pole Sana jaribu kukaa chini fikiri vyema Kama unaamua kubaki na ndoa yako zungumza na mmeo na zaidi Kama ameomba msamaha amekiri msamehe utarejea taratibu kumbuka kuendelea hivyo ndio kujiumiza zaidi na kumuumiza mmeo zaidi Kwa sababu anaona amekiri na mbaya zaidi Kama ulitamka mbele yake umemsamehe na bado unaendelea kuonesha kutokumsamehe Kwa namna ulivyo ni kosa kubwa ingawa hisia zinaweza kuchangia pia
Lakini sikushauri kufuata ushauri wa cariha Jael na mkewangu wa hapa JF cocastic nakwambia wazi kiuhalisia utapotea na kusababisha madhira makubwa Sana na baada ya muda utajuta na kama ukipita ukasoma hapa hayo majina matatu niliyokutajia yatabaki kichwani kwako daima endapo ukifuata ushauri wao kwamba utafute mchepuko Kama unataka kuanzisha mahusiano mapya mwambie mmeo kwamba toka akusaliti humuelewi na huna Amani nae muachane Kwa Amani unanzishe mahusiano mapya na si huo utopolo wanaokushauri

Soma hapa nyakoo
 
Yuko single mpaka Leo.

Haha sema usikate tamaa, kuwa jasiri kama jackline wolper

Sasa je kwani amekufa? Kwangu mwanamke wa hivyo ndiyo superwoman na watu kama hao ndiyo wanaonifanya niamini kuwa kumbe kuwa single hadi uzee inawezekana sipendi stress za kujitakia aisee.
 
Kuishi maisha huku ukitengeneza ushahidi wa kila kitu unachofanya na mumeo, ni bora usiolewe..!! Unaishi kwenye ndoa kama afisa mpelelezi wa mwenzio kila siku... yaani unaishi kama unaishi na mtuhumiwa...!! BORA USIOLEWE
Hapana Kama mtu hutaki kulea mwanao nikufanyeje na nyie ndo husema tunawadaganya watoto, kwanini nisiweke kumbukumbu sawa ya kila Jambo.
 
Tena wanaume walivyo na roho nyepesi, akipigwa tuiko la kuchapiwa mkewe huwa anavurugwa kweli kweli, na hakuna rangi wana acha kuona wallah. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mimi lazima nimpige tukio takatifu siku tukienda mbinguni ni mahesabu tu
 
Back
Top Bottom