Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Kabisaaah atafute mwanaume smart, JB, casual, Royal, mwenye Jihogo la kiwango cha uchumi wa kati, afu abiringike nalo kweny show, hadi jamaa amwage waarabu na waafrica, wallah atapata nafuu ya furaha na amani ya moyo,
Then maisha ya ndoa na familia yaendeleeh km kawaida.
[emoji23][emoji23]Hilo jihogo la uchumi wa Kati vepee eti.
 
Tatizo ni kwamba, nyinyi mkifanya hivyo basi kila kitu kinahamia huko , hisia , akili, mwili , nafsi , roho ..yaani kila kitu, shida inaanzia hapo

na ndio maana ni ngumu sana Mwanaume kusamehe mwanamke msaliti.. tofaut na sisi, hakuna kinachohama
Kwani zikihakia huko shida Nini na ndio lengo hasa kukutoa kabisa moyoni, hata sisi hatusamehi tunaishi na nyie kusogeza siku tu huku no feelings anymore
 
Sasa je kwani amekufa? Kwangu mwanamke wa hivyo ndiyo superwoman na watu kama hao ndiyo wanaonifanya niamini kuwa kumbe kuwa single hadi uzee inawezekana sipendi stress za kujitakia aisee.
Itabidi uwe na moyo mgumu tu na mstahimilivu ndomana unakuta wazee wetu mpaka Leo wapo pamoja

Nyinyi vizazi vya sasa mbona mnakuwa na roho nyepesi sana.
 
Tatizo ni kwamba, nyinyi mkifanya hivyo basi kila kitu kinahamia huko , hisia , akili, mwili , nafsi , roho ..yaani kila kitu, shida inaanzia hapo

na ndio maana ni ngumu sana Mwanaume kusamehe mwanamke msaliti.. tofaut na sisi, hakuna kinachohama
Huko ni kudanganyana na kuhalalisha huu uovu wenu, hakuna hiyo lazima mizani iwe balanced,
Usaliti daww yake ni kisasi haijalishi ni upande gan umeanza. Km mbwai na iwe mbwai tyuuuuh.
 
nyakoo dada yangu pole Sana jaribu kukaa chini fikiri vyema Kama unaamua kubaki na ndoa yako zungumza na mmeo na zaidi Kama ameomba msamaha amekiri msamehe utarejea taratibu kumbuka kuendelea hivyo ndio kujiumiza zaidi na kumuumiza mmeo zaidi Kwa sababu anaona amekiri na mbaya zaidi Kama ulitamka mbele yake umemsamehe na bado unaendelea kuonesha kutokumsamehe Kwa namna ulivyo ni kosa kubwa ingawa hisia zinaweza kuchangia pia
Lakini sikushauri kufuata ushauri wa cariha Jael na mkewangu wa hapa JF cocastic nakwambia wazi kiuhalisia utapotea na kusababisha madhira makubwa Sana na baada ya muda utajuta na kama ukipita ukasoma hapa hayo majina matatu niliyokutajia yatabaki kichwani kwako daima endapo ukifuata ushauri wao kwamba utafute mchepuko Kama unataka kuanzisha mahusiano mapya mwambie mmeo kwamba toka akusaliti humuelewi na huna Amani nae muachane Kwa Amani unanzishe mahusiano mapya na si huo utopolo wanaokushauri

Soma hapa nyakoo
Mhhh unafiki tu huu unafikiria kusamehe ni Kama kukojoa iwe rahisi hivo, maana huyu kampenda Toka moyoni, hivi unajua nature yetu wanawake tukipenda na kuja kupigwa tukio kurudishwa moyo ilivo ngumu.
 
Hii kitu iliyokukuta mtoa mada huwa inaleta maumivu sana kwa wanandoa. Bora kwa nyie wanawake wengi huweza vumilia na maisha yakasonga.

Mara nyingi ikitokea kwa Mume kugundua kuwa mke anachepuka maumivu yake ni makubwa zaidi na ni ngumu kuvumilia (Hata ukivumilia thamani yake inapungua). Ndio maana kuna wengine wanafanya tukio la kinyama kwa wenza wao.

Ushauri wangu kwa mtoa mada asifanye maamuzi yeyote akiwa na hasira. Akapime afya yake kwanza kisha ajaribu kujipa muda hata wa mwaka mzima akiendelea kuwa na mumewe huyohuyo aliyemkosea.
Asifikurupuke kuachana na mumewe kwa kuwa watakaoteseka ni watoto na yeye mwanamke gafla atajikuta anakuwa Singo Mother na kupungua kwa uwezekano wa kuja kuolewa tena maana sisi wanaume huwa atuchumbii wake za watu wenye watoto- hiyo ikitokea ni bahati nasibu tu.
 
Hakuna Mwanamke anaecha mtu , mwanamke anaachwa, hakuna Mwanamke anae toa talaka, mwanamke anapewa talaka


Get back to the topic, ukakuta Mwanamke ameachwa utamuoa??
Hongeraaaaa!!!!!
It is now confirmed kwamba unawakilisha kundi kubwa sana la wanaume wajinga. Ni kweli mke wako akichoka tabia zako na kuamua kuondoka hapo unakuwa umemwacha.
Hongera sana kichwa cha familia.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki shem umenichekesha!

Shem tukijazwa na roho mtakatifu huwa tunaimba tu jamani, sio kwa ubaya.
Niseme tu ukweli,wanawake mna faraja na niwavumilivu mno. Kuna mengi tunakutana nayo huku mtaani, kuna mnayo yasikia mnayapuuza mengine mnayaona kupitia simu zetu lakini mnatusamehe bure...
Kuna siku nilijitusu kutongoza msichana kwa simu, wife akanibamba, kumbe nilitakiwa niwe nafuta sms, wife akaniuliza kistaarabu kabisa
"nikikunyang'anya hiyo simu na nikukutanishe na huyo binti unaweza kumtongoza na akakuelewa na hicho kigugumizi chako?" ile nianze kujitetea akasema "nitafunika ungo ufe..." nikanyamaza kimya [emoji1][emoji1][emoji1][emoji28]

Ahsante Mungu ni mwaka 12 sasa umepita.
 
Sitaki kuliamini hili ni vile sijaliweka kwa kina ila wapo wazazi wa hivyo na kwa wingi ni wakina mama, na inakuwa hvyo kwa sababu mama ndio huwa anakuwa karibu zaidi na watoto
It's just a matter of bond hata kwenye maisha ya kawaida mtu wako wa karibu kwenye shida na raha lazima umpende na kumheshimu. Sasa wewe baba mtu sperm donor huonekanagi kwa mtu iwe kwa birthday, furaha au ugonjwa unataka upendwe vipi. Na ndio maana kuepusha lawama ikitokea tuandikisshiane haya Mambo ya kucheka na Kim's ndio kuja kuvuna mabua
 
Niseme tu ukweli,wanawake mna faraja na niwavumilivu mno. Kuna mengi tunakutana nayo huku mtaani, kuna mnayo yasikia mnayapuuza mengine mnayaona kupitia simu zetu lakini mnatusamehe bure...
Kuna siku nilijitusu kutongoza msichana kwa simu, wife akanibamba, kumbe nilitakiwa niwe nafuta sms, wife akaniuliza kistaarabu kabisa
"nikikunyang'anya hiyo simu na nikukutanishe na huyo binti unaweza kumtongoza na akakuelewa na hicho kigugumizi chako?" ile nianze kujitetea akasema "nitafunika ungo ufe..." nikanyamaza kimya [emoji1][emoji1][emoji1][emoji28]

Ahsante Mungu ni mwaka 12 sasa umepita.
Nimecheka sana! Pole mkuu
 
Usiolewe... tafuta mtu zaa naye ishi mwenyewe tu.. kwani kuzaa mtoto mpaka uolewe..!!??? Kama hujaolewa, na huu mtazamo wako nakushauri usiolewe...
KAMA UMEOLEWA POLE YENU
Hahaaa mkuu unanipangia maisha, kila mtu na wakufanana naye, Tena Mimi na baby lazima tuzeeke na hubby Hadi titumie mikongojo kifo tu kitutenganishe
 
Kwa kweli mimi mwanamke ambaye anakubali kuwa mchepuko sijui huwa namuonaje! Mume wa mtu sumu jamani machozi ya mwanamke mwenzake anayemuibia mume yatamuandama halafu baadaye aanza kusema ana mikosi kumbe karma inamtafuna!
Wengi ya wanawake wanapenda ready made, wewe mke wa ndoa uliyeanzia naye chini unaonekana haufai wengine wanakula kiurahisi huku wewe ukifa kwa pressure.
 
Aisee kumbe ndomana vijana hawa oi siku hizi malaya wengi sana mtaani dah
 
Hongeraaaaa!!!!!
It is now confirmed kwamba unawakilisha kundi kubwa sana la wanaume wajinga. Ni kweli mke wako akichoka tabia zako na kuamua kuondoka hapo unakuwa umemwacha.
Hongera sana kichwa cha familia.
Ataenda kuomba mimi niidhinishe kuondoka kwake kwa kumpa talaka, yeye hawezi kunipa talaka mimi , hivyo Mwanamke anakua ameacha hajaacha
 
Back
Top Bottom