Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,949
- 183,430
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna siku niliimbiwa ekuemeee ekueme ghafla akaanza za Upendo Nkone na sijui nani yule anajiliza liza?... Kila nikijifukunyua sijui kosa langu, nikaona isiwe taabu saa tano asubuhi nikajitwisha huyo nae bar...hata sijui kesi iliishaje na hizo ekuemeee sizisikii tena zaidi ya "hapa nilipo mimi ni kwa neema za Mungu... "
Shemeji kaeni kikao muache hizo pambio mtatuua kwa visukari [emoji1][emoji1][emoji1]
Haki shem umenichekesha!
Shem tukijazwa na roho mtakatifu huwa tunaimba tu jamani, sio kwa ubaya.