Wanawake wenye profession hizi wana tabia gani mapenzini?

Wanawake wenye profession hizi wana tabia gani mapenzini?

Futa kauli kijana. J.lee ni ticha by professional ndio maana nimenasa pale.. Lol!

hahahaaaa!!! haya bwana, kumbe J.lee ni ticha eenh?

kapangiwa kituo gani sasa nianze kufanya routing? lols!
 
Last edited by a moderator:
ma ex alikuwa anaeleza matatizo yake yooote alokumbana nayo kazini wakati tuko date mpaka inaboa too much is hamfull smtime

lakini shans, huoni kwamba hiyo itakuwa ni opportunity kwako kumuonesha upendo na kumshauri mambo mbali mbali ili angalau ajisikie furaha kuwa nawe kama malikia wake?
 
mkuu nasubiri hizo slides bana...!

chagua kabisa wale wa diploma walioajiriwa mwaka huu! lols!
[SIZE=3 [USER=47929]Excel[/USER] wajua hata Braza kiwatengu nae anataka kujua hili...
mimi ni mwalimu kwa profesheno japo sijakaa huko muda mrefu kivile hasa kuchaangiwa na suala la kwenda shule mara kwa mara katika vipindi tofauti, mkizingatia watu wengi wanapitia kada ya uwalimu ikiwa daraja la kwenda unapotaka, japo na hayo yote nimekaa nikiwa mwalimu mtendaji kwa miaka 8-kwa maana muajira, kwa hiyo najua mambo mengi ya walimu kuanzia maisha yao kwa kuwa hadi sasa naishi katika makazi ya walimu kwa maana wifi yenu ni mwalimu, matarajio yao pindi wapatapo kazi kama hawa walioajira juzi, na mengi zaidi.

sasa kwenye suala la mke bora kwa malezi na maisha kwa ujumla kwangu mimi ni mwalimu, sisemi kwa kuwa nina mwalimu hapana, ila kiukweli ni kazi ambayo haimpi stress kubwa sana zikamchanganya kuhudumia watoto (ikiwa Allah amewaruku watoto), wajua muda wake wa kurudi na kwenda kazi, kazi za ziada (mkukuta) zinajulikana na muda pia.

Pia hawa watu mnaweza kufanya mengi ya maendeleo kwa pamoja kwa kuwa anaweza akawa na muda mwingi wa ziada wakufanya kwa ufanisi indi baba unapomjengea uwezo, na maanisha nini, walimu wengi wakike kwa wa kiume ni waoga, uwoga huu wanafundishwa au wanawekewa mazingira tangu wakiwa vyuoni kuanzia wa Diploma na Digirii, ikiwa sivyo pindi pale wanaporipoti kwenye vituo vyao vya kazi, sasa yahitaji Excel na kiwatengu kufanya kazi ya ziada ya kumolde mwalimu wako.
sasa kwenye suala la tabia ni issue nyingine, Excel walimu waliopitia dip niwazuri kitabia zaidi kuliko wale wengine samahani lakini, sababu hawa wanaangaliwa kwa ukaribu zaidi kuliko, wale kwa hiyo hata wale wenye matabia mabaya wakuta ualimu wanamshape sio kwa wadada hata kwa wakaka, mimi nakiri kabisa ualimu umenibadilisha sana....
ukimkuta mwalimu kicheche ah huyo kicheche haswa, lakini hachukui muda mazingira ya kazi ya mbadilisha. Excel ukiwa unataka kuoa mwalimu usichelewe kufanya hivyo pindi tu anapopata ajira, maana akili yao yote inabaki katika kuanzisha familia suala la kuendelea kielimu hilo ni baadae, baadae sana....
inatosha, au unataka na jinsi wavyocheat....?[/SIZE]
 
Last edited by a moderator:
Consult Preta for more details and facts. Kwanini ujihangaishe wakati JF madaktari kibao?

madam Preta, sincerely, i am calling you here.. please come and answer me back!
 
Last edited by a moderator:
wanawake wanasheria kwa kweli ninavyosikia kila m2 analaumu, kuna jamaa mmoja toka kijiji kimoja nami yupo hapa dar kaoa mwanasheria hahaaaa ndugu wa mme kwenda pale lazima wajiulize mara mbili mbili afu ukiwa pale hata kuwasha tv mpaka ufate ibara/vifungu vya sheria za kwa nn unawasha tv?

hahahaaaa!!! kulaleki...! kazi ipo!

lakini naona kuna added advantage, mwanaume mfano akiwa na shughuli nyingi za haramu halafu akaoa mwanasheria,

itamsaidia sana kupunguza gharama za kuendesha kesi na kusimamia miradi yake..

yes or no ? prove!
 
...................................
Mkuu una maoni kama yangu, nami huwa najiuliza why walimu wanakuwa mabonge bongeee yan ukichanganya na zile nguo zao za vitenge ndo baasi tena, ila walimu watu wazima wanajiweka rafu rafu to prove ma words tembelea ATM ZA NMB KUANZIA TAR. 25 KUENDELEA .....
Kitu cha pili najiuliza hivi kwa nn wamama wachoma vitumbua, supu, chapati , bajia, mtaani nao ni mabonge bonge.

neno!!!

ubonge wa wachoma vitumbua na waalimu wa kike nina wasiwasi nao!

kama humu wamo, waje watuambie kwanini wanafutuka bila vivid examples?
 
hahahaaaa!!! haya bwana, kumbe J.lee ni ticha eenh?

kapangiwa kituo gani sasa nianze kufanya routing? lols!

Kapangiwa Tanga ila hawezi kwenda huko watanichapia tuu. Lazima nimbakishe hapa tauni..

Hivi na shemeji miss neddy ni nani by professional? Asije akawa nurse maana mhhhh
 
Last edited by a moderator:
At the end of the day, nature supercedes it all.

At the end of the day it is just me Karucee out of my court attire preparing meals for my husband when I can. My profession does not determine who I am, but my nature does.
 
Ningesema mwalimu japo sometimes wanakuwaga na mitoko mingi;
Ningesema madaktari au manesi japo nao wanapenda kunogesha penzi kwa kwenda kwa karumanzila;
Ningesema wanasheria, mmmmmh hapa sisemi kitu
Ni wewe tu chaguo ni lako mwenyewe, ongea na moyo wako.

Mamndenyi mbona sikuoni tena, sikusikii ukisema..
 
mkuu nasubiri hizo slides bana...!

chagua kabisa wale wa diploma walioajiriwa mwaka huu! lols!

neno!!!

ubonge wa wachoma vitumbua na waalimu wa kike nina wasiwasi nao!

kama humu wamo, waje watuambie kwanini wanafutuka bila vivid examples?
ki ukweli walimu wengi sio vibonge, kubwa wanaridhika na shida walizo nazo, ukweli wanajiachia wakifika hatua fulani, kibaya zaidi kwenye mavazi wajua gharama sasa baba akiwa nae yupo tu kama mimi kabanga sijali basi ndio hivyo, waweza muhesabia mavazi, leo alhamisi atavaa ya blue kesho ijumaa atavaa sketi yake ya nyeusi au suruali ake na tshirt yake ya chama cha walimu nk.....
 
Last edited by a moderator:
[SIZE=3 [B]Excel[/B] wajua hata Braza kiwatengu nae anataka kujua hili...
mimi ni mwalimu kwa profesheno japo sijakaa huko muda mrefu kivile hasa kuchaangiwa na suala la kwenda shule mara kwa mara katika vipindi tofauti, mkizingatia watu wengi wanapitia kada ya uwalimu ikiwa daraja la kwenda unapotaka, japo na hayo yote nimekaa nikiwa mwalimu mtendaji kwa miaka 8-kwa maana muajira, kwa hiyo najua mambo mengi ya walimu kuanzia maisha yao kwa kuwa hadi sasa naishi katika makazi ya walimu kwa maana wifi yenu ni mwalimu, matarajio yao pindi wapatapo kazi kama hawa walioajira juzi, na mengi zaidi.

sasa kwenye suala la mke bora kwa malezi na maisha kwa ujumla kwangu mimi ni mwalimu, sisemi kwa kuwa nina mwalimu hapana, ila kiukweli ni kazi ambayo haimpi stress kubwa sana zikamchanganya kuhudumia watoto (ikiwa Allah amewaruku watoto), wajua muda wake wa kurudi na kwenda kazi, kazi za ziada (mkukuta) zinajulikana na muda pia.

Pia hawa watu mnaweza kufanya mengi ya maendeleo kwa pamoja kwa kuwa anaweza akawa na muda mwingi wa ziada wakufanya kwa ufanisi indi baba unapomjengea uwezo, na maanisha nini, walimu wengi wakike kwa wa kiume ni waoga, uwoga huu wanafundishwa au wanawekewa mazingira tangu wakiwa vyuoni kuanzia wa Diploma na Digirii, ikiwa sivyo pindi pale wanaporipoti kwenye vituo vyao vya kazi, sasa yahitaji Excel na kiwatengu kufanya kazi ya ziada ya kumolde mwalimu wako.
sasa kwenye suala la tabia ni issue nyingine, Excel walimu waliopitia dip niwazuri kitabia zaidi kuliko wale wengine samahani lakini, sababu hawa wanaangaliwa kwa ukaribu zaidi kuliko, wale kwa hiyo hata wale wenye matabia mabaya wakuta ualimu wanamshape sio kwa wadada hata kwa wakaka, mimi nakiri kabisa ualimu umenibadilisha sana....
ukimkuta mwalimu kicheche ah huyo kicheche haswa, lakini hachukui muda mazingira ya kazi ya mbadilisha. Excel ukiwa unataka kuoa mwalimu usichelewe kufanya hivyo pindi tu anapopata ajira, maana akili yao yote inabaki katika kuanzisha familia suala la kuendelea kielimu hilo ni baadae, baadae sana....
inatosha, au unataka na jinsi wavyocheat....?[/SIZE]

mkuu kabanga!

i salute this...! in the name of KJ 324 special force, kitunda! its impressive!

Salute_460x306px.jpg
 
Last edited by a moderator:
Ningesema mwalimu japo sometimes wanakuwaga na mitoko mingi;
Ningesema madaktari au manesi japo nao wanapenda kunogesha penzi kwa kwenda kwa karumanzila;
Ningesema wanasheria, mmmmmh hapa sisemi kitu
Ni wewe tu chaguo ni lako mwenyewe, ongea na moyo wako.

mom, this is another big case..

kweli inabidi nianze kuongea na mtima wangu!
 
At the end of the day, nature supercedes it all.

At the end of the day it is just me Karucee out of my court attire preparing meals for my husband when I can. My profession does not determine who I am, but my nature does.

karucee, kuna watu wengi sana wamebadilishwa na vitu walivyovisomea... wengi mno dadaangu fanya uchunguzi utaona

wanasheria wanaleta sheria mpaka ndani mwao, therefore, sheria imewa-determine mwenendo wa maisha yao..

waalimu wamekuwa walezi wazuri wa familia zao kutokana na maadili ya kilezi wanayofundishwa...

angalia watu wengi sana wenye profession fulani wamekuwa wakiwafundisha watoto wao kuja kuwa na profession km zao

i hope niko ndani ya maneno yako...

back to topic:

kuna mdau mmooja katolea mfano wa mwanasheria mke aliyeolewa na me ambaye si mjuvi wa hayo mambo,
basi kutokana na visheria viingi vya mke, me imebidi amuache sababu ya kukosa maelewano...

unasemaje hapo karucee?
 
Kapangiwa Tanga ila hawezi kwenda huko watanichapia tuu. Lazima nimbakishe hapa tauni..

Hivi na shemeji miss neddy ni nani by professional? Asije akawa nurse maana mhhhh

shemeji yako miss neddy ni pilot by profession!

nategemea apotelee angani muda si mrefu! nna huzuni kweli ndugu yangu!
 
Last edited by a moderator:
mamii please niokoe hapo, nipe ukweli kuhusu madaktari!

Sasa hapo siwezi kusema saana coz wanasemaga "no research......no right to speak"
Mum wangu alikuwa doc and she was good kwakweli sasa sijui madaktar Wa siku hizi
 
nimekupata mkuu..

hii issue inazidi kuwa complicated.. tena kwa mazingira ya sasa ya utandawazi mkuu, i got to be extra careful.

u know what? nadhani itakuwa vema kama utamwaga mchele kwenye kuku wengi, tuambie yaliyokusibu.. Pengine profession si tatizo la bi-dada husika, ingawa ukweli utabaki pale pale kwamba elimu-dunia huchangia some sort of behaviours katika tabia ya mtu.
Tiririka mkuu
 
Inawezekaba kuna ukweli sijapita nyumba za watu kufanya utafiti but najua hata wanaume wako hivyo baadhi.
Mi nnachotaka kusikia ni siku yako imeendaje kazini basi unless kuna la muhimu zaidi kunieleza.
Nasema hivyo nakumbuka ma ex alikuwa anaeleza matatizo yake yooote alokumbana nayo kazini wakati tuko date mpaka inaboa too much is hamfull smtime

Sasa, miss shansarie...unategemea matatizo yake amwambie nani? Ni kweli, it's boring kila siku mtu anakuja na matatizo ya kazini kwake, ila wewe ndo mtu wake wa karibu, umpe moyo na nguvu za kufanya kazi katika mazingira aliyonayo.
 
Last edited by a moderator:
Sasa hapo siwezi kusema saana coz wanasemaga "no research......no right to speak"
Mum wangu alikuwa doc and she was good kwakweli sasa sijui madaktar Wa siku hizi

how good was she mamii? yani unaweza kutoa elaboration nzuri zaidi kwamba alikuwa mzuri katika nyanja zipi!
 
u know what? nadhani itakuwa vema kama utamwaga mchele kwenye kuku wengi, tuambie yaliyokusibu.. Pengine profession si tatizo la bi-dada husika, ingawa ukweli utabaki pale pale kwamba elimu-dunia huchangia some sort of behaviours katika tabia ya mtu.
Tiririka mkuu
mkuu, mimi niko single, sijaoa mpaka sasa labda baada ya miaka miwili mbele... hapa nafanya tu primary analysis kwa sababu nina mpango wa kuja kuoa mwanamke mwenye profession yake ili angalau tuweze kuongea lugha inayofanana...

ni kama maoni ya katiba tu mkuu yanavyotafutwa!

asante..
 
Back
Top Bottom