Wanawake wenye profession hizi wana tabia gani mapenzini?

Wanawake wenye profession hizi wana tabia gani mapenzini?

Excel , hakuna wanawake trustful and lovable kama wenye fani ya udaktari, tena wale waliosomea vitu vigumu kwenye udaktari kama upasuaji wa moyo na ubongo, na wale madaktari wa watoto.

dah..! mkuu inaonekana madaktari wako vizuri!!

kwanza kwenye mambo ya kimbea mbea huwa hawamo kabisa! kweli mkuu au nadanganya?
 
walimu mara nyingi ni waadilifu sanaa
huwa wana upendo wa dhati na wanaridhika na hawana tamaa za ajabu ajabu

nakuunga mkono kwanza ni yenye muda maarum na mazingira yake ya kazi mara nyingi hayana vishawishi mfano hamna maswala ya mavikao vikao na hata ishu za safari huwa mara chache kama daktari shifti hadi usiku
 
ni kweli mama erick,

lakn ni bora umkue adui yako kabla hujaanza kpigana nae! si ndiyo?

Tatizo ni kwamba, wengi wanaficha makucha kipind cha courtship so ni ngumu kutambua
 
Me ni Certified Public Auditor katika suala la mapenzi sina tofauti na mwalimu wala housewife ila muhimu ni kuelewana tu na mwenza wako.

ewaaaa!! sasa ulijificha wapa qn of Asprin?

hebu nipe slides hizo tujenge nchi yetu !
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ni kwamba, wengi wanaficha makucha kipind cha courtship so ni ngumu kutambua

hilo nalo lipo chocs.. lakini wenyewe wanasema tabia ni kama kikohozi.. kikibana, lazima utaachia tu!
 
madaktar na walio kwenye masuala ya fedha mara nyingi hawana tatizo. Lakin madaktar wako vizr zaid. Ni wapole, wakarim na wanajua kubembeleza...... Binafsi kila napomwona daktar wa kike au ness huwa napagawa sana nao ni wanawake wazur sana jaribu kaka utaenjoy sana

labda madaktari sikuhizi manesi du kuwa na mgonjwa wa kulazwa ndio utawajua
 
Last edited by a moderator:
dah..! mkuu inaonekana madaktari wako vizuri!!

kwanza kwenye mambo ya kimbea mbea huwa hawamo kabisa! kweli mkuu au nadanganya?

ni kweli, i had a gf in high school, alikuwa PCB, we broke up na tukarudiana after 3 years.. Sikuamini she was single muda wote huo. Ila mimi daah, majanga
 
ni kweli, i had a gf in high school, alikuwa PCB, we broke up na tukarudiana after 3 years.. Sikuamini she was single muda wote huo. Ila mimi daah, majanga
mkuu naamini wanawake wachukuaji wa masomo ya sayansi hasa PCB, PCM, PGM.. huwa hawana zile tabia za micharuko sana kulingana na ugumu wa kile wanachosoma..

pia katika career yao ya mambo ya madawa na sayansi za tiba, watakuwa busy sana mpaka kusahau mapenzi, though not that much!

unasemaje hapo mkuu?
 
haha.. hivi unaamini ni masomo na career zao ndiyo zinawafanya wawe mbali na ucharuko au mioyo yao?
 
Mkuu ni heri upate mke mwenye profession ya bongo movie atakuheshimu kuliko kupata mwanasheria huwa wanaviburi sana, kuna jamaa yangu alipata mwanasheria tena wa diploma tu ya lushoto college, timbwili na kivumbi alikiona hadi akaamua kumpiga chini tu.
 
Back
Top Bottom