Wanawake wenye profession hizi wana tabia gani mapenzini?

Wanawake wenye profession hizi wana tabia gani mapenzini?

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,449
Reaction score
17,918
Habari za sasa wana jukwaa..

naombeni kufahamu wanawake wenye hizi profession wana tabia gani katika ndoa zao ama wanapokuwa uchumbani mwao..

1. wanawake wanasheria..

2. wanawake wenye profession za mambo ya fedha kama finance management na accounting..

3. wanawake madaktari na waalimu..

je, hawa wanatumiaje proffession zao katika cheating wakuu???

jamani tuangazieni na wanawake wengine katika profession mbali mbali..!

je kazi anayofanya mwanamke inaweza kumbadilisha na kuwa na tabia fulani?

naombeni maoni yenu wadau!
 
Habari za sasa wana jukwaa.. mimi Excel, nina duku duku ambalo nafahamu linaweza tatuliwa na wadau humu ndani.. naombeni kufahamu wanawake wenye hizi profession wana tabia gani katika ndoa zao ama wanapokuwa uchumbani mwao.. 1. wanawake wanasheria.. 2. wanawake wenye profession za mambo ya fedha kama finance management na accounting.. 3. wanawake madaktari na waalimu.. je, hawa wanatumiaje proffession zao katika cheating wakuu??? asanteni...
Profession ya mtu haina uhusiano na cheating kwenye mahusiano. Tabia ni tabia hata kama mtu hajui kusoma wala kuandika. Vitu vingi huchangia cheating mfano malezi, kutoaminiana, kupunjana n.k.
 
Last edited by a moderator:
mmhh!! Mkuu ukijua alafu nini?
 
Habari za sasa wana jukwaa..

mimi Excel, nina duku duku ambalo nafahamu linaweza tatuliwa na wadau humu ndani..

naombeni kufahamu wanawake wenye hizi profession wana tabia gani katika ndoa zao ama wanapokuwa uchumbani mwao..

1. wanawake wanasheria..

2. wanawake wenye profession za mambo ya fedha kama finance management na accounting..

3. wanawake madaktari na waalimu..

je, hawa wanatumiaje proffession zao katika cheating wakuu???

asanteni...

Hapo umepotea hamna type yako! kachukue wa EDUCATION ndio type yako
 
Last edited by a moderator:
Lawyers don't cheat! They do sue!

mkuu naomba maelezo zaidi kidogo hapo!

hivi ukifumania mwanamke mwanasheria inakuwaje hasa!?

ukijichanganya si inaweza kula kwako?
 
Wanasheria ni much-know hatari..... kama unae jiandae kisaikolojia. Wengi ndoa zinawashinda.

Walimu ni loyal.
Don't know about the rest
ahsante kat.ph!

kuna mdada wa tumaini hapa anamalizia law school, nishachombeza story fulani kulaleki,...!

sijaona cheche zake za kisheria, ila anadai mapenzi na yeye mbali mbali!

sasa sijui wanasheria wote wanahukumu mpaka mapenzi ama vp?
 
mkuu naomba maelezo zaidi kidogo hapo!

hivi ukifumania mwanamke mwanasheria inakuwaje hasa!?

ukijichanganya si inaweza kula kwako?

Hapana ligeuze swali liwe mwanamke mwanasheria akikufumania inakuwaje?
Nshakueleza hawa cheat!
 
Profession ya mtu haina uhusiano na cheating kwenye mahusiano. Tabia ni tabia hata kama mtu hajui kusoma wala kuandika. Vitu vingi huchangia cheating mfano malezi, kutoaminiana, kupunjana n.k.

asante mkuu..

lakini mkuu kumbuka wanadam wanabadilika kulingana na mazingira...

means kama mkeo alikuwa loyal sana kwako, je itakuwaje kwa mfano amepewa kishawishi cha shift ya usiku??

na bado huko akawa anakumbana na jinsia ya kiume usiku usiku??
 
Back
Top Bottom