Wanawake wenye profession hizi wana tabia gani mapenzini?

Wanawake wenye profession hizi wana tabia gani mapenzini?

kama ni kusoma, hata wanawake wanasheria,walimu n.k. wanasoma sana pia, na bado ni vidomo domo sana. sasa kwa kuwa wote wawili (lady-lawyer na lady-doctor) ni wasomi na wote wapo bize, mbona ucharuko huonekana zaidi kwa wanawake wanasheria na wa fani zingine tofauti wanawake madaktari?
do u get my point rafiki?
nimekupata mkuu..

hii issue inazidi kuwa complicated.. tena kwa mazingira ya sasa ya utandawazi mkuu, i got to be extra careful.
 
ivi vi 1st yr vina muda gan tangu viregistiwe chuon???? mmhhh!
 
Habari za sasa wana jukwaa..

naombeni kufahamu wanawake wenye hizi profession wana tabia gani katika ndoa zao ama wanapokuwa uchumbani mwao..

1. wanawake wanasheria..

2. wanawake wenye profession za mambo ya fedha kama finance management na accounting..

3. wanawake madaktari na waalimu..

je, hawa wanatumiaje proffession zao katika cheating wakuu???

jamani tuangazieni na wanawake wengine katika profession mbali mbali..!

je kazi anayofanya mwanamke inaweza kumbadilisha na kuwa na tabia fulani???

naombeni maoni yenu wadau!
Nijuavyo mimi mapenzi ni mapenzi na kazi ni kazi japo kuna baadhi huathiriwa kidogo na kazi zao mfano mjeshi ameshazoea amri
 
hapa huwa najiuliza sana, how comes mwalimu na salary ya chini ya laki3 anakuwa na unene wote ule?

kule ni kuridhika na pesa ama ni maumbile tu yao??

lakini kama ni maumbile, inakuwaje wanawake wooote wawe nayo?

is that possible?

...................................
Mkuu una maoni kama yangu, nami huwa najiuliza why walimu wanakuwa mabonge bongeee yan ukichanganya na zile nguo zao za vitenge ndo baasi tena, ila walimu watu wazima wanajiweka rafu rafu to prove ma words tembelea ATM ZA NMB KUANZIA TAR. 25 KUENDELEA .....
Kitu cha pili najiuliza hivi kwa nn wamama wachoma vitumbua, supu, chapati , bajia, mtaani nao ni mabonge bonge.
 
Habari za sasa wana jukwaa..

naombeni kufahamu wanawake wenye hizi profession wana tabia gani katika ndoa zao ama wanapokuwa uchumbani mwao..

1. wanawake wanasheria..

2. wanawake wenye profession za mambo ya fedha kama finance management na accounting..

3. wanawake madaktari na waalimu..

je, hawa wanatumiaje proffession zao katika cheating wakuu???

jamani tuangazieni na wanawake wengine katika profession mbali mbali..!

je kazi anayofanya mwanamke inaweza kumbadilisha na kuwa na tabia fulani???

naombeni maoni yenu wadau!

wanawake wanasheria kwa kweli ninavyosikia kila m2 analaumu, kuna jamaa mmoja toka kijiji kimoja nami yupo hapa dar kaoa mwanasheria hahaaaa ndugu wa mme kwenda pale lazima wajiulize mara mbili mbili afu ukiwa pale hata kuwasha tv mpaka ufate ibara/vifungu vya sheria za kwa nn unawasha tv?
 
Mi nadhani mwanamke hata uwe na professional gani ukifika kwako unatakiwa uwe mke.profesional yako ni huko kazini utamshirikisha mwenzako pale au yale umbayo unadhani ni ya muhimu yeye kujua

Kazi isibadili tabia yako
 
well saidi GT-shansarie,

matatizo mengi mnayokumbana huko makazini, wengi wenu huwa mnayaleta mpaka nyumbani! --- yes or no ???

majibu mengi mnayowapa waume zenu ambayo huwa ni short cuts, huwa ni matokeo ya michosho na misuguano katika kazi zenu mnazofanya ---- yes or no ???

kifupi tu ni kwamba, wanawake mnashindwa kutofautisha kati ya mambo ya kiofisi, na mambo ya kifamilia -- kweli si kweli?
 
umeona eeeeeh muhimu ukishachapiwa ni kujikaza tu unasonga mbele

huo utakuwa ni uzembe... mwanaume wa kweli ukichapiwa,

unatakiwa umjue aliyemchapa mkeo ni nani ili umweke kwenye blacklist, ili likija kutokea tena, ufanye tathmini juu ya tatizo la mke wako kugongwa mara kwa mara na mtu mmoja.. kwanini huyo tu??

inapowezekana pia, wachukulie hatua kali wote wawili --- ---
 
hahahahahhaa mngekuwa kweli mnafanya tathmini ingekuwa raha sana lakini mhhhhhhh mnachukua tu hatua kali
 
yote yaliyo changiwa hapo juu na yatakayo changiwa ni kweli wanawake wabadilike tumewachoka.....
 
Wengi hapa tunagusagusa mada kwa kuwa hatuko kwny ndoa. Krb mjue yaliyoko huku ... mhm uwe na vigezo vya kumpata Mke wako. Vifuate kumtambua akufaae. Vigezo viwe ktk major na minor. Hakuna mkamilifu, ukiona anayeendana nawe basi huyo ndio wako
 
asante mkuu...

najaribu kumchunguza kuku kabla sijamla!

kura nyingi imemdondokea mwalimu na daktari mpaka sasa..
 
hahahahahhaa mngekuwa kweli mnafanya tathmini ingekuwa raha sana lakini mhhhhhhh mnachukua tu hatua kali

we unadhani nikijua kwamba kwa mfano lusungo ama Mgirik katoka na mke wangu miss neddy zaidi ya mara nne kwa vipindi tofauti tofauti, na nilishamuonya kabisa juu ya wao, na wewe nikakuonya juu ya hao wanaume, lakini bado mahusiano hayakatiki, unadhani ntafanya nini?

mwanaume mwenye akili huwa anawaza na kufanya tathmini kwanini mke wangu katoka nje??

hasira hazisaidii...
 
Last edited by a moderator:
well saidi GT-shansarie,

matatizo mengi mnayokumbana huko makazini, wengi wenu huwa mnayaleta mpaka nyumbani! --- yes or no ???

majibu mengi mnayowapa waume zenu ambayo huwa ni short cuts, huwa ni matokeo ya michosho na misuguano katika kazi zenu mnazofanya ---- yes or no ???

kifupi tu ni kwamba, wanawake mnashindwa kutofautisha kati ya mambo ya kiofisi, na mambo ya kifamilia -- kweli si kweli?

Inawezekaba kuna ukweli sijapita nyumba za watu kufanya utafiti but najua hata wanaume wako hivyo baadhi.
Mi nnachotaka kusikia ni siku yako imeendaje kazini basi unless kuna la muhimu zaidi kunieleza.
Nasema hivyo nakumbuka ma ex alikuwa anaeleza matatizo yake yooote alokumbana nayo kazini wakati tuko date mpaka inaboa too much is hamfull smtime
 
Nijuavyo mimi mapenzi ni mapenzi na kazi ni kazi japo kuna baadhi huathiriwa kidogo na kazi zao mfano mjeshi ameshazoea amri

hapo hapo mkuu kwenye red...

hivyo ndivyo ninavyotaka kuvifahamu kiundani kabisa...
 
Back
Top Bottom