excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,449
- 17,918
its just fact finding investigation..
itasaidia kwenye suala la ushahidi baadae.
hahahaaaa!!!
mkuu mwanamke mwanamke tu nakwambia..! hata kama mwanasheria, hawezi kuwa na roho ya kinyama namna hiyo!!
hakika akipata anaemkuna kisawa sawa, sheria inatupwa kule...!
wanasheria wasumbufu sana wanaendesha mapenzi kwa vifungu vya sheria! hao maakauntant wana nyodooo usiombe
madaktari/manesi ni waaminifu sana,lakini pia ni watamu sana....
madam wenyeji wanasema walim wa sasa si kama wale wa zamani!
ushaona tofauti lakini??
walimu mara nyingi ni waadilifu sanaa
huwa wana upendo wa dhati na wanaridhika na hawana tamaa za ajabu ajabu
hahahaaaa!!!
mkuu mwanamke mwanamke tu nakwambia..! hata kama mwanasheria, hawezi kuwa na roho ya kinyama namna hiyo!!
hakika akipata anaemkuna kisawa sawa, sheria inatupwa kule...!
mkuu nipe first choice yako.. utakuja uoe mwanamke mwenye profession gani?