Wanawake wenye profession hizi wana tabia gani mapenzini?

Wanawake wenye profession hizi wana tabia gani mapenzini?

hahahaaaa!! mpigamsuli ndani ya MMU!

yani unawaza kupambanisha vyuo tu kulaleki!

haya bana....

Hahahah huo ndio ukweli mkuu watakusumbua sana hususan LAWYERS tena upate ADVOCATE utalia sana kwa scabu atakudominate kwa kila kitu tena wanasheria kwakureason ndio usiseme
 
Last edited by a moderator:
mkuu, mimi niko single, sijaoa mpaka sasa labda baada ya miaka miwili mbele... hapa nafanya tu primary analysis kwa sababu nina mpango wa kuja kuoa mwanamke mwenye profession yake ili angalau tuweze kuongea lugha inayofanana...

ni kama maoni ya katiba tu mkuu yanavyotafutwa!

asante..

mkuu, kwa mfano tukifikia conclusion na ukaona kwamba lady-teacher au lady-economist si type yako, halafu ghafla bin vuu ukadata kwa teacher wa sekondari, utakabiliana nayo vipi hii changamoto?
 
Mpiga msuli kwaio walosoma education wataolewa na akina nani
 
Education...... hahahaha.... kuna watu wana maneno matamu humu..... kwi kwi kwii
 
lakini shans, huoni kwamba hiyo itakuwa ni opportunity kwako kumuonesha upendo na kumshauri mambo mbali mbali ili angalau ajisikie furaha kuwa nawe kama malikia wake?

ni kweli but sio kila kitu mara kilichotokea ofisini mara fulani kafukuzwa kazi sijui amina kafanyaje kha inakuwa kero yakwake binafsi niko radhi kusikiliza bila hiana
 
Sasa, miss shansarie...unategemea matatizo yake amwambie nani? Ni kweli, it's boring kila siku mtu anakuja na matatizo ya kazini kwake, ila wewe ndo mtu wake wa karibu, umpe moyo na nguvu za kufanya kazi katika mazingira aliyonayo.
yangekuwa yakwake tu si afadhali anakupa na ya watu wengine mi yananihusu nini
 
At the end of the day, nature supercedes it all.

At the end of the day it is just me Karucee out of my court attire preparing meals for my husband when I can. My profession does not determine who I am, but my nature does.

Your my Learned Sister...right?
 
Hahahah huo ndio ukweli mkuu watakusumbua sana hususan LAWYERS tena upate ADVOCATE utalia sana kwa scabu atakudominate kwa kila kitu tena wanasheria kwakureason ndio usiseme

sasa mkuu, hao sasa wataolewa na nani??

mi najua mwanamke akiwa ndani, mikoba yote ya kazi...

nakumbuka mama yangu aliniambia kuwa, ''ukishaingia ndani kwangu, mikoba yoooote ya uanaume na viburi, viache nje, ndani mwangu utafanya ninachotaka mimi''....
 
jamani mbona mnawaandama wenye legal profession...i cn tell u for sure,
1. they do not cheat
2. it takes a while to for them to trust you so inabidi uwe muelewa kdgo
3. they have a lot of questions so usishangae ni uhitaji wao wa kuelewa vzuri n ucpo jibu ni matatizo cz kwa nn ucjibu
4. ni waelewa sanaaaa
5. once you screw up ndo basi its done
 
mwanamke mzuri ni yule mwenye hofu ya Mungu na anayependa ibada.bila hivyo yanatokea yale ya Adamu na Hawa,maana Hawa kadanganywa naye kadanganya,mwisho dhambi ikaaingia,sasa hv shetan anawadanganya kwa kiburi cha elimu,mali na maumbo yao yaani uzuri wao.utawasikia wengine "aah! usinibabaishe hata mimi nina ajira yangu na bado wengi wananipenda, unafikir ni wewe,ukiona akifai, wenzako wanajiuliza watakipata lini?"(akijivunia uzuri na kazi zao).geuze kauli hata wanaume pia.cha msingi ni kukaa katika misingi ya ki-Mungu.angalizo:kumbukeni shetani bado anatumia sana wanawake kuliharibu taifa,mataifa yenye wanawake wenye kumjua Mungu,huwa yanaamaendelea na amani.
 
Wanasheria...Wanakua wanadadisi na Mara nyingi wanaamini wanajua zaidi kuliko wewe...wanaweza wakawa sio wadanganyifu kwa vile wana elements za kutunza haki ya Mtu...ila akikugundua unacheza mechi za nje umekwisha...na kikawaida hawajui kusamehe...kwa sababu malipo ya kosa ni kwenda jela au kuuliwa.....umepona utapigwa fain.

Watu wa Fainance....wanakua kikawaida ni watu makini katika kutunza fedha...tabia inayopelekea kutaka kujua kila pesa inayopatikana nyumbani...hichi ndo chanzo cha matatizo ya kuoa mtu wa fedha...kwa sababu wanaume wengi hua hatupendi kudisclose issue zetu za kufedha....Tatizo jengine ni kwamba baadhi yao huamini pesa kua ni kama tools...kitu kinachopelekea kua na matumizi makubwa...ukishindwa kulikabili inapelekea kumfanya aangalie mtu aliekua nazo...Kwa hio kuna mixture of feelings kuhusu watu wa Finance....

Madaktari ni watu wasafi nyumbani...ila ni watu wenye roho ngumu...kama unavyojua kuchezea maiti kwa madokta ni kama kuchezea dagaa au kupasua kuku tu... Baadhi yao hua ni watu Wacha Mungu..kutokana na kuujua Utukufu wa Allah katika kuumba na kujua Khtama ya Binadamu....hii hupelekea kua watu waaminifu na kuwa watulivyu kwenye ndoa....ikitokezea Dokta kua mtu matata ni kazi sana kwani kwao wao hakuna lisilowezekana katika maisha yao...hata kuua ikibidi kwa dokta sio issue...

Kiufupi maisha hayana fomula la msingi ukitaka kuchagua Mchumba Fata dini yake. kama Mtume wetu sisi waislam alivyotutaka....

Professionals sio criteria sahihi sana kuchagua mke...ingawaje Nakutahadharisha sana kuoa Mwanasheria...ni ngumu kuwahandle watu hawa
 
mkuu ubarikiwe sana kwa uchambuzi mzuri!

nazidi kupata scale nzuri sana ya uchaguzi! thanks indeed!
 
Ha!ha!ha!ha!ha!haa.. Yatamkuta ya Air Malaysia

yani mkuu nakwambia miss neddy akipotelea hewani kulaleki sijui itakuwaje!

sijui nimfungulie biashara ya uvuvi awe anakesha ziwa victoria? au unaonaje mkuu? lols!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom