Wanawake wenye profession hizi wana tabia gani mapenzini?

Wanawake wenye profession hizi wana tabia gani mapenzini?

ni kweli but sio kila kitu mara kilichotokea ofisini mara fulani kafukuzwa kazi sijui amina kafanyaje kha inakuwa kero yakwake binafsi niko radhi kusikiliza bila hiana

ushawahi kumueleza ni jinsi gani anavyokutoa kwenye mood anapokuwa anakueleza maswahibu yake?
 
we unadhani nikijua kwamba kwa mfano lusungo ama Mgirik katoka na mke wangu miss neddy zaidi ya mara nne kwa vipindi tofauti tofauti, na nilishamuonya kabisa juu ya wao, na wewe nikakuonya juu ya hao wanaume, lakini bado mahusiano hayakatiki, unadhani ntafanya nini?

mwanaume mwenye akili huwa anawaza na kufanya tathmini kwanini mke wangu katoka nje??

hasira hazisaidii...

umeona eeeh hayo unayoyaongea hayatekelezeki kwa vitendo
 
Last edited by a moderator:
Wana sheria wako straight, strict na sharp kimapenzi...
kama uko lele-mama na umezoea longolongo katika game na mambo mengine ya mapenzi,utaishia kulalamika mwanzi mwisho.
 
...................................
Mkuu una maoni kama yangu, nami huwa najiuliza why walimu wanakuwa mabonge bongeee yan ukichanganya na zile nguo zao za vitenge ndo baasi tena, ila walimu watu wazima wanajiweka rafu rafu to prove ma words tembelea ATM ZA NMB KUANZIA TAR. 25 KUENDELEA .....
Kitu cha pili najiuliza hivi kwa nn wamama wachoma vitumbua, supu, chapati , bajia, mtaani nao ni mabonge bonge.

Hahahaaaaa walimu lols! kuvaa vitenge na kuwa shapeless ni u wife material Mkuu!
 
Sidhan kama kuna mwingiliano wowote hapo.....zaidi yote yatokanayo ni tabia ya mtu mwenyewe...
 
wale wa finance na accounting wana kaujeuri flani hivi, sijui sababu wanashika shika sana mahela ya kampuni.
 
Habari za sasa wana jukwaa..



naombeni kufahamu wanawake wenye hizi profession wana tabia gani katika ndoa zao ama wanapokuwa uchumbani mwao..

1. wanawake wanasheria..

2. wanawake wenye profession za mambo ya fedha kama finance management na accounting..

3. wanawake madaktari na waalimu..

je, hawa wanatumiaje proffession zao katika cheating wakuu???

jamani tuangazieni na wanawake wengine katika profession mbali mbali..!

je kazi anayofanya mwanamke inaweza kumbadilisha na kuwa na tabia fulani???

naombeni maoni yenu wadau!

Naomba uongezee na mimi Salonist nina tabia gani???
 
wale wa finance na accounting wana kaujeuri flani hivi, sijui sababu wanashika shika sana mahela ya kampuni.

inawezekana kumbe?

hao naona ni nature yao... au waonaje ninyo?

yawezekana ni wote ama ni baadhi yao?
 
Hahahha....

Sasa si ungewadate ndo uzijue tabia zao vizuri
 
Back
Top Bottom