Kwa mwalimu anakuaga anaenda kusimamia mtihani
Hao wanasheria huwa tunachapa na kutembea tu, maana wanakuwaga much know sana hivyo ukikaa nae sana atakukera tu. Madakatari utaibiwa sana.
Walimu wako poa. ila wanataka uwe nao kila saa maana wao ratiba haiwabani sana. kila sekunde call, text etc.
Hao wa accounting sina uzoefu nao.
Maengineer wapo powa sana.wapo real, sio mabitozi, hawajisikii kwa kifupi wapo focused zaidi na future. Mume umepata mamaaa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
proffesional na tabia sidhani kama vina uhusiano wowote thou kuna malimbukeni ambao vipesa vikiwakubali ndio tabia zinabadilika
Fact 100%proffesional na tabia sidhani kama vina uhusiano wowote thou kuna malimbukeni ambao vipesa vikiwakubali ndio tabia zinabadilika
walimu mara nyingi ni waadilifu sanaa
huwa wana upendo wa dhati na wanaridhika na hawana tamaa za ajabu ajabu