Wanawake wenye profession hizi wana tabia gani mapenzini?

Wanawake wenye profession hizi wana tabia gani mapenzini?

Mkuu ni heri upate mke mwenye profession ya bongo movie atakuheshimu kuliko kupata mwanasheria huwa wanaviburi sana, kuna jamaa yangu alipata mwanasheria tena wa diploma tu ya lushoto college, timbwili na kivumbi alikiona hadi akaamua kumpiga chini tu.

labda awe mbaya..
woman is woman hata kama awe mwanajeshi wa nyota 5
 
labda madaktari sikuhizi manesi du kuwa na mgonjwa wa kulazwa ndio utawajua

hujawajua tu. Tena ukimnasa mmoja sku ukilazwa hapo anapofanyia huyo gal wako dah aisee yaan unabembelezwa kama mtoto hutataman kutoka hospitalin. Kwanza wanakulaza chumba special. Huduma mda wote
 
haha.. hivi unaamini ni masomo na career zao ndiyo zinawafanya wawe mbali na ucharuko au mioyo yao?
ndio, hii nayo inachangia sana!

ubize nao unachangia sana kupunguza mambo ya kipuuzi katika kichwa cha mwanadamu.. imagine kuanzia saa mbili asubuhi, mpaka saa kumi jioni, mtu yuko busy tu na masomo, muda mchache anaoupata ni kwa ajili ya kula na refreshing kidogo, je unadhani hilo litamkumbusha michepuko saa ngapi?
 
Hahahahaaaa wewe mwache csta bana wewe pambana na mwanasheria wako
nataka nijaribu wote.. kuanzia la 7, form four felia, grade IIIA, diploma, mpaka profeseli!

unaonaje hapo mankam?
 
ndio, hii nayo inachangia sana!

ubize nao unachangia sana kupunguza mambo ya kipuuzi katika kichwa cha mwanadamu.. imagine kuanzia saa mbili asubuhi, mpaka saa kumi jioni, mtu yuko busy tu na masomo, muda mchache anaoupata ni kwa ajili ya kula na refreshing kidogo, je unadhani hilo litamkumbusha michepuko saa ngapi?

kama ni kusoma, hata wanawake wanasheria,walimu n.k. wanasoma sana pia, na bado ni vidomo domo sana. sasa kwa kuwa wote wawili (lady-lawyer na lady-doctor) ni wasomi na wote wapo bize, mbona ucharuko huonekana zaidi kwa wanawake wanasheria na wa fani zingine tofauti wanawake madaktari?
do u get my point rafiki?
 
Excel shida yote ya nini? Ebu kaoe liteacher huko ana profession zote huyo!! Yan utafaidi wewe!!
 
Last edited by a moderator:
Maticha wenyewe hawa wa sasa hivi wanaokataa kufundisha vijijini?

hahahaha! Hee hulali??mama kijacho kakukimbia nini? We kijijini huko hapafai wafundishwe tu na mwkiti wao wa kijiji !!
 
Habari za sasa wana jukwaa..

naombeni kufahamu wanawake wenye hizi profession wana tabia gani katika ndoa zao ama wanapokuwa uchumbani mwao..

1. wanawake wanasheria..

2. wanawake wenye profession za mambo ya fedha kama finance management na accounting..

3. wanawake madaktari na waalimu..

je, hawa wanatumiaje proffession zao katika cheating wakuu???

jamani tuangazieni na wanawake wengine katika profession mbali mbali..!

je kazi anayofanya mwanamke inaweza kumbadilisha na kuwa na tabia fulani???

naombeni maoni yenu wadau!
Jiulize kwa nini mawaziri rais wanaoa waalimu.Kwa Sababu lawyers and Dr have ego .Teachers ni watu humble na hawana makuu .its better to have compassion than ego .My hubby is a Dr huwezi kaa with in 5 minutes without kujua wapi amesoma and all that .if you choose compassion success will follow you.Lawyers ,Dr ,politicians they chase success mpaka basi .mwalimu ni mtu aliyetosheka na Maisha yake .
 
Nini kinasababisha mwalimu awe tofauti na hao wengine?
 
Dr. Rutherford:nod:
 
Nini kinasababisha mwalimu awe tofauti na hao wengine?

Teachers wapo humble na compassion na Wana wisdom .I cannot be a teacher kwa Sababu Mimi ni sister do ( according to people ) I have ego ,I'm arrogant and I love money na ninadharau vibaya sisalimiagi watu
 
Dr. Rutherford:nod:

Haya ndio maswali ya mume wangu akikutana na mtu.What are you doing for living ? You have to work hard to be 5 percent of the leaders ,you need to be competitive ,do you have any purpose of living .my wife loves shopping
 
Where do you like shopping? Giuseppe Zanotti? Emilio Pucci? Mayors? Barneys? Vince Camuto? Saks? Bergdorf Goodman?
 
Maticha wenyewe hawa wa sasa hivi wanaokataa kufundisha vijijini?
hili nalo neno mkuu!

ila waalimu nao bana japokuwa wanavumilia shida kama mibuyu ya dodoma,

mbona nasikia wana kashfa sana za kuchapwa nje? inakuwaje hapo?
 
walimu mara nyingi ni waadilifu sanaa
huwa wana upendo wa dhati na wanaridhika na hawana tamaa za ajabu ajabu

Ila hawa wa sasa hivi wa divishen nanihii aisee ni maumivu ila KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI.....
 
.mwalimu ni mtu aliyetosheka na Maisha yake .
hapa huwa najiuliza sana, how comes mwalimu na salary ya chini ya laki3 anakuwa na unene wote ule?

kule ni kuridhika na pesa ama ni maumbile tu yao??

lakini kama ni maumbile, inakuwaje wanawake wooote wawe nayo?

is that possible?
 
Teachers wapo humble na compassion na Wana wisdom .I cannot be a teacher kwa Sababu Mimi ni sister do ( according to people ) I have ego ,I'm arrogant and I love money na ninadharau vibaya sisalimiagi watu

jama muwe mnatoa na citation/source ya haya maneno mnayoandika. Naona mnaandika kwa kujiamini sana.
'eti humble na wana wisdom',, wapi? Nani kasema? Lini?
 
Back
Top Bottom