Wanawake wenye profession hizi wana tabia gani mapenzini?

Wanawake wenye profession hizi wana tabia gani mapenzini?

achaa kabsa miss neddy,miaka ya nyuma walimu walikua ndo wahanga wa vvu..kwa sababu cjui ya mshahara mdogo na mazngra ya kaz?

ushawahi kuwa mwalimu/kuwa na ndugu mwalimu??
 
Habari za sasa wana jukwaa..

mimi Excel, nina duku duku ambalo nafahamu linaweza tatuliwa na wadau humu ndani..

naombeni kufahamu wanawake wenye hizi profession wana tabia gani katika ndoa zao ama wanapokuwa uchumbani mwao..

1. wanawake wanasheria..

2. wanawake wenye profession za mambo ya fedha kama finance management na accounting..

3. wanawake madaktari na waalimu..

je, hawa wanatumiaje proffession zao katika cheating wakuu???

asanteni...

madaktar na walio kwenye masuala ya fedha mara nyingi hawana tatizo. Lakin madaktar wako vizr zaid. Ni wapole, wakarim na wanajua kubembeleza...... Binafsi kila napomwona daktar wa kike au ness huwa napagawa sana nao ni wanawake wazur sana jaribu kaka utaenjoy sana
 
Last edited by a moderator:
Mhhh profesheni ina uhusiano gani tna jaman,..enewei mi ntakuwa msomaji tu
 
madaktari/manesi ni waaminifu sana,lakini pia ni watamu sana....

kumbe unawajua vizur. Hawa watu mm naomba Mungu anisamehe tu. Nawapenda sana watamu sana sijui kwasababu ya nguo nyeupe. Kila nikiingia hospital lazma nichukue namba ya nes au dr
 
Niaminivyo mm tabia ya mtu haipimwi kwa proffesion alionayo. Every human being are unique interms of biological and physical make up. Tunaweza sema wanawake wa profession fulani wapo loyal au kinyume chake,lakini inatupasa tufahamu tabia ya mtu ni inborn with character japo zingine zinatokana na mazingira
 
Walimu wa wapi?kama wa nchi hii utakuwa umekosea sana!Nimeona wanavyosaliti wapenzi wao hadi inasikitisha!Magauni sawa wanavaa marefu lakini tabia hazifunikwi na magauni!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

mbona mnapenda sana kuwanyodoa walimu au umewatokea hamna alyekukubalia
kumpata mwalimu hadi ukajipange ndo uanze upya
 
Ukimaliza na sie utuanzishie siredi inayotuhusu sie ambao hatuna cha elimu yoyote zaidi ya darasa la 7

sawa mama!!

halafu nyie huwa nawapendaga sana!! sijui nianze na wewe???
 
Unajua waswahili walisema "Mchagua nazi hupata koroma"
 
mbona mnapenda sana kuwanyodoa walimu au umewatokea hamna alyekukubalia
kumpata mwalimu hadi ukajipange ndo uanze upya

mkuu tunaongea vitu nyeti hapa.. sio mambo ya kutongozana wala kukataliana!
 
Unajua waswahili walisema "Mchagua nazi hupata koroma"

ni kweli mama erick,

lakn ni bora umkue adui yako kabla hujaanza kpigana nae! si ndiyo?
 
Excel , hakuna wanawake trustful and lovable kama wenye fani ya udaktari, tena wale waliosomea vitu vigumu kwenye udaktari kama upasuaji wa moyo na ubongo, na wale madaktari wa watoto.
 
Last edited by a moderator:
madaktar na walio kwenye masuala ya fedha mara nyingi hawana tatizo. Lakin madaktar wako vizr zaid. Ni wapole, wakarim na wanajua kubembeleza...... Binafsi kila napomwona daktar wa kike au ness huwa napagawa sana nao ni wanawake wazur sana jaribu kaka utaenjoy sana
asante sana kaka!

i hope christine ibrahim atakuwa daktari! lols!

doctors i think have no time thinking of cheating! right?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom