Wanawake wenye profession hizi wana tabia gani mapenzini?

Wanawake wenye profession hizi wana tabia gani mapenzini?

how good was she mamii? yani unaweza kutoa elaboration nzuri zaidi kwamba alikuwa mzuri katika nyanja zipi!

Siunajua wanawake wa zamani...kunyenyekea,utii, kusamehe kwa haraka,kujishusha,kujituma kwa sana and all that...kitu ambacho ni kigumu sana kwa wanawake wa siku hizi au hata kama wapo ni wachache sana....dot com ni nooma
 
mamii please niokoe hapo, nipe ukweli kuhusu madaktari!

Umempata doc nini?
Haiweekani ung'ang'ane kiasi hichi...listen my bro kumpata wa kufanana na wewe au wa tabia utakazo wewe kupata kizazi hichi ni ngumu sana otherwise umshirikishe Mungu 100% na uamini pia, watu tunakutana ukubwani kila mtu na tabia zake kikubwa ni kurekebishana na kukubali kubadilika ili maisha yaendelee bila mikwaruzano japo haikwepeki coz binadamu hatujakamilika

Wish you the best of luck
 
Siunajua wanawake wa zamani...kunyenyekea,utii, kusamehe kwa haraka,kujishusha,kujituma kwa sana and all that...kitu ambacho ni kigumu sana kwa wanawake wa siku hizi au hata kama wapo ni wachache sana....dot com ni nooma

I like those behaviors..

endapo mke wangu akija kuwa na tabia shupavu, asipobadilika kiukweli, hatochukua semista mbili ndani mwangu...

lazima adiscontinue ndoa tu!!
 
karucee, kuna watu wengi sana wamebadilishwa na vitu walivyovisomea... wengi mno dadaangu fanya uchunguzi utaona

wanasheria wanaleta sheria mpaka ndani mwao, therefore, sheria imewa-determine mwenendo wa maisha yao..

waalimu wamekuwa walezi wazuri wa familia zao kutokana na maadili ya kilezi wanayofundishwa...

angalia watu wengi sana wenye profession fulani wamekuwa wakiwafundisha watoto wao kuja kuwa na profession km zao

i hope niko ndani ya maneno yako...

back to topic:

kuna mdau mmooja katolea mfano wa mwanasheria mke aliyeolewa na me ambaye si mjuvi wa hayo mambo,
basi kutokana na visheria viingi vya mke, me imebidi amuache sababu ya kukosa maelewano...

unasemaje hapo karucee?
What comes first? Nature or Profession?
 
[SIZE=3 [USER=47929]Excel[/USER] wajua hata Braza kiwatengu nae anataka kujua hili...
mimi ni mwalimu kwa profesheno japo sijakaa huko muda mrefu kivile hasa kuchaangiwa na suala la kwenda shule mara kwa mara katika vipindi tofauti, mkizingatia watu wengi wanapitia kada ya uwalimu ikiwa daraja la kwenda unapotaka, japo na hayo yote nimekaa nikiwa mwalimu mtendaji kwa miaka 8-kwa maana muajira, kwa hiyo najua mambo mengi ya walimu kuanzia maisha yao kwa kuwa hadi sasa naishi katika makazi ya walimu kwa maana wifi yenu ni mwalimu, matarajio yao pindi wapatapo kazi kama hawa walioajira juzi, na mengi zaidi.

sasa kwenye suala la mke bora kwa malezi na maisha kwa ujumla kwangu mimi ni mwalimu, sisemi kwa kuwa nina mwalimu hapana, ila kiukweli ni kazi ambayo haimpi stress kubwa sana zikamchanganya kuhudumia watoto (ikiwa Allah amewaruku watoto), wajua muda wake wa kurudi na kwenda kazi, kazi za ziada (mkukuta) zinajulikana na muda pia.

Pia hawa watu mnaweza kufanya mengi ya maendeleo kwa pamoja kwa kuwa anaweza akawa na muda mwingi wa ziada wakufanya kwa ufanisi indi baba unapomjengea uwezo, na maanisha nini, walimu wengi wakike kwa wa kiume ni waoga, uwoga huu wanafundishwa au wanawekewa mazingira tangu wakiwa vyuoni kuanzia wa Diploma na Digirii, ikiwa sivyo pindi pale wanaporipoti kwenye vituo vyao vya kazi, sasa yahitaji Excel na kiwatengu kufanya kazi ya ziada ya kumolde mwalimu wako.
sasa kwenye suala la tabia ni issue nyingine, Excel walimu waliopitia dip niwazuri kitabia zaidi kuliko wale wengine samahani lakini, sababu hawa wanaangaliwa kwa ukaribu zaidi kuliko, wale kwa hiyo hata wale wenye matabia mabaya wakuta ualimu wanamshape sio kwa wadada hata kwa wakaka, mimi nakiri kabisa ualimu umenibadilisha sana....
ukimkuta mwalimu kicheche ah huyo kicheche haswa, lakini hachukui muda mazingira ya kazi ya mbadilisha. Excel ukiwa unataka kuoa mwalimu usichelewe kufanya hivyo pindi tu anapopata ajira, maana akili yao yote inabaki katika kuanzisha familia suala la kuendelea kielimu hilo ni baadae, baadae sana....
inatosha, au unataka na jinsi wavyocheat....?[/SIZE]

well said mkuu kabanga.Nimependa sana analysis yako
 
Last edited by a moderator:
hili nalo neno mkuu!

ila waalimu nao bana japokuwa wanavumilia shida kama mibuyu ya dodoma,

mbona nasikia wana kashfa sana za kuchapwa nje? inakuwaje hapo?

Mbona hata huyo uliyenaye anachapwa.
 
Namba moja atakuwa mtu wa kukupeleka peleka hata mkiwa nyumbani, atakapokua amekasirishwa kazin
 
all dumb women marry engineers!

mhhh usikariri mwaya wee...kuna engineers nchi hii wana mkwanja MREFUUUUUUU...hehhe,if ur a wife there ur lucky..mana projects zao huwa ni za hela kubwa kubwa tu,miliions to billions,don't underestimate them
 
mkuu umepotea sana aisee!! nini shida?
Gogle nae haonekani!

Nipo busy dodoma, Mimi ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:
Nipo busy dodoma, Mimi ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app

Gogle hacha fix,ungekuwa mjumbe kule mbona tungekoma na stori za kuwazimia wajumbe wa kike.
 
Nipo busy dodoma, Mimi ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
ahaa, ok mkuu!

btw, ulichaguliwa kwa kutumia sifa ipi ndugu?
 
Back
Top Bottom