MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,071
madaktari/manesi ni waaminifu sana,lakini pia ni watamu sana....
Habari za sasa wana jukwaa..
naombeni kufahamu wanawake wenye hizi profession wana tabia gani katika ndoa zao ama wanapokuwa uchumbani mwao..
1. wanawake wanasheria..
2. wanawake wenye profession za mambo ya fedha kama finance management na accounting..
3. wanawake madaktari na waalimu..
je, hawa wanatumiaje proffession zao katika cheating wakuu???
jamani tuangazieni na wanawake wengine katika profession mbali mbali..!
je kazi anayofanya mwanamke inaweza kumbadilisha na kuwa na tabia fulani???
naombeni maoni yenu wadau!
madaktari/manesi ni waaminifu sana,lakini pia ni watamu sana....
Na maengineer msisahau kunipa character zao
Mi nadhani mwanamke hata uwe na professional gani ukifika kwako unatakiwa uwe mke.profesional yako ni huko kazini utamshirikisha mwenzako pale au yale umbayo unadhani ni ya muhimu yeye kujua
Kazi isibadili tabia yako
walimu mara nyingi ni waadilifu sanaa
huwa wana upendo wa dhati na wanaridhika na hawana tamaa za ajabu ajabu
Unataka za wanaume au wanawake?
Sent from my iPhone using JamiiForums
za wanaume nakumbuka sikujibiwaga hili swali