Wengi wadhani ukianza kutamka termilogies nzito nzito ndio kuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri🤣Wanawake weng ni Wadadisi wakubwa kwenye Hisia za watu, Mahusiano (ndoa, urafiki, familia) na Nini mtu anafikiria au anahisi.
Inawezekana anapishana na info tofaut ya namna hizo kila mara ila anapuuzia.
Ndio walivyoumbwa.
Ambao wana weza zaid ya hayo ni wale waliolelewa kwenye Malezi na Elimu tofaut na aka adapt. (Kujipush to the Limit- na wakaweza) Kwahiyo inakuwa advantage kwake.
Ila hii haimanishi atapoteza ule udadisi wa hisia za watu ulioko ndan yake kama mwanamke. Au sio shemela Seran
Kweli. Ujuaji ni mwingi hasa kwa wanaume.Wengi wadhani ukianza kutamka termilogies nzito nzito ndio kuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri🤣
Uwezo wa kuchambua mambo hauna uhusiano na elimu yako, utajua terminologies za kiafya(down syndrome) nitajua za kisheria(malice aforethought), maisha ndivyo yalivyo!
kila mtu ana personal interest zake..we unafurahia siasa mwingine anafurahia michezo, mwingine anapenda utawa mwingine atapenda uzinzi!🫴🏾
Emotional imtelligence, malezi ya jamii yanawaganya wawe karibu na watu huo sio udhaifu ni aina ya akili emotional and social intelligence! Kutozipa uzito au kutozichagua sio kutokuwa na idea nazo!
Hata mimi nikija hapa na ma-activist na ma theorists kama Herbert spencer, August comte, frantz fanonz, karl max na max weber, sio kila mtu kawasikia we ukija na kina charles darwin sjui gregor mendel isaac newton mi pia siwajui.. haya ya kujifunza darasani tusiringie sana kila mtu akitulia akajifunza ni rahisi kuyafaham tutofautishe uchaumbuzi na huu ujuaji mwingine.. sawa shem shem😅
Basi mama utulie sasaWengi wadhani ukianza kutamka termilogies nzito nzito ndio kuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri🤣
Uwezo wa kuchambua mambo hauna uhusiano na elimu yako, utajua terminologies za kiafya(down syndrome) nitajua za kisheria(malice aforethought), maisha ndivyo yalivyo!
kila mtu ana personal interest zake..we unafurahia siasa mwingine anafurahia michezo, mwingine anapenda utawa mwingine atapenda uzinzi!🫴🏾
Emotional imtelligence, malezi ya jamii yanawaganya wawe karibu na watu huo sio udhaifu ni aina ya akili emotional and social intelligence! Kutozipa uzito au kutozichagua sio kutokuwa na idea nazo!
Hata mimi nikija hapa na ma-activist na ma theorists kama Herbert spencer, August comte, frantz fanonz, karl max na max weber, sio kila mtu kawasikia we ukija na kina charles darwin sjui gregor mendel isaac newton mi pia siwajui.. haya ya kujifunza darasani tusiringie sana kila mtu akitulia akajifunza ni rahisi kuyafaham tutofautishe uchaumbuzi na huu ujuaji mwingine.. sawa shem shem😅
Wanaume wa zamani ilikuwa ngumu sana kukuta wanajadili hivi vitu aisee, kwanza ata mpira tu makaka zangu Walikuwa wanaangalia na kuchambua bila kutushangaa sisi kwanini hatujui kitu😃Kweli. Ujuaji ni mwingi hasa kwa wanaume.
Nimetulia babaBasi mama utulie sasa
beby achana na huyo ata asikutoe kwenye mood, au hajui wewe ni genius beautyNdio maana kwenye hiyo field wanaume ni wachache pia, na wakiwepo mnawashangaa sana.. hebu mtupumzishe vinywani vijana looh!
Hajui huyuu😂🫴🏾beby achana na huyo ata asikutoe kwenye mood, au hajui wewe ni genius beauty
Hapa kazungumzia kwa wingi..Sio wote mkuu,
kuna mademu wanajua kila kitu huwadanganyi ...mfano
Ujue kuna wanawake mpaka wana_bet wanachambua odds kama hawana akili timamu
Hajui huyuu😂🫴🏾
huyo jamaa mwenyw kuna kipindi alikuja hapa kuuliza darkweb ni niniHata wanaume wengi tu nje ya michezo (soka) hawajui kitu
Maumivu yake ni zaidi ya aliyopata Mbowe kwa kunyang'anywa ulaji na mnyampaa.Yaani hii inauma sana ila we acha tu.
Kuna mabinti, wanawake na madem wengi wanachosha kuzungumza nao.
Hawana uelewa wa kinachoendelea nchini, duniani, kwenye tech, siasa, wala mada pana.
Mazungumzo yao ni kuhusu drama za celebrities kama kina Diamond na Zuchu. Kutwa kufuatilia watoto wa Paula na Marioo.
Halafu hawafanyii kazi ndoto zao, kwao ni jukumu la mwanaume kuzitimiza.
Mtu hana muda hata wa kufuatilia taarifa ya habari hadi unajiuliza anaishije huyu yaani yeye tamthilia tamthilia na yeye.
Wanafurahi kukomenti kwenye page za umbea wapate likes.
Hata ukimchukua mwanamke aliyesoma ukimtoa nje ya field yake hakuna kingine anachojua zaidi ya umbea.
Mfano mzuri ni hapa JF ingia majukwaa ya tech, intelligence, great thinkers, kimataifa, siasa, ajira na tenda, afya huwezi kukuta mwanamke anacomment cha maana. Ila ingia mada za umbea na ngono MMU wako active
Na hili sio janga la Tanzania tu ni dunia nzima wanawake uwezo wao wa kuchambua mambo mapana ni mdogo sana na wengi hawajui chochote kwenye hii dunia wapowapo tu.
Ni jambo la kushukuru sana kuumbwa wanaume
Kabisa mkuu hawa tulio na JF ndio sample ya wengi walio mitaaniKwahiyo ume conclude kuwa ni wambea...
Taarifa ya habari sio mambo yao kabisaInatisha. Niliwahi kusafiri nikafikia kwa jamaa yangu ni relative. Kajenga nyumba nzuri jamaa ni mtu wa hustle sana. Kwa siku chache nilizokaa pale, hakuna siku tuliangalia taarifa ya habari, kwa sababu jamaa huwa anarudi kwa kuchelewa kama ujuavyo jiji la Dar. So shemeji na wote waliopo home ni mwendo wa tamthilia, wote wanahamia sebuleni kuangalia. Hata ratiba ya kusali ibada haipo. Nawashangaa sana wanawake
Ilinikuta hii miezi kadhaa mwaka jana na mwana tunapiga naye project mkoa aliopo nikafikia kwakeInatisha. Niliwahi kusafiri nikafikia kwa jamaa yangu ni relative. Kajenga nyumba nzuri jamaa ni mtu wa hustle sana. Kwa siku chache nilizokaa pale, hakuna siku tuliangalia taarifa ya habari, kwa sababu jamaa huwa anarudi kwa kuchelewa kama ujuavyo jiji la Dar. So shemeji na wote waliopo home ni mwendo wa tamthilia, wote wanahamia sebuleni kuangalia. Hata ratiba ya kusali ibada haipo. Nawashangaa sana wanawake