min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 47,836
- 132,245
Nyie sio wambea ila ni wanafki , mnaficha uwezo wenu kwenye maumbile yenu yanayoonekana ni dhaifu kumbe sio kweli😅Mmmh kwaiyo sisi wambeya😄😄
Nyie sio wambea ila ni wanafki , mnaficha uwezo wenu kwenye maumbile yenu yanayoonekana ni dhaifu kumbe sio kweli😅Mmmh kwaiyo sisi wambeya😄😄
Good observation.Halafu kila siku mnalalamika humu kua wanawake wasomi hua hawaolewi kwa ujuaji wao,mara Wanawake matajiri hua hawaolewi!
Mnawachanganya hao wanawake mpaka hawajui sasa washike lipi hasa,
Mara Mwanamke akiwa kiongozi mnalalamika,mara wengine wadai kua raha ya Mwanamke asijue mambo mengi,
Vipi kama na wao wakilalamika kua sisi Wanaume hatufuatilii mambo ya umbea,watakua wapo sahihi?
hivi field ya Civil ni ngumu? Kuliko ya Mechanical??.
Acha masikhara wee ujuee, Khaaah..
Watu wanabaruzaa ile ileee.
Bas siku hizi hadi Feminine Gays wanapiga ME na wako fields wanabaruza mbayaaa, nini wanawakee??Mechanical ni mziki haya sasa tuseme kwa mfano binti kamaliza masomo hayo anaingia kupiga kazi
Mechanical imekaa kiume sana inataka mtu mwenye muscles kiaina mademu ambao ni mechanical engineers wakiingia kazini kazi nyingi husaidiwa na wanaume
Hatariiiii, 😂😂😂😂😂Inanishangaza tu pale ambapo mtu anafanya assumptions za kumjua mtu kupitia nyuziðŸ¤
As if ninyi huwa hamsimuliani kuhusu wanawake zenu!!Sahihi mkuu, hata shoo zako ukimlomba usikute mashosti zake wote wanazijua
Nasubiri ruhusaMtag tu ajionee aisee!
Kwamba hawana akili kubwa sana.Hapana kwamba?
O level nimesoma na dada mmoja alikua kipanga wa hatari halafu mbaya zaidi ni pisi kali kinoumaHuwa inauma kinoma demu mkali balaa ila anakimbiza kwenye Computer Engineering. Huko O na A levels kakichafua balaa. Mambo yamebadilika. Unakuta njemba ina-risit Geography na Kiswahili form four.
Hapa watamiminika huta amini mimi na kaa paleee!Kuna mabinti, wanawake na madem wengi wanachosha kuzungumza nao.
Hawana uelewa wa kinachoendelea nchini, duniani, kwenye tech, siasa, wala mada pana.
Mazungumzo yao ni kuhusu drama za celebrities kama kina Diamond na Zuchu. Kutwa kufuatilia watoto wa Paula na Marioo.
Halafu hawafanyii kazi ndoto zao, kwao ni jukumu la mwanaume kuzitimiza.
Mtu hana muda hata wa kufuatilia taarifa ya habari hadi unajiuliza anaishije huyu yaani yeye tamthilia tamthilia na yeye.
Wanafurahi kukomenti kwenye page za umbea wapate likes.
Hata ukimchukua mwanamke aliyesoma ukimtoa nje ya field yake hakuna kingine anachojua zaidi ya umbea.
Mfano mzuri ni hapa JF ingia majukwaa ya intelligence, great thinkers, kimataifa, siasa, ajira na tenda, afya huwezi kukuta mwanamke anacomment cha maana. Ila ingia mada za umbea na ngono MMU wako active
Na hili sio janga la Tanzania tu ni dunia nzima wanawake uwezo wao wa kuchambua mambo mapana ni mdogo sana na wengi hawajui chochote kwenye hii dunia.
Ni jambo la kushukuru sana kuumbwa wanaume
Hata hizo nchi ukienda bado wanawake wengi ni vilaza hao ni wachache tu wanaojielewa ambao ni wachache mnoMimi napinga, hii ni Kwa Tanzania tuu ila mataifa ya wenzetu wanawake wako front Sana na wanaharakati kwelikweli, refer maandamano ya Iran, US na nchi za Europe utaelewa hili, Tena TZ Hata vijana walio wengi Bado hawaaja amka
Toa sababu kwa nini hawana akili kubwa sana , au unafikiri ku wa win katikati ya mapaja inafanya kuona unayo akili kuwazidi?Kwamba hawana akili kubwa sana.
Hivi ni kwan phyz na Maths zinataka nn? Si akili na maarifa? Kwan wanawake hawawezi kuwa navyo?Civil sio ngumu, ila angalia background yake mzee, ni Mathe na Physics. Sasa angalia passmark ya Wadada Darasani kwako wakati unasoma O level utajua shida inakua wapi mpaka darasa la Civil wanawake wanakua wachache
Aisee! Feminine gays ni akina nani hao?Bas siku hizi hadi Feminine Gays wanapiga ME na wako fields wanabaruza mbayaaa, nini wanawakee??
Au wee mantiki yako ni ipii haswaaa??
Hivi ni kwan phyz na Maths zinataka nn? Si akili na maarifa? Kwan wanawake hawawezi kuwa navyo?
Inategemea na interest ya muhusika, kwani wanaume wote ndo wanakua huko kwa CIivil na nyingine km hizoo??
Achana nao, nilikua nakusanua tyuu, kuwa sio hao wanawake tyuu, hata toleo jipya wanakamua hayo madude magumu.Aisee! Feminine gays ni akina nani hao?
Kumbe ni kweli njembaz wanaumia kuona Demu au Gay anabaruza kwenye Elimu.
😂😂😂😂😂 na wanaume wasiosoma phyz na Maths nao tuwaweke kundi ganiii???Physics na Maths vinataka kuumiza akili na wanawake hawataki kuumiza akili wakati kuna alternative kama History, kiswahili, biology ambako huumizi akili na bado wewe ni msomi tu vile vile.
Hujawai kumsikia Samuya anasema na hili mkalitazame?
Sasa bora wanawake mmewazoea hata mkiwaona huko kwa madude magumu hamshangai kihivyo, shida ni hawa gays mkiwaona hamjuagi kujizuia mnashangaa as if wao hawatakiwi kiwa huko.😎😎😎😎😎 naona kiaina unawaingiza Gay kwenye raman.
Dah.