Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 8,380
- 24,710
- Thread starter
- #21
Hatuwakejeli tunaongea tu factsUsiwalaumu wala kuwakejeli. Fahari wawili hawakai zizi moja. Wao hawajaumbwa kuchakata mambo magumu,ndio maana wamewekwa kuwa chini ya Mamlaka ya Mwanaume!.
Wazee wetu walikuwa sahihi mwanamke ni wa kukaa nyumbani tu akili ndogo kwenye kuchakata mambo
Na ndio maana kwenye vikao vizito vya kifamilia au kiukoo ni wanaume tu wanachakata mambo wao wanapewa mrejesho
Uwezo wao ni kwenye kutunza nyumba na watoto haya mengine tumefosi