Wanawake, Wanawake, Wanawake! Nimewaita mara 3

Wanawake, Wanawake, Wanawake! Nimewaita mara 3

Wanawake sometimes wanahitaji mtu wa kuwatia vibao. Ukimuendekeza sana anakupanda kichwani.
True mkuu mimi nilikuwa nawatetea sana wanawake hadi nilipoanza kuwajua namna wanabehave kwa makusudi. Kuna muda unaona kabisa kuwa mwanamke ni anataka kukujaribu na kuona ubavu wako au jeuri yako ina nguvu kiasi gani.... Yaani kwakifupi anakuwa anakushawishi umlabue...
 
Ile 'Manhood' kwenye jamii yetu inaenda kutoweka kwa kasi sana, Ladies punguzeni uzungu jamani, this is too much.!!


MANHOOD kutoweka kwenye jamii" nchi za ulaya zimeshaathirika sana na hali hii,
- wanaume wengi hawahitaji tena ndoa.
- Baadhi ya wanawake nao baada ya kuona ndoa adimu hata boyfriend tu hawataki.
Hii imepelekea hawataki hata kuzaa.
Upweke unazidi kuzikumba hizi nchi.

IPO SIRI KUBWA KWENYE WAZUNGU KUPENDA MBWA HATA KULALA NAO VITANDANI MWAO.

Hivi sasa baadhi ya nchi za ulaya birth rate imepungua sana. Hivyo nguvu kazi pia inapungua pia.

Na sisi tutaelekea huko ikiwa hatutaidhibiti hii hali mapema, na sisi kwetu itatuathiri zaidi kwani mataifa yetu bado ni masikini sana.
Aiseeee ni kweli kabisa mkuu. Hii kitu ina athari sana katika jamii yetu.
 
Haki sawa haitakaa iwepo, we have dix and thats what make the major differences. Mwanamume kuwa imara pia it takes malezi proper. If boys are raised to be men huwezi kuta magoigoi.

Sasa nyie endeleeni kuwapangia akina Davis ratiba za kuosha vyombo na kukaa kaa jikoni halafu muone balaa lake. Treat your boys waweze ku behave like men huko mbeleni.
Kabisa mkuu. Hii kitu nilikuwa naunga mkono ila nimeona effect yake kwa watoto wa mama mdogo, aisee watoto wamekuwa magoigoi. Binti mojawapo alienda ukweni, anajifungia ndani kipindi cha uzazi, hadi mama mkwe akaona kuna shida somewhere.
 
Kabisa mkuu. Hii kitu nilikuwa naunga mkono ila nimeona effect yake kwa watoto wa mama mdogo, aisee watoto wamekuwa magoigoi. Binti mojawapo alienda ukweni, anajifungia ndani kipindi cha uzazi, hadi mama mkwe akaona kuna shida somewhere.
Malezi yana mchango mkubwa sana kuwa shape watoto wetu
 
True mkuu mimi nilikuwa nawatetea sana wanawake hadi nilipoanza kuwajua namna wanabehave kwa makusudi. Kuna muda unaona kabisa kuwa mwanamke ni anataka kukujaribu na kuona ubavu wako au jeuri yako ina nguvu kiasi gani.... Yaani kwakifupi anakuwa anakushawishi umlabue...
Eeh sasa ukiwa fala ndio utashangaa umeanza kujibiwa utumbo...Unaomba maji mwanamke anakujibu kwani we huwezi kuchukua mwenyewe kwenye fridge?
 
Basi tu watu wanaopenda wengine waonekane wabaya wao wema huwa naona something is wrong somewhere, na hapa JF imekuwa trend's kulaumu zaidi ya kutoa solutions, pia ukisema shida nini sidhani matatizo mengine unatumia tu common sense, hafu ujue duniani hamna jipya zaidi ya ujio wa social network na watu kuchaganyika wa makabila tofauti tofauti ndio unaona Kuna tatizo, kumbe nothing new at all, yote ya zamani tu
Haya tuambiwe wewe sasa kipi ni sahihi kwako, so wanawake kuwapanda wanaume zao vichwani na kuwajibu jeuri kwako ni sawa sawa?!

Ukiwa na kaka yako akapata mwanamke anamadharau anamtukana na kumdhalilisha mbele yako na umati utaunga mkono kwasababu ni mwanamke mwenzako ndie anaefanya?!

Ukiwa na mtoto wako wa kiume akajaoa mwanamke hana adabu namjibu kwa dharau na yeye kijana wako anakuwa mpole utaunga mkono?!
 
Wewe tu akili yako ilivokutima vile nimeandika usichokipenda basi 50/50 wakati Mimi sijawaza hyo 50/50 jifunzeni kutofautiana mitazamo mtajaenda sehemu mzalilike bure, na hyo thinking yako imesababishwa na binary system ya malezi tu you don't wanna think outside za box imagine wagunduzi wa vitu mbalimbali duniani wasingejiomgeza na kufikiria tofauti na jamii dunia ingefika hapa ilipo kweli?
Kuna kufikiria tofauti na kufikiria nonsense. Siku zote michango yako huwa unakuwa out of logic......

Yaaani hata tukiongea wanawake kukojoa wamechuchumaa ni sawa wewe utakuja na akili zako za kuhoji kwani wakisimama kama wanaume kunashida gani bila kutumia hata reasoning ya mazoea tu kuwa wanawake na wanaume wanamaumbile tofauti....

Sasa hapa tunaongea ajenda ya wazi kabisa kuwa mwanamke hatakiwi kufokea au kuongea na mwanaume kwa namna ambayo si ya heshima na adabu maana atakuwa anatafuta matatizo ya moja kwa moja.....

Ila wewe unakuja kupinga of which ina suggest unaunga mkono tabia ya mwanamke kuwa mjeuri kwa mwanaume kinyume na tamaduni zetu za kiafrika. So how do u expect us kukutazama like unachosema ni hoja ya msingi, of course utakuwa bashed.

Ukienda Roman ishi kwa namna wanavyoishi watu wa Roman. Ukiwa afrika, ishi kiafrika.

Sio unakaa na waafrika na wewe ni mwafrika halafu unatuletea umagharibi wako hapa lazima tutakuexpel. Kama wewe ni gwiji wa kuargue nenda uarabuni kabishane na kwann wanalazimisha wanawake kuvaa hijabu na baibui 24/7 ile hali mataifa mengine hawalazimishi kuvaa hivyo halafu utaona kama utamaliza hata wiki ukiwa salama...... Jifunze kujitambua itakusaidia sio kuropoka upuuzi tu.
 
Vita ya kuandamwa na Ke wenzio haiwezi kukwepeka Mama, cha muhimu potezea wala usibishane nao maana hapo bado akina Cariha, Rebecca, n.k hawajawasili waliojaa vinasaba vya "full feminism"

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Hao hata kwenye u feminists hawaqualify...... Ni vibinti vinavyoishi katika hali ya denial so inawapa stress na depression.

Unajua mabinti wenye umasikini wa damu ni shida sana.
 
Ukisha shape jamii au family yako inatosha mkuu kwanini kupangia watu life,from experience watu wanaojifanya wema ndio huwa vinara wa tabia zote mbovu kuanzia unafiki, Kuna ma mother kitaa wao daily ilikuwa kuwanyooshea vidole mabinti wa wengine na kuwasema Ila wao wenyewe tabia mbaya na mabinti zao ni single mother so tujifunze kuondoa maboriti yetu kwanzs kabla ya kutaka kujifanya kuondoa ya wengine.
Halafu wewe haupo sawa kiakili nikwambie tena mara ya mia ngapi sijui.

Kwa mtu timamu anajua kabisa mada inaelekeza nini, wewe unasema ni kupangia watu maisha, wewe ni ukweli tu kuwa hauna adabu na ni mtovu wa nidhamu.

Na nina kuhakikisha mwanaume atakae kuweka ndani asipokulabua makofi siku labda awe sio ridhiki...... Haki ya MUNGU utakuja chezea vitasa.
 
Look, hakuna anayepangiwa maisha hapa as you can choose to ignore the whole thread. Hili ni jiwe limerushwa angani, anayejisikia kupita nalo anapita nalo tu, anayeona halimfai anaachana nalo. It's as simple as ABC Cariha.

Hii ni open forum, kila mtu anaandika, ni juu yako kuamua. Wengine mbona wanaona it's so useful, wewe umeona it's useless, haya ndio maisha, hakuna wa kumpangia mwenzake hapa. Tujifunze kuheshimu mawazo ya wengine hata kama hatukubaliani nayo.
Yeye huwa anasema watu wajifunze kuheshimu mawazo ya wengine while in practice huwa anapinga hoja za msingi watu tunapojadili changamoto za jamii. She is so toxic yaani anaboa kichizi.
 
Mbona Mimi nimeelewa Sana nilijaribu kuangalia tu from different perspective na sipapangia mtu Cha kuandika maana hii forum ikiwa na mawazo ya kufanana itakuwa inabore na kupoteza meaning yake, so I decided to write my opinions ka za wengine Kuna kukubaliana na kutokubaliana that's life.
Though huwa nawaonaje watu wanao blame Sana mhhhhhh
I rest my case here
Unasahau kuwa umeandika nini kule juu?!
 
Ghafla nimekumbuka clip moja ya Mchungaji marehemu Peter Mitimingi
Alisema hivi"mwanaume hafokewi,hata kama amekosea, mwanaume anaambiwa ukweli kwa njia nzuri na si kufokewa.
Nyaya za mwanaume ndani zinapigwa shoti anifokeaa"

Ukimfokea mwanaume unaharibu.

Na ninyi wanaume jitahidini msiwakwaze wenzi wenu..nao ni binadamu, Kuna muda wanachoka,Kuna muda wanashindwa kuvumilia.
Yule sio miti mingi.... Ni yule mchungaji mwingine wanafanana fulani na miti mingi ila sio miti mingi...
 
hujui hata maana ya mpinga kristo wewe Yani mtu mwenye different opinions tayari mpinga kristo?
Ndio maana huwa nawapenda mapadri uelewa wao ni mpana Sana maana wamepiga shule
Wewe ni mpinga kristo, sababu maoni yako yanakwenda tofauti na mafunzo ya ukristo na alishaagiza kuwa aaminie maneno ya vitabu vitakatifu tayari anakuwa amaeijua kweli na anakuwa na tunu ya kuurithi ufalme wa mbingu.


Sasa wewe una kila dalili ya kuwa kinyume na bible kwa kila unaloongea, na ndio maana usishangae unapingwa.... Na hao wanaokuunga mkono unaona wazi wanakuona kama mtu aliyechanganyikiwa wao wanapiga yowe za kinafiki za kumshangilia ile hali wanambeza.
 
Wewe unatumia vibaya maandiko kwa mtindo huu waweza jikuta jehanamu bure Yani hoja simple unakuja na kumpinga mwanaume, kwani hapo tuko kwenye mashindano ya mwanamke na mwanaume, to me this is so cheap coz Mimi sishandani na jinsia tofauti na yangu.
Mapadri level yao ya uelewa ni mpana kuliko hao walokole wajinga
Hoja yako ni ipi?!
 
Eeh sasa ukiwa fala ndio utashangaa umeanza kujibiwa utumbo...Unaomba maji mwanamke anakujibu kwani we huwezi kuchukua mwenyewe kwenye fridge?
Halafu wewe akikuomba pesa ukamwambia huwezi kutafuta pesa, anakwamba sasa wewe mwanaume gani unakuwa hivyo?!
 
Back
Top Bottom