Siku hizi wanawake wamekuwa niwatu wanafanya vibiashara vyenye kuwapa 10000-50000 kwa siku sasa hiii huwapa Sana confidence wanawake nakuoa kuwa nawao wanaweza kuwa baba ndo maaan sikuiz masingle. Maza wanazid kuongezeka hapa mjini na wengine wanpenda kuwa masingle maza yaaan.
Pia wanaume wengi hapa mjin wamekuja kuwa wavivu mnooo kuliko wanawake so unakuta mwanamke anamvisha anamnunulia pombe na mda mwingine mwanamke ndo anasaidia familia ya mwanaume.
Hiii ni mbaya sana mwanamke kumpita mwanaume kipato niheriii mwanamke akupite umri ila sio kipato bana hawa wanawak hawa wakiwa juuu kifedha.
Bro hata huongeeee nn hakuna kitu atakuelewa . Hiii ilinikuta kipind nipo marioo sitak hela ila nataka mwanamke mwenye hela nilikuwa napigiwa kelele bar daah nakuitwa kaka kuku yaaan😂😂😂😂