Wanawake, Wanawake, Wanawake! Nimewaita mara 3

Amesema Ukweli, Wanaume lazima tuheshimiwa na siyo kuleta ushindani wa kijinga eti haki sawa,simama kwenye nafasi yako Kama Mwanamke na utawa enjoy sana Wanaume!!
I do believe kila mtu ana nafasi yake ya ku play, mwanamke play ur party na mwanaume pia, hii blaming one jinsia as if other gender Ni malaika not tight kabisa, maana at the end no one is perfect, na ukiona mtu afanya jambo hyo ni weakness tu ya kiubinadamu
 
Unataka uonewe huruma na shujaa kwa weakness zako kama mwanamke ila uwe huru kublame wanaume , wachaji Mungu unawaona wanafiki , wana ibilisi wenzio ndio watakuelewa na mtaaafiri pamoja kwenda kuzimu eti tutakutana mbinguni mbingu
gani unazungumzia , Mungu aliyesema hampi nafasi mwanamke kumtawala mwanaume nawe humu
Kutwa kucha unapiga mbiu kukataa kumtii mme , endelee kuniita mnafiki hata yesu aliitwa mwendawimu alijibu msamehewe sababbu hamjui mlitendalo soma bible
1 Timotheo 2:11-12 ..” mwanamke na ajifunze katika utulivu , akitii kwa kila namna , simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha wala kumtawala mwanaume, bali awe katika utulivu “ haya tukifika mbinguni tuje kukumbushana, jumapili njema .
 
Wewe tukutane mbinguni tu, pia staki huruma ya mtu humu JF ndio maana huwa naandika ninachoamini hasa Kama zivunji Sheria za nchi na JF wengi wametukana wamechoka, only God can judge mi sihitaji huruma ya kenge yoyote humu.
Na wewe ndio mnafiki hujui maandiko kabisa unatumia sehemu isiyo sahihi, ule ule unafiki wa washika dini wasioelewa Imani. So relax Mimi binadamu so uibilisi wako usinisakizie Mimi Tena unajificha kwenye kichaka Cha maandiko uonekane mwema, maana hata shetani anajua maandiko yote kuliko wewe unayetulana huku na kuona wengine hawafai
 
Mungu wangu
Nyie watu mtaniua kwa kicheko
 
Wewe nj mpinga kristo
nilio nao safarini ya mbinguni yetu nawajua twajuana nawe unajuana na ulionao safari yako mbingu yenu ya kijeuri.
Waendao safari ya mbinguni ya Mungu aliyeumba mbingu na nchi , bahari na mito ni wanyenyekevu , vinginevyo nikuchukulie mchanga kiroho hivyo sitachoka kukuhubiria hata mm nilivyokuwa mchanga niliwasema sana niliowaona wamekomaa kiroho kuliko
mimi .
 
Mwanamke anakujibu kutokana na anavyokuchukulia . Hata nikosee mwanamke wangu inatakiwa tuzungumze kistaarabu hawez jaribu kunyanyua mdomo na kupayuka. Mwanamke anapokujibu vibaya tatizo liko kwa mwanaume umemzoesha ivyo
 
Hi guys,
Sijawasalimu siku nyingi wacha tu Leo niwasalimu,

Naomba tu nisichokwe, kuna vijitabia kwenye jamii wengine hatuwezi vifumbia macho, wahusika nawasema vizuri tu na wengine humu wenye vijitabia hivyo nawakumbusha tu aiseeh' waachane navyo maana vinaboaa..!!

Kuna hii tabia hasa naona hawa warembo wa sahii ndiyo wamepamba nayo moto khatari, hivi huu ujasiri wadada wa kuwajibu ovyo waume ama wapenzi wenu mbele za watu mnatoa wapi..!?
Good Lord..! Vidada vya sikuhizi havina kheshima jamani mpaka kero.! Yaani unakuwa pahala mpaka pa kuweka uso wako unakosa, kama ndiyo upo ugenini unatamani kuaga.!

Yaani huwa naishiwa pozi mpaka wakati mwingine nalazimika kutoka nje maana najiskia vibaya sana, nawaza tu Mimi nahisi vibaya hivi, je huyu nwanaume wa watu maskiini! Walaqhi' you guys are passing through hell uwiiih'.. Naanza kupunguza kuwahukumu kuna mambo sisi wanawake ndiyo chanzo, vile nisivyopenda mtu anidharau halafu naona mwanaume, Baba, Kichwa cha familia anadhalilishwa kiasi kile mbele za watu, yaani mwanamke hajali kuna watoto ama mgeni, anaropoka tu neno lolote linalomjia kinywani, wanawake wenye hii tabia kuni yenu inachochewa, mlivyoambiwa 'watiini waume zenu' hamkuambiwa bahati mbaya..!

Hivi ni kizazi gani kinatengenezwa sahii.? Ni ukosefu wa malezi.? Ni hizi pesa wanawake wanazomiliki? Ni wanaume kuna mahala mnafeli? Ama ni gani.? Hii kiburi na jeuri wako nayo wanawake wa sahii ni ya dunia nyingine, wametoka nayo wapi, maana khali ndiyo inazidi kuwa mbaya, yaani inafika pahala you can't differentiate the two, hujui here who issa husband, who issa wife maana wote wamemea pembe.!

Naomba niachie hapa sintomaliza, Wanaume ni lazima mfanye jambo haqyamama, Ile 'Manhood' kwenye jamii yetu inaenda kutoweka kwa kasi sana, Ladies punguzeni uzungu jamani, this is too much.!!
Ghafla nimekumbuka clip moja ya Mchungaji marehemu Peter Mitimingi
Alisema hivi"mwanaume hafokewi,hata kama amekosea, mwanaume anaambiwa ukweli kwa njia nzuri na si kufokewa.
Nyaya za mwanaume ndani zinapigwa shoti anifokeaa"

Ukimfokea mwanaume unaharibu.

Na ninyi wanaume jitahidini msiwakwaze wenzi wenu..nao ni binadamu, Kuna muda wanachoka,Kuna muda wanashindwa kuvumilia.
 
hujui hata maana ya mpinga kristo wewe Yani mtu mwenye different opinions tayari mpinga kristo?
Ndio maana huwa nawapenda mapadri uelewa wao ni mpana Sana maana wamepiga shule
 
Neno la Mungu linasema mwanamke asimtawale mwanaume 1 Timotheo 2 : 12b nitajie huyo padri aliyepiga shule anayepinga hili andiko
 
Wewe unatumia vibaya maandiko kwa mtindo huu waweza jikuta jehanamu bure Yani hoja simple unakuja na kumpinga mwanaume, kwani hapo tuko kwenye mashindano ya mwanamke na mwanaume, to me this is so cheap coz Mimi sishandani na jinsia tofauti na yangu.
Mapadri level yao ya uelewa ni mpana kuliko hao walokole wajinga
 
Ghafla nimekumbuka clip moja ya Mchungaji marehemu Peter Mitimingi
Alisema hivi"mwanaume hafokewi,hata kama amekosea, mwanaume anaambiwa ukweli kwa njia nzuri na si kufokewa.
Nyaya za mwanaume ndani zinapigwa shoti anifokeaa"

Ukimfokea mwanaume unaharibu.

Na ninyi wanaume jitahidini msiwakwaze wenzi wenu..nao ni binadamu, Kuna muda wanachoka,Kuna muda wanashindwa kuvumilia.
Mwanaume hafokewi, yes hafokewi bali anaongeleshwa kwa upendo, after that unampa tunda and you're good to go

Enyi wake watiini waume zenu, enyi waume wapendeni wake zenu. Si rahisi tu Anne?
 
Wewe unatumia vibaya maandiko kwa mtindo huu waweza jikuta jehanamu bure Yani hoja simple unakuja na kumpinga mwanaume, kwani hapo tuko kwenye mashindano ya mwanamke na mwanaume, to me this is so cheap coz Mimi sishandani na jinsia tofauti na yangu.
Mapadri level yao ya uelewa ni mpana kuliko hao walokole wajinga

Upadri si utashi wa mtu na kazi kama kazi nyingine , ulokole sio ajira kama
Kwenda mbinguni kunahitaji
uelewa basi maprofessor wote na maphd holder wangejaza siti mbinguni . Endelea na maisha yak ya mapambano iwe ya jinsia yako sawa wewe sio wa kwanza . Uzuri sisi wanaume hatutishwagi na wanawake kama nyie zaidi tunajiongeza kwa kuwaheshimu kwani mlituzaa na tumewazalisha
pia , mkitaka mtuweze jizalisheni wenyewe, huko sijui majipa raha kama si midoli basi yupo dume longine linajisaidia.
 
Hi guys,
Sijawasalimu siku nyingi wacha tu Leo niwasalimu,

Naomba tu nisichokwe, kuna vijitabia kwenye jamii wengine hatuwezi vifumbia macho, wahusika nawasema vizuri tu na wengine humu wenye vijitabia hivyo nawakumbusha tu aiseeh' waachane navyo maana vinaboaa..!!

Kuna hii tabia hasa naona hawa warembo wa sahii ndiyo wamepamba nayo moto khatari, hivi huu ujasiri wadada wa kuwajibu ovyo waume ama wapenzi wenu mbele za watu mnatoa wapi..!?
Good Lord..! Vidada vya sikuhizi havina kheshima jamani mpaka kero.! Yaani unakuwa pahala mpaka pa kuweka uso wako unakosa, kama ndiyo upo ugenini unatamani kuaga.!

Yaani huwa naishiwa pozi mpaka wakati mwingine nalazimika kutoka nje maana najiskia vibaya sana, nawaza tu Mimi nahisi vibaya hivi, je huyu nwanaume wa watu maskiini! Walaqhi' you guys are passing through hell uwiiih'.. Naanza kupunguza kuwahukumu kuna mambo sisi wanawake ndiyo chanzo, vile nisivyopenda mtu anidharau halafu naona mwanaume, Baba, Kichwa cha familia anadhalilishwa kiasi kile mbele za watu, yaani mwanamke hajali kuna watoto ama mgeni, anaropoka tu neno lolote linalomjia kinywani, wanawake wenye hii tabia kuni yenu inachochewa, mlivyoambiwa 'watiini waume zenu' hamkuambiwa bahati mbaya..!

Hivi ni kizazi gani kinatengenezwa sahii.? Ni ukosefu wa malezi.? Ni hizi pesa wanawake wanazomiliki? Ni wanaume kuna mahala mnafeli? Ama ni gani.? Hii kiburi na jeuri wako nayo wanawake wa sahii ni ya dunia nyingine, wametoka nayo wapi, maana khali ndiyo inazidi kuwa mbaya, yaani inafika pahala you can't differentiate the two, hujui here who issa husband, who issa wife maana wote wamemea pembe.!

Naomba niachie hapa sintomaliza, Wanaume ni lazima mfanye jambo haqyamama, Ile 'Manhood' kwenye jamii yetu inaenda kutoweka kwa kasi sana, Ladies punguzeni uzungu jamani, this is too much.!!
Kwa sisi tuliyo kwenye ndoa tunajua vizuri ulichokiongea hapa ila kuna watu watakubishia hasa ke wenzako. Ke wana vimaneno fulani hivi vya kuudhi ila wenyewe wanahisi kawaida tu.
 
Mwanamke anakujibu kutokana na anavyokuchukulia . Hata nikosee mwanamke wangu inatakiwa tuzungumze kistaarabu hawez jaribu kunyanyua mdomo na kupayuka. Mwanamke anapokujibu vibaya tatizo liko kwa mwanaume umemzoesha ivyo
Mfano unamwambia Ke nataka nifanye moja mbili tatu hapa nyumbani.
Anakujibu " mipango mingi hela yenyewe unayo?
Je hilo ni jibu zuri au kawaida tu?
 
Mwanaume hafokewi, yes hafokewi bali anaongeleshwa kwa upendo, after that unampa tunda and you're good to go

Enyi wake watiini waume zenu, enyi waume wapendeni wake zenu. Si rahisi tu Anne?
Mnatupenda kinafiki Ndiyo maana
 
Upadri si utashi wa mtu na kazi kama kazi nyingine , ulokole sio ajira kama
Kwenda mbinguni kunahitaji
uelewa basi maprofessor wote na maphd holder wangejaza siti mbinguni . Endelea na maisha yak ya mapambano iwe ya jinsia yako sawa wewe sio wa kwanza . Uzuri sisi wanaume hatutishwagi na wanawake kama nyie zaidi tunajiongeza kwa kuwaheshimu kwani mlituzaa na tumewazalisha
pia , mkitaka mtuweze jizalisheni wenyewe, huko sijui majipa raha kama si midoli basi yupo dume longine linajisaidia.
Mlokole asiye na shule ni zero brain kutwa anakuwa mpumbavu kwa kutafsiri vibaya maandiko, daily kunyooshea wenzako vidole badala ya kuondoa boriti lake kwanzs. Anakuwa Hana tofauti na wasabato masalia waliokuwa wanataka kwenda nje ya nchi wameenda kukaa nje ya airport wakisubiri muujiza wapeperuke Hadi Marekani huku hawana Cha tiketi, Wala passport. Na huko ndio kutumia vibaya maandiko na kuyatafsiri vibaya
 
Wewe hujampokea Yesu maishani mwako cos unaona haina faida una kuwa hakuna aliye perfect , wewe kukosea unaona ni weakness ya binadamu as long as una akili za maisha . Walokole ni watu wa imani wanajua wao wana weakness wanajua yupo Mungu aliyejifunua kupitia Yesu , walokole wanaamini Yesu alikufa msalabalanj kwa ajili ya weakness zao , kiburi kama chako, uzinzi , ufiraji , wizi , uchawi nk wanaishi maisha ya kujua wao ni binadamu dhaifu kutenda dhambi ambalo ni chikizo kuu la Mungu kwa wanadamu na hawapendi kumuushi Mungu ndio maana wanatubu kila siku , kusali
Na
Kushuhudia , walokole wengi wanabezwa kwa sababu kiasili mwanadamu hapendi makatazo ya Mungu na ukitaka kuuzi watu wahubirie madhaifu yao , mlokole ana ushuhuda wa Mungu alivyombadilisha jambo fulani hapo ndipo walokole wanapobezwa kama wewe cariha unavyowaita walokole wajinga .
Walokole wamejaa imani kali , iliona corona ilipoingia hao wasomi wako mapadri mbona walifunga makanisa yao , mpaka Rais wa nchi Mhe. JPM ikabidi akatoka
hadharani akasali hadhari pale kwenye miamba Dodoma na akahaminisha Dunia corona haitagusa Tz na kweli corona iligwaya ,walokole wamejaa imani wao wanaamini udhihirisho wanamaachia Mungu ukiwebeza hawajali hofu yao kuu ni kumkosea Mungu , wanaanza kuamini then wanafanyia kazi wanachokiaminisha Mungu huwatengeneze ramani mwanadamu wengine labda wale wafunuliwao maono hujua utekelezaji mpango proposal ikapelekwa kwa sir God kwanza.

Nakuombea macho yako ya rohoni yatiwe Nuru ujue tumaini la mwito wake Mungu jinsi ulivyo na urithi na utajiri katika utakatifu jinsi ulivyo .

Wapo walokole matajiri wakubwa duniani wapo wasomi wakubwa walokole ,
Cariha fuatisha sala hii , ee Mungu naomba mimi ..... taja jina lako nisamehe weakness zangu , ee Yesu karibu uingie ndani ya moyo , nafsi , akili na ufahamu yangu uwe kiongozi wa maish yangu , amin baada ya muda utaona mabadiloki katika ufahamu wako nakuombea Roho Mtakatifu atakuombea zaidi .
 
Mfano unamwambia Ke nataka nifanye moja mbili tatu hapa nyumbani.
Anakujibu " mipango mingi hela yenyewe unayo?
Je hilo ni jibu zuri au kawaida tu?
uyo mwanamke anayeniuliza ela yenyewe ninayo ? Hadi apo iyo ni dharau inatakiwa ashauri ni namna gani tutafanya kufikia malengo. Na kama kakujibu mkiwa ndani sio tatizo ni kumpotezea maswala yote ya maendeleo haumshirikish tena . Kama ni mbele za watu amekujibu teach her a lesson kwa slap moja hatakaa akupe majibu ya ivyo mbele za watu
 
Back
Top Bottom