Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,152
- 190,689
Hahahah wanawake bana hovyo sana.Halafu wewe akikuomba pesa ukamwambia huwezi kutafuta pesa, anakwamba sasa wewe mwanaume gani unakuwa hivyo?!
Hahahah wanawake bana hovyo sana.Halafu wewe akikuomba pesa ukamwambia huwezi kutafuta pesa, anakwamba sasa wewe mwanaume gani unakuwa hivyo?!
Hakiyani ningemzibua mbele za hao watu na wao ndio wangekua mashahidi hata kama sina pesa huwezi niendesha kimbulula hivyo aisee!E bana huyu ni dada yangu mmoja ivi ndio ana tabia hizo. Aisee kampanda mumewe kichwani mpaka aibu tunaona sisi kaka zake. Sijui kamloga? Maana kuna vitu mwanaume mwenzio anaweza kuwa anafanyiwa we ukiangalia hasira zinakupanda vibaya sana!
Kuna siku tupo kwenye harusi watu kibao ndugu, jamaa na marafiki na huyo dada alikuwepo na mume wake. Yaani dada anadiriki kuwaambia watu "huyu ni mwanaume? We unaona kuna mwanaume hapa? Yaani wanaume wakiitwa na huyu atatoka?" Na maneno mengine kama hayo na jamaa anasikia..! Yule jamaa kusema kweli nilishindwa kuelewa ni nini hasa tatizo. Ila sema saa nyingine mwanaume ukiwa mpole sana halafu uwe huna hela aisee utapata tabu sana hapa duniani labda usiwe na mwanamke.
Halafu usiku ukalale wapi? 😀Hakiyani ningemzibua mbele za hao watu na wao ndio wangekua mashahidi hata kama sina pesa huwezi niendesha kimbulula hivyo aisee!
Ukitaka umuweze mwanamke,mosi uwe na pesa kumzidi na usimpe nafasi ya kukuzidi,pili uwe na ka ukaksi kiasi yaani usioneshe unampenda au kumjali saana wewe kuwa kauzu na vibao viwe vinahusika ,mwisho sio kila lalamushi au dai unalitekeleza hapo utaishi salama kinyume chake utadhalilishwa na utakuwa punda wa kutumikishwa kila siku.Mimi hata mwanamke ajilalamishe vipi huwa sijali nafanyaga yanguE bana huyu ni dada yangu mmoja ivi ndio ana tabia hizo. Aisee kampanda mumewe kichwani mpaka aibu tunaona sisi kaka zake. Sijui kamloga? Maana kuna vitu mwanaume mwenzio anaweza kuwa anafanyiwa we ukiangalia hasira zinakupanda vibaya sana!
Kuna siku tupo kwenye harusi watu kibao ndugu, jamaa na marafiki na huyo dada alikuwepo na mume wake. Yaani dada anadiriki kuwaambia watu "huyu ni mwanaume? We unaona kuna mwanaume hapa? Yaani wanaume wakiitwa na huyu atatoka?" Na maneno mengine kama hayo na jamaa anasikia..! Yule jamaa kusema kweli nilishindwa kuelewa ni nini hasa tatizo. Ila sema saa nyingine mwanaume ukiwa mpole sana halafu uwe huna hela aisee utapata tabu sana hapa duniani labda usiwe na mwanamke.
Hili la pesa ni muhimu Sana la sivyo fanya hata manuva uwe controla wa pesa za mkeo au tumia zakekutafuta zako zaidi hata kwa janja janja ya kumlubuni ili ushike uchumi.Hili tayari limeshakuwa tangu hapo zamani. Hautaweza kufanya maamuzi kwakutumia mfuko wa mwenzio.
Pesa imenunua watu , pesa imenunua uhai wa watu.
Hauna namna kwasasa.
Umepewa title huko ,they call you "Great Cariha" 😆😆😆😆Hajazaliwa wa kunikemea kwa kweli usipoteze mda wako bure, hao wanawake wakinipinga hamna shida plus nyie wanaume so I don't care Baki na unachoamini sijakulazimisha kila mtu na msimamo wako kemea familia yako inatosha. Hafu huwa napenda mijadala huru isiyo na unafiki ndani yake tofauti na wanafiki so my dear relax, maana sikuhizi na spare my energy hukubaliani nami there is ignore list tusifanye iwe big issue, kikubwa tukutane mbingunimtakatifu wa JF
Wanawake hamfanani tabia na mtizamo wa masuala ya ndoa,watu wa vyama vya jinsia hao wa kutetea maslahi ya wanawake Kuna mwaka fulani wafanya utafiti wa hiyo hojayako sasa Cha kushangaza wanawake waliunga mkono makofi Kama njia ya kwenda sambamba kwenye ndoa huku wanaume wakikiri kuzabua makofi japo wao walidai hawaipendi hiyo njia Ila inawalazimuJapokuwa Mimi ni muumini wa mfumo dume ila siungi kabisa hoja ya kumpiga mwanamke Kama njia ya kumfunza adabu
Mimi nilikuwa sipendi mambo ya kuzabana vibao na kiufupi nilikuta vibao havileti tija huwa Niko tayari kubwaga manyanga maana unaweza ishia jela ,sasa mwanamke akawa Mara ajisifie alivyokuwa anaogopeka kwa kuzaba wanaume wakiwa shule,Mara aseme yeye ananiheshimu tu kwa kuwa ni mume Ila anaweza nizabua na bla bla kibao za kuonyesha yeye ni mwamba kumbe anajaribu kutafuta kupima ubavu si unajua ukiwa slim wengi wao ni mabonge .True mkuu mimi nilikuwa nawatetea sana wanawake hadi nilipoanza kuwajua namna wanabehave kwa makusudi. Kuna muda unaona kabisa kuwa mwanamke ni anataka kukujaribu na kuona ubavu wako au jeuri yako ina nguvu kiasi gani.... Yaani kwakifupi anakuwa anakushawishi umlabue...
Kupigwa kwangu mimi,HAPANA na namaanisha HAPANA kweliWanawake hamfanani tabia na mtizamo wa masuala ya ndoa,watu wa vyama vya jinsia hao wa kutetea maslahi ya wanawake Kuna mwaka fulani wafanya utafiti wa hiyo hojayako sasa Cha kushangaza wanawake waliunga mkono makofi Kama njia ya kwenda sambamba kwenye ndoa huku wanaume wakikiri kuzabua makofi japo wao walidai hawaipendi hiyo njia Ila inawalazimu
Hata Mimi nimethibitisha hii njia ikiwemo aggressiveness so sio Mara zote anachodai mwanamke hapendi au hataki kwamba anamaanisha ,big No
Wakuu muacheni my dada Cariha apumue anachangamsha kijiwe tu hapa she is understanding mbona Mimi namuelewa,mambo mengine msichukulie serious kiviile not necessarily kwamba ndio mtu Yuko.Sio vibaya kumsemea rafikiHalafu wewe haupo sawa kiakili nikwambie tena mara ya mia ngapi sijui.
Kwa mtu timamu anajua kabisa mada inaelekeza nini, wewe unasema ni kupangia watu maisha, wewe ni ukweli tu kuwa hauna adabu na ni mtovu wa nidhamu.
Na nina kuhakikisha mwanaume atakae kuweka ndani asipokulabua makofi siku labda awe sio ridhiki...... Haki ya MUNGU utakuja chezea vitasa.
Ha ha! Sawa mi nawe sweetie Ni wawapi wavigodoro au..?😂Angalia PM
Ushapata mume tyr...
Hapo umemjumuisha na Mzazi wako wa like!?
Usirudie kusemea wote.. Tumia baadhi,,,,
BtN sielewi hao waropokaji wanaishi wapi? Au unazungimzia hao wa uswahilini a.k a vigodoro,, kila MTU anapata mwenza kulingana na alivo,,, wewe km ni wa vogodoro utapata vigodoro wenzio, saaasa ukiwa km jirani ukasikia wanaropokeana unatoka baluu kuja kupost huku,, wacha watu maisha hao yaendelee huwezi huo mtaa hama naenda sehemu zilizo staarabika...
Mara nyingi sana (japo sio zote) mwanamke kupigwa hua anakutafuta mwenyewe. Mimi tangu namfahamu marehemu baba yangu mpaka nimekua mtu mzima sikuwahi kumuona akimpiga mama. Mwanamke akiwa na busara hasa ya kujua jinsi ya kuchunga domo lake, ni ngumu sana kupigwa. Namshukuru Mungu nipo kwenye ndoa mwaka wa 12 sasa na sijawahi kunyanyua mkono wangu kumpiga wife.Kupigwa kwangu mimi,HAPANA na namaanisha HAPANA kweli
Kupigwa kwangu mimi ni HAPANA haipo sababu ya kunifanya nichukulie poa kupigwa,,Mara nyingi sana (japo sio zote) mwanamke kupigwa hua anakutafuta mwenyewe. Mimi tangu namfahamu marehemu baba yangu mpaka nimekua mtu mzima sikuwahi kumuona akimpiga mama. Mwanamke akiwa na busara hasa ya kujua jinsi ya kuchunga domo lake, ni ngumu sana kupigwa. Namshukuru Mungu nipo kwenye ndoa mwaka wa 12 sasa na sijawahi kunyanyua mkono wangu kumpiga wife.
😍Kwenye kuitafuta amani wote mpo responsible. Lazma muhakikishe all stressings are out! Vitu ambavyo sio vya lazima muachane navyo concetrate on what works kwa wakati huo na kushirikiana. Mambo ya kuvimbiana ndio yanaua amani katika ndoa nyingi. Ukifanyia jambo zuri mpenzi wako humfanyii favor bali unatekeleza wajibu wako kama patner. First approach towards a happy relationship.