Wanawake, Wanawake, Wanawake! Nimewaita mara 3

Unapenda kulaumu wanawake wewe sijui unataka ku impress wanaume humu as if wewe ni mwanaume, I always prefer a solution taker kuliko a blame person, coz hapa JF mada za kusema wanawake ndio hupata comments nyingi.
Nadhani ametoa solution pia, katika ku-shape tabia za watu this has to happen. Unakuwa bitter ili kutengeneza na kama amekuwa bitter basi this is for the better.

She's trying to shape up the society which is starting to be broken. Wanawake waropokaji mostly wamelelewa vibaya, wamekopi hulka mbaya either za wazazi au walezi wao.
 
Ukisha shape jamii au family yako inatosha mkuu kwanini kupangia watu life,from experience watu wanaojifanya wema ndio huwa vinara wa tabia zote mbovu kuanzia unafiki, Kuna ma mother kitaa wao daily ilikuwa kuwanyooshea vidole mabinti wa wengine na kuwasema Ila wao wenyewe tabia mbaya na mabinti zao ni single mother so tujifunze kuondoa maboriti yetu kwanzs kabla ya kutaka kujifanya kuondoa ya wengine.
 
Look, hakuna anayepangiwa maisha hapa as you can choose to ignore the whole thread. Hili ni jiwe limerushwa angani, anayejisikia kupita nalo anapita nalo tu, anayeona halimfai anaachana nalo. It's as simple as ABC Cariha.

Hii ni open forum, kila mtu anaandika, ni juu yako kuamua. Wengine mbona wanaona it's so useful, wewe umeona it's useless, haya ndio maisha, hakuna wa kumpangia mwenzake hapa. Tujifunze kuheshimu mawazo ya wengine hata kama hatukubaliani nayo.
 
Common sense jitahidi iongozwe na hofu ya Mungu kwani zipo common sense za kishetani zinazomuongoza mtu kufanya ya kishetani na akaona sawa tu na itokee upate mpambe ndio hapo anapokuja mwanamke mwenzenu anawakosoa mnavyotenda isivyopaswa mwanamke kumtendea hasa mume wake unaona anawafanya muonekane wabaya yeye aonekane mwema mwenzenu common sense yake inamuongoza kujua wajibu na nidhamu ya mwanamke mbele ya mwanaume publicly hata mkiwa mpo bee haimpress wanaume , bora mjengane wenyewe kwa wenyewe kupunguza kesi za kuletwa magunia ya mkaa majumbani.
Huyu Mungu tunapenda kumpa kazi zisizo na kichwa Wala miguu, ndio maana tukaumbwa na akili ili tutawale mazingira na vitu vinavyotuzunguka maisha, so tusipende kutumia kichaka Cha Mungu ka kuficha madhaifu yetu na ufikiri wa akili. Maana nimeona watu wengi hata hawaamini Mungu na Wana matendo mema na tabia njema ya utu kuliko wanaosali mda mrefu na mwingi daily kunyooshea watu vidole.
 
Whatever man...mimi kupigwa nimegoma
Najua unakataa lakini ukweli ndiyo huo na huniweka huru daima, hujiulizi kwanini Me wakorofi hudumu sana kwenye mahusiano na Ke?

Unadhani zile tamthilia za mapenzi za Wafilipino ndiyo ndoa halisi inavyotakiwa iwe?

Si kila kosa nitakuwa nakupiga la hasha! lakini kama hilo la kufokewa mbele za watu ni lazima nikukumbushe kwa kofi tena lenye uzani kuwa mi ni Mumeo wala si Ke mwenzio.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Look, hakuna anayepangiwa maisha hapa as you can choose to ignore the whole thread. Hili ni jiwe limerushwa angani, anayejisikia kupita nalo anapita nalo tu, anayeona halimfai anaachana nalo. It's as simple as ABC Cariha.

Hii ni open forum, kila mtu anaandika, ni juu yako kuamua. Wengine mbona wanaona it's so useful, wewe umeona it's useless, haya ndio maisha, hakuna wa kumpangia mwenzake hapa. Tujifunze kuheshimu mawazo ya wengine hata kama hatukubaliani nayo.
Mbona Mimi nimeelewa Sana nilijaribu kuangalia tu from different perspective na sipapangia mtu Cha kuandika maana hii forum ikiwa na mawazo ya kufanana itakuwa inabore na kupoteza meaning yake, so I decided to write my opinions ka za wengine Kuna kukubaliana na kutokubaliana that's life.
Though huwa nawaonaje watu wanao blame Sana mhhhhhh
I rest my case here
 
Huyu Mungu tunapenda kumpa kazi zisizo na kichwa Wala miguu, ndio maana tukaumbwa na akili ili tutawale mazingira na vitu vinavyotuzunguka maisha, so tusipende kutumia kichaka Cha Mungu ka kuficha madhaifu yetu na ufikiri wa akili. Maana nimeona watu wengi hata hawaamini Mungu na Wana matendo mema na tabia njema ya utu kuliko wanaosali mda mrefu na mwingi daily kunyooshea watu vidole.

Wewe pinga kumhusisha Mungu endelea kutumia akili zako kana kwamba uliziumba wewe, nani ana akili kumzidi Mungu , utu wa mtu unatokana na msukumo wa mtu unaomwambia hiki chema hiki kibaya . Mtu anaweza hana muda wa kusali lakini msukumo wake ni kutenda mema , kutegemea akili Mungu pembeni ndio akina Oprah hao endelea tu , tunawasikia wakiuangazia ulimwengu hata wao mungu na wengine wameanzisha makanisa wakitaka waabudiwe , endelea kuthink nje ya box ya uumbaji wa Mungu chochoe ufumbuzi wa zidumu fikra za cariha, hata shetani ali think nje box alipokuwa mbinguni akafukuzwa kaja duniani na tunaona kapata mashabiki live freemason nawe kazana utapata mashabiki na dini yako , mume wa nn , akili common sense inatosha vinginevyo ww ni jini kuongea na wewe inabidi kuvaa siraha za kiroho wagalatia 6:13-18 , usishangae kusali si utakatifu hata kusoma si kufaulu lakini ana heri anayejaribu kuliko anayekataa.
 
Wewe nadhani hujanielewa ni wale wakristo wasioolewa maandiko na mwisho huishia upotevuni my logic was very simple watu hawatumii akili zao na kumweka Mungu ka chanzo Cha uvivu wa kufikiria hata Mungu huyo huyo aliumba akili utumie so mwisho mwajichaganya chaganya chaganya, maana wewe umekuja na yako kichwani na hukumu zako tayari eti Mungu sijui simtegemei and blah blah,
Hafu huyo Oprah ana Uhuru wa kuamini atakacho Kama wewe unavoamini huyo mungu wako kwa kunyoosha vidole eeeh mie ni Nani nimhumikumu jamani only God can judge us kwa kweli
Nimecheka hapo kwa jini aisee sasa unavaa silaha za nini nyie ndio mkiona mjusi au paka mnaanza kukemea hovyo viumbe vya Mungu.
 
Mama D keshafika restaurant anakusubiri kwa lunch
 
Wewe lazima ukemewe kwa sababu unapinga mpango wa Mungu , mume kumtawala mke , unajidanya na viconection vyako uchwara sasa hata wanawake wenzio wanakupinga unajibaraguza ohh eti wanataka kuwa impress wanaume ,ni kweli tutakumea mchana na usiku na Mungu aliyeumba watu, Dunia , milima , bahari , ndoa akabariki kuongezeka na kuitawala Dunia unakuja na eti kuthink nje ya box , pole utapopolewa , wakupopoa wanazidi kuongezeka.
 
Mbona Mimi nimeelewa Sana nilijaribu kuangalia tu from different perspective na sipapangia mtu Cha kuandika maana hii forum ikiwa na mawazo ya kufanana itakuwa inabore na kupoteza meaning yake, so I decided to write my opinions ka za wengine Kuna kukubaliana na kutokubaliana that's life.
Though huwa nawaonaje watu wanao blame Sana mhhhhhh
I rest my case here
Great Cariha!
 
Back
Top Bottom