Wanaume wengi tumejaaliwa hekima ila mbele ya mwanamke mpumbavu hekima huonekana kama ujinga na ulalamishi. Huwa tunajitahidi sana kuishi vyema na nyie ila ndio hivyo sikuhizi maisha ni pesa na mwanamke akiwa nazo tu haambiliki.

kosa hela sasa apo ndio utajua mapenzi na pesa ni kama maisha na pumzi ikikata ndio utaoneshwa kila rangi 
Mungu aingilie kati tu aisee! Hawa viumbe ni hatari.Mkuu umeongea point ya msingi mno, unaishi na mtu kwa upendo wa hali ya juu unamuonesha mapenzi ya kweli na uaminifu. Akikosea ukimwambia kwa upendo anasema unamfokea, kila unapojaribu kumuandaa kuwa mke wako na sio slay queen wa kupita ukumuelekeza anasema unalalamika, mgomvi n.k. Unapambana mwanaume unamhudumia akikutafuta ukiwa busy usiporespond on time au ukiomba umtafute baadae anaanza kusikiliza maneno ya kusikia kwa mashoga zake anaanza kukwambia una wenginekosa hela sasa apo ndio utajua mapenzi na pesa ni kama maisha na pumzi ikikata ndio utaoneshwa kila rangi
![]()
Dah, inaumiza sana! Unaeza kuta jamaa ni hardworker sema ni introvert na mpole sana kiasi kwamba mke kamzidi ujanja so anampelekesha kama mwanae.
Ila me ningekuwepo hapo ningenunua kesi walahi. Yani kitendo cha kumuuliza tu huyu ni nani wako akajibu ni mume wangu ningemzaba bonge la kofi. Kisha ningempa jamaa nguo free kabisa kama ni cadet na shati au Tshirt na Jeans free off charge! Imeniuma sana dah!
Hi guys,
Sijawasalimu siku nyingi wacha tu Leo niwasalimu,
Naomba tu nisichokwe, kuna vijitabia kwenye jamii wengine hatuwezi vifumbia macho, wahusika nawasema vizuri tu na wengine humu wenye vijitabia hivyo nawakumbusha tu aiseeh' waachane navyo maana vinaboaa..!!
Kuna hii tabia hasa naona hawa warembo wa sahii ndiyo wamepamba nayo moto khatari, hivi huu ujasiri wadada wa kuwajibu ovyo waume ama wapenzi wenu mbele za watu mnatoa wapi..!?
Good Lord..! Vidada vya sikuhizi havina kheshima jamani mpaka kero.! Yaani unakuwa pahala mpaka pa kuweka uso wako unakosa, kama ndiyo upo ugenini unatamani kuaga.!
Yaani huwa naishiwa pozi mpaka wakati mwingine nalazimika kutoka nje maana najiskia vibaya sana, nawaza tu Mimi nahisi vibaya hivi, je huyu nwanaume wa watu maskiini! Walaqhi' you guys are passing through hell uwiiih'.. Naanza kupunguza kuwahukumu kuna mambo sisi wanawake ndiyo chanzo, vile nisivyopenda mtu anidharau halafu naona mwanaume, Baba, Kichwa cha familia anadhalilishwa kiasi kile mbele za watu, yaani mwanamke hajali kuna watoto ama mgeni, anaropoka tu neno lolote linalomjia kinywani, wanawake wenye hii tabia kuni yenu inachochewa, mlivyoambiwa 'watiini waume zenu' hamkuambiwa bahati mbaya..!
Hivi ni kizazi gani kinatengenezwa sahii.? Ni ukosefu wa malezi.? Ni hizi pesa wanawake wanazomiliki? Ni wanaume kuna mahala mnafeli? Ama ni gani.? Hii kiburi na jeuri wako nayo wanawake wa sahii ni ya dunia nyingine, wametoka nayo wapi, maana khali ndiyo inazidi kuwa mbaya, yaani inafika pahala you can't differentiate the two, hujui here who issa husband, who issa wife maana wote wamemea pembe.!
Naomba niachie hapa sintomaliza, Wanaume ni lazima mfanye jambo haqyamama, Ile 'Manhood' kwenye jamii yetu inaenda kutoweka kwa kasi sana, Ladies punguzeni uzungu jamani, this is too much.!!
Wanaume wengine wapumbavu tu.
Usiogope kuanza upyaz, na kuanza upya sio ujinga.
Mwanamke asipokuwa na nidhani hata mzuri kama nini still nitamuacha tu iwe isiwe.
Wanawake sometimes wanahitaji mtu wa kuwatia vibao. Ukimuendekeza sana anakupanda kichwani.Kwa muonekano jamaa ni mpole na yale maneno ya mkewe yakamfanya anywee tu hakuwa na namna ila nilijiskia vibaya sana mwanamke akiwa juu yako pesa huna alafu ni mpole kama huyu jamaa hakika maisha yako yatakuwa ni mateso matupu.
Mwanamke anayeweza kukudhalilisha mbele ya kadamnasi huyo ni beyond repair. Hafai hata kwa kulumangia. Na hiki kiburi kinachangiwa na wao kumiliki uchumi. Mwanamke akiwa na hela mwanaume is nothing to her japo sio wote ila atmost 80% ya wanawake wakishika pesa wanakuwa rude to men!
Haya mambo ndio yanasababisha watu tusiopenda ujinga tuonekane violent. Mwanamke asiyejua kutumia mdomo kwa hekima ni kama kaa la moto utosini mwa mume. Huondosha asili kabisa ya mwanaume kwa kumgeuza ndondocha.Mwanaume ndani ya nyumba anahitaji heshma yake ili mambo yaweze kwenda. Kumdharau mwanaume tena mbele za watu inaweza kumuathiri kiasi kikubwa sana na kubadlisha kabisa mfumo wake wa maisha.
Mwanamke akishaanza kumjibu mwanaume kama hivyo hakuna tena mume na mke katika nyumba ila kuna mwanamke na mume
Wanaume msiruhusu hii kitu maana athari zake huwa haziishii kwenu, mama akiwa ndio mlezi namba moja wa jamii kwa hili anaharibu hadi kwa watoto na wajukuu ambao hawana adabu wala heshma
Mwanamke mwenye dharau kwa mume maana yake anaenda kufundisha watoto wake wa kike tabia hio hio ya kudharau wanaume hata wakiwa wakubwa wataishia kuwa wanyanyasaji.Kuna baadhi ya wanawake wakibarikiwa pesa zaidi ya waume zao ni hatari zaidi hata ya shetani, kuna mama mmoja naye ni hivi hivi alafu mbaya zaidi ana watoto wakike watano ni mmoja tu ambae hajashika tabia zake nawaonea huruma watakaoa kwenye hiyo familia.
baadae ndo wanakuja forum ooh mm single mother sijui naitaji mume mferu 😅😅 hapo kasha kwisha kabixa shokapumkifika 30, kwisha habari yenu
nyodo zote pembeni
Wanaume msipoteze nafasi yenu aliyowapa Mungu, msiruhusu hii kitu inaharibu sana jamiiWanawake wa siku hizi Ni headache.
Na tusipoangalia watoto wetu ujue tunalea generation mbovu kabisa wallah.
Mimi Ni Mama.Wanaume msipoteze nafasi yenu aliyowapa Mungu, msiruhusu hii kitu inaharibu sana jamii
Sawa 💃Mimi Ni Mama.
Usipige mtu mzima. Usije mgusa tuu akajifia ukafungwa maishaHa
Haya mambo ndio yanasababisha watu tusiopenda ujinga tuonekane violent. Mwanamke asiyejua kutumia mdomo kwa hekima ni kama kaa la moto utosini mwa mume. Huondosha asili kabisa ya mwanaume kwa kumgeuza ndondocha.
Sie tusiokubali kukaliwa hugawa kichapo tu kuweka rekodi sawa.
This is something that has to be preached upon. Sio ule ujinga wa haki sawa kwa kigezo cha ku undermine wanaume at all costs.Wanaume msipoteze nafasi yenu aliyowapa Mungu, msiruhusu hii kitu inaharibu sana jamii
Kwa namna yoyote Ile mwanaume lazima aheshimiwe na mke wake
Usipige mtu mzima. Usije mgusa tuu akajifia ukafungwa maisha