Wanawake, Wanawake, Wanawake! Nimewaita mara 3

Wewe lazima ukemewe kwa sababu unapinga mpango wa Mungu , mume kumtawala mke , unajidanya na viconection vyako uchwara sasa hata wanawake wenzio wanakupinga unajibaraguza ohh eti wanataka kuwa impress wanaume ,ni kweli tutakumea mchana na usiku na Mungu aliyeumba watu, Dunia , milima , bahari , ndoa akabariki kuongezeka na kuitawala Dunia unakuja na eti kuthink nje ya box , pole utapopolewa , wakupopoa wanazidi kuongezeka.
Hajazaliwa wa kunikemea kwa kweli usipoteze mda wako bure, hao wanawake wakinipinga hamna shida plus nyie wanaume so I don't care Baki na unachoamini sijakulazimisha kila mtu na msimamo wako kemea familia yako inatosha. Hafu huwa napenda mijadala huru isiyo na unafiki ndani yake tofauti na wanafiki so my dear relax, maana sikuhizi na spare my energy hukubaliani nami there is ignore list tusifanye iwe big issue, kikubwa tukutane mbinguni mtakatifu wa JF
 
Mimi leo sikuli Niko kwenye fasting

Big up ,Fasting ikusaidie kujua kusudi la kuumbwa mwanamke usije ukaingia kwenye rekodi tunasoma za akina vasti, delila , hawa nk wengine tutafurahi tukisikia unatoa kauli kama sara alivyokuwa akimjibu mmewe Ibrahimu. Tunamuona Mhe Makamu wa Rais tunafarijika jinsi anavyokuwa kielelezo bora kwa mwanamke hasa aliyepata mafanikio tena kumzidi hata mumewe , sasa nyi kuwa n uwezo wa kupanga na kujenga nyumba basi vurugu tupu.
 
Unajua kwenye dunia ya leo wote wanawake na wanaume ni watafutaji lakini kwenye utafutaji huo tusipoteze ile maana ya nani kichwa cha familia.

Mwanamke asiyemheshimu na kumtii mume wake ajue tuu kwamba hata yeye anadharaulika na jamii. Heshima ya familia inabebwa na kichwa cha familia ambacho ni baba, hakuna mtu atayemheshimu mwanamke asiyemheshimu mume wake.

Utashangaa kuona mwanamke mjane au mama anayejiheshimu na kulea familia yake anaheshimika kuliko mwanamke anayeishi na mume asiyemheshimu
Isitoshe ni mwanaume ndiye aliumbwa kwa mfano wa Mungu sie hatukuwepo kwenye mpango wa kuumbwa ila baada ya upweke kumkumba mwanamume ndo tukaumbwa kina sie, kwahiyo tutake ama tusitake wanawake fahari yetu ni hao wanaume, baraka zetu ziko kwenye nyayo zao,,

Kiukweli tukiacha songombingo za humu jukwaani namuheshimu mwanaume kadri ya nilivyolelewa, ila haiondoi kuwa akinikera kuondoa heshima hiyo

Ipo sehemu wanaume wanakwama sana japo na sie tumeota mapembe sana sana jamani tunatia aibu sana kizazi chetu
 
Whatever man...mimi kupigwa nimegoma
Si kwamba we ni bondia kama akina Tyson yani kila unapokosea nakupiga la hasha1 hiyo HAPANA sababu we ni ua/mvuto kwangu kiuhalisia kwa jinsi ulivyoumbwa.

Kuna kosa la kuonywa, kukanywa na kutoa maamuzi lakini maamuzi ila kugombezwa na Ke mbele ya jamii hata wazazi wangu sikuwahi kuona hii hali kwao.

So shtuka haraka utoroke huko ulipo uje kwangu maana kuna muda wa kukudekeza/kukubembeleza na kukuongoza bibiye Khantwe.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Aya basi sawa

Hakuna kitu sipendi kama majibu na kauli za hovyo, nakumbuka kuna siku nikiwa dukani alikuja dada mmoja na mmewe yule dada kwa kauli zake inaonesha tu kamzid mumewe kama sio kipato basi ndio kashampanda kichwani. Kaka wa watu mpole(sijui alikua amenywea kutokana na hali ile ya kufokewa na mkewe). Ivi kweli mwanamke unapata wap nguvu ya kuropoka maneno ya hovyo kwa mumeo/baba watoto wako.
Alimwambia mumewe lione linachagua chagua nguo kama chizi fanya haraka unanichelewesha nna mambo mengi mjini hapa sijui nilitokea wapi nikaolewa na wewe mzubao chagua haraka kama hutaki hela yangu ina matumizi mengi. Ilibidi yule kaka aache kuchagua nguo na wakaondoka. Nilimuonea huruma sana yule jamaa
Daah
 
E bana huyu ni dada yangu mmoja ivi ndio ana tabia hizo. Aisee kampanda mumewe kichwani mpaka aibu tunaona sisi kaka zake. Sijui kamloga? Maana kuna vitu mwanaume mwenzio anaweza kuwa anafanyiwa we ukiangalia hasira zinakupanda vibaya sana!
Kuna siku tupo kwenye harusi watu kibao ndugu, jamaa na marafiki na huyo dada alikuwepo na mume wake. Yaani dada anadiriki kuwaambia watu "huyu ni mwanaume? We unaona kuna mwanaume hapa? Yaani wanaume wakiitwa na huyu atatoka?" Na maneno mengine kama hayo na jamaa anasikia..! Yule jamaa kusema kweli nilishindwa kuelewa ni nini hasa tatizo. Ila sema saa nyingine mwanaume ukiwa mpole sana halafu uwe huna hela aisee utapata tabu sana hapa duniani labda usiwe na mwanamke.
Wana watoto??
 
Big up ,Fasting ikusaidie kujua kusudi la kuumbwa mwanamke usije ukaingia kwenye rekodi tunasoma za akina vasti, delila , hawa nk wengine tutafurahi tukisikia unatoa kauli kama sara alivyokuwa akimjibu mmewe Ibrahimu. Tunamuona Mhe Makamu wa Rais tunafarijika jinsi anavyokuwa kielelezo bora kwa mwanamke hasa aliyepata mafanikio tena kumzidi hata mumewe , sasa nyi kuwa n uwezo wa kupanga na kujenga nyumba basi vurugu tupu.
Yani nafunga kwa my personal goal like maintaining my body, na sio kuwa eti ni change na kupangiwa ya kufanya na jamii au mitazamo that's never me. Nitaishi nitakavyo I want to create my own history in this world, I want to be me, so I don't care about external validation. Makamu wa Raisi ni yeye na Mimi ni mimi Niko unique
 
Isitoshe ni mwanaume ndiye aliumbwa kwa mfano wa Mungu sie hatukuwepo kwenye mpango wa kuumbwa ila baada ya upweke kumkumba mwanamume ndo tukaumbwa kina sie, kwahiyo tutake ama tusitake wanawake fahari yetu ni hao wanaume, baraka zetu ziko kwenye nyayo zao,,

Kiukweli tukiacha songombingo za humu jukwaani namuheshimu mwanaume kadri ya nilivyolelewa, ila haiondoi kuwa akinikera kuondoa heshima hiyo

Ipo sehemu wanaume wanakwama sana japo na sie tumeota mapembe sana sana jamani tunatia aibu sana kizazi chetu

Wanaume baada ya kukubali kubadilisha sera za kumnyanyua mwanamke , sasa mwanamke amenyanyuka kwa kiasi kikubwa ametoka katika hali ya utegemezi kwa mwanaume , penye tatizo
1. Wanaume wa sasa wanahitajika kuja mbinu mpya za kuwaongoza wanawake wa kileo walioimarika kiuchumi tofauti na mabibi zetu ambao walitegemea mababu zetu 100%.
2. Wanawake wa leo baada ya kukumbolewa wasiripize kusasi cha kuona mabibi zao na mama zao waliteswa kutokana na kunyimwa fursa.
3. Wanaume kuanzia viongozi , kufanya amendment , kukazania sera za kuimarisha familia na kuacha mashinikizo uhuru na maendeleo wa mwanamke , wanawake wa Afrika uhuru wao wanaangalia na kuiga na kukongamanishwa mwanamke wamejikuta wanavunja ndoa kisa tafsiri potofu kuwa wameshawezeshwa ndoa ya nn.
4.Wazee waliotunga hizi sera bahati mbata wali coppy za global na kuzileta huku , mwishoe tatizo lilitengezwa kisiasa litafutiwe tiba ya mda na mwendelezo badala utashi wa kiongozi mmoja kutoa tamko wenye migogoro ya mahusiano wafike ofisi kuu mbele ya camera za Tv.
 
Japokuwa Mimi ni muumini wa mfumo dume ila siungi kabisa hoja ya kumpiga mwanamke Kama njia ya kumfunza adabu
 
Isitoshe ni mwanaume ndiye aliumbwa kwa mfano wa Mungu sie hatukuwepo kwenye mpango wa kuumbwa ila baada ya upweke kumkumba mwanamume ndo tukaumbwa kina sie, kwahiyo tutake ama tusitake wanawake fahari yetu ni hao wanaume, baraka zetu ziko kwenye nyayo zao,,

Kiukweli tukiacha songombingo za humu jukwaani namuheshimu mwanaume kadri ya nilivyolelewa, ila haiondoi kuwa akinikera kuondoa heshima hiyo

Ipo sehemu wanaume wanakwama sana japo na sie tumeota mapembe sana sana jamani tunatia aibu sana kizazi chetu
Umepiga kotekote😍😍😍😍
 
Na ninyi mjitetee mnakosea wapi..!
Hapa naweza kujiongelea kwa upande wangu.
Unajua kwenye suala la kupata mwenza lazima uwe makini. Na ukizingatia ni muhimu kupata mtu unaendana nae.
Mimi siwezi mwanamke mwenye mdomo na mjeuri.
Na wakati wa courtship ndio muda sahihi wa kumsoma mtu na kujua either mnaendana au la.
Sasa kama hauendani si unatafuta unaendana nae, simple tu.
Ukizingatia watu ni wengi sana.
 
Hakuna kitu sipendi kama majibu na kauli za hovyo, nakumbuka kuna siku nikiwa dukani alikuja dada mmoja na mmewe yule dada kwa kauli zake inaonesha tu kamzid mumewe kama sio kipato basi ndio kashampanda kichwani. Kaka wa watu mpole(sijui alikua amenywea kutokana na hali ile ya kufokewa na mkewe). Ivi kweli mwanamke unapata wap nguvu ya kuropoka maneno ya hovyo kwa mumeo/baba watoto wako.
Alimwambia mumewe lione linachagua chagua nguo kama chizi fanya haraka unanichelewesha nna mambo mengi mjini hapa sijui nilitokea wapi nikaolewa na wewe mzubao chagua haraka kama hutaki hela yangu ina matumizi mengi. Ilibidi yule kaka aache kuchagua nguo na wakaondoka. Nilimuonea huruma sana yule jamaa
Kama huyo jamaa ni mpole naturally siku atakapozibuka huyo make atafurahi na roho yake
 
Back
Top Bottom