Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Sorry mkuu naomba nikukosoe kidogo.Upadri si utashi wa mtu na kazi kama kazi nyingine , ulokole sio ajira kama
Kwenda mbinguni kunahitaji
uelewa basi maprofessor wote na maphd holder wangejaza siti mbinguni . Endelea na maisha yak ya mapambano iwe ya jinsia yako sawa wewe sio wa kwanza . Uzuri sisi wanaume hatutishwagi na wanawake kama nyie zaidi tunajiongeza kwa kuwaheshimu kwani mlituzaa na tumewazalisha
pia , mkitaka mtuweze jizalisheni wenyewe, huko sijui majipa raha kama si midoli basi yupo dume longine linajisaidia
.
Tunamwabudu MUNGU kwa kiwango kile tunachomuelewa na tunachomjua
Ndiyo maana Ayubu Anasema mjue Sana Mungu .
Huwezi ukamwabudu Mungu kwa kiwango ambacho hujamuelewa..yaani nje ya kiwango unachomuelewa.
Pamoja na kwamba tuna Neema ya Kristo lakini pia tunahitaji maarifa ambayo huwezi kuwa nayo pasi na kuwa na uelewa..ndiyo maana Neno linasema watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.
, huko sijui majipa raha kama si midoli basi yupo dume longine linajisaidia
.

