Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,777
YawezekanaHapo hakuna upole mwanamme ananyenyekea pesa tu.
YawezekanaHapo hakuna upole mwanamme ananyenyekea pesa tu.
Hapo hakuna upole mwanamme ananyenyekea pesa tu.
Mwanamke alisikika akisema "chagua haraka kama hutaki hela yangu ina matumizi mengi."Sidhanj hapo wanekutana watu wenye malezi tofauti mke njiwa mume tai tai anajishusha aendane njiwa maana anajua akiamrisha wakiriamsha dude mke hataweza mziki wa mume.
Mwanamke alisikika akisema "chagua haraka kama hutaki hela yangu ina matumizi mengi."
Hapo ndipo kwenye mzizi wa fitna.
Hahaha, usinifosi kuongea mama!hivi Eli kuna mahali uliona picha za harusi za mtu anayefanana na mimi nini?
Hebu ongea tuone...nadhani kutakuwa misunderstanding somewhereHahaha, usinifosi kuongea mama!
.. lakini mimi sitaki kuongea!!Hebu ongea tuone...nadhani kutakuwa misunderstanding somewhere
Ah wapi. Mwanamke hawezi kuleta kauli mbovu mbovu kwa mwanaume anayemuweka mjini weweUongo nakataa nitabia yamtu tuu
Kama huyo jamaa ni mpole naturally siku atakapozibuka huyo make atafurahi na roho yake
labda kama ana chura kidogo nitamfikiria kwa ufupi 😅😅😅😅😂 😂 😂 😂 😂 mtindi ndala
akilala chali kwa bed, ngoma zinakimbilia sakafuni
AIsee!!!!😂 kmmkHebu tuambie research yako hao wanawake wa wapi?
MTU alielelewa maisha ya kustaarabika sizani km ataropoka ovyo,,,
Lkn kwakuwa mpango wako ni kuwasema wanawake wote,,, hii kitu nakataaaaaa!!!!!!!
Ila tu ntakushauri toka huko uswahilini uje huku ustaarabuni ubadilishe saikolojia ya akili yako kidogo .
Amesema Ukweli, Wanaume lazima tuheshimiwa na siyo kuleta ushindani wa kijinga eti haki sawa,simama kwenye nafasi yako Kama Mwanamke na utawa enjoy sana Wanaume!!Unapenda kulaumu wanawake wewe sijui unataka ku impress wanaume humu as if wewe ni mwanaume, I always prefer a solution taker kuliko a blame person, coz hapa JF mada za kusema wanawake ndio hupata comments nyingi.
Kumekucha tenaWewe nadhani hujanielewa ni wale wakristo wasioolewa maandiko na mwisho huishia upotevuni my logic was very simple watu hawatumii akili zao na kumweka Mungu ka chanzo Cha uvivu wa kufikiria hata Mungu huyo huyo aliumba akili utumie so mwisho mwajichaganya chaganya chaganya, maana wewe umekuja na yako kichwani na hukumu zako tayari eti Mungu sijui simtegemei and blah blah,
Hafu huyo Oprah ana Uhuru wa kuamini atakacho Kama wewe unavoamini huyo mungu wako kwa kunyoosha vidole eeeh mie ni Nani nimhumikumu jamani only God can judge us kwa kweli
Nimecheka hapo kwa jini aisee sasa unavaa silaha za nini nyie ndio mkiona mjusi au paka mnaanza kukemea hovyo viumbe vya Mungu.





DuhHajazaliwa wa kunikemea kwa kweli usipoteze mda wako bure, hao wanawake wakinipinga hamna shida plus nyie wanaume so I don't care Baki na unachoamini sijakulazimisha kila mtu na msimamo wako kemea familia yako inatosha. Hafu huwa napenda mijadala huru isiyo na unafiki ndani yake tofauti na wanafiki so my dear relax, maana sikuhizi na spare my energy hukubaliani nami there is ignore list tusifanye iwe big issue, kikubwa tukutane mbingunimtakatifu wa JF








we dada ni hatari
Yani nafunga kwa my personal goal like maintaining my body, na sio kuwa eti ni change na kupangiwa ya kufanya na jamii au mitazamo that's never me. Nitaishi nitakavyo I want to create my own history in this world, I want to be me, so I don't care about external validation. Makamu wa Raisi ni yeye na Mimi ni mimi Niko unique







We nawe mbona unashabikia hivyo?We mpoteze tuu mwenzio, Una mtia chaka![]()

Hahaaa tukutane mbinguni kwa kweli, maana watu wengi wanaisali sali ndio vinara wa unafiki, kuhumu wengine kuwa watenda dhambi, huku na wao wanafanya kisiri, Bora watu wa size ya Kati, kwa kweli naona Bora tukutane tu mbinguniDuh
Kikubwa tukutane mbinguniwe dada ni hatari
![]()