wakishua akina Me toondio mana i dont entertain bullshit, you put them grade A, the moment they open their mouth they drop to the lowest grade. Leo nlikuwa mlimani city jaman kuna wanawake wanajiona gold aisee.... acha kabisaa
Kwani haupo kwenye ndoa???Niliwahi kuongea na mdada mmoja kuhusu hii tabia akasema 'ingia ndoani ndio utaelewa' nikaishia kunyamaza. I
Sikubali! Lazima nikupate hata kwa njia zakishirikina Kama mbwai iwe mbwai! Sitakiwi kukukosa walai maana nitateseka Kama karai.. huyu mujamaa tusimuhesabu mfanye yeye ndo sifuri moja ndo mimi..😅Hapana kilamba mwiko ahsante, nimewahiwa tayari.!
Ndo maana nakupenda..😍Hebu tuambie research yako hao wanawake wa wapi?
MTU alielelewa maisha ya kustaarabika sizani km ataropoka ovyo,,,
Lkn kwakuwa mpango wako ni kuwasema wanawake wote,,, hii kitu nakataaaaaa!!!!!!!
Ila tu ntakushauri toka huko uswahilini uje huku ustaarabuni ubadilishe saikolojia ya akili yako kidogo .
Angalia PM
Ushapata mume tyr...
Hapo umemjumuisha na Mzazi wako wa like!?
Usirudie kusemea wote.. Tumia baadhi,,,,
BtN sielewi hao waropokaji wanaishi wapi? Au unazungimzia hao wa uswahilini a.k a vigodoro,, kila MTU anapata mwenza kulingana na alivo,,, wewe km ni wa vogodoro utapata vigodoro wenzio, saaasa ukiwa km jirani ukasikia wanaropokeana unatoka baluu kuja kupost huku,, wacha watu maisha hao yaendelee huwezi huo mtaa hama naenda sehemu zilizo staarabika...
...Kama wana pesa acha waringe.ndio mana i dont entertain bullshit, you put them grade A, the moment they open their mouth they drop to the lowest grade. Leo nlikuwa mlimani city jaman kuna wanawake wanajiona gold aisee.... acha kabisaa
Wanaume wengi tumejaaliwa hekima ila mbele ya mwanamke mpumbavu hekima huonekana kama ujinga na ulalamishi. Huwa tunajitahidi sana kuishi vyema na nyie ila ndio hivyo sikuhizi maisha ni pesa na mwanamke akiwa nazo tu haambiliki.Wanaume kuna mahala mnakwama??
Kakuelewa sana ila ni kiburi tuBado hujanielewa mpenzi wangu..!!
Dah, inaumiza sana! Unaeza kuta jamaa ni hardworker sema ni introvert na mpole sana kiasi kwamba mke kamzidi ujanja so anampelekesha kama mwanae.Hakuna kitu sipendi kama majibu na kauli za hovyo, nakumbuka kuna siku nikiwa dukani alikuja dada mmoja na mmewe yule dada kwa kauli zake inaonesha tu kamzid mumewe kama sio kipato basi ndio kashampanda kichwani. Kaka wa watu mpole(sijui alikua amenywea kutokana na hali ile ya kufokewa na mkewe). Ivi kweli mwanamke unapata wap nguvu ya kuropoka maneno ya hovyo kwa mumeo/baba watoto wako.
Alimwambia mumewe lione linachagua chagua nguo kama chizi fanya haraka unanichelewesha nna mambo mengi mjini hapa sijui nilitokea wapi nikaolewa na wewe mzubao chagua haraka kama hutaki hela yangu ina matumizi mengi. Ilibidi yule kaka aache kuchagua nguo na wakaondoka. Nilimuonea huruma sana yule jamaa
Wanaume wengine wapumbavu tu.Hakuna kitu sipendi kama majibu na kauli za hovyo, nakumbuka kuna siku nikiwa dukani alikuja dada mmoja na mmewe yule dada kwa kauli zake inaonesha tu kamzid mumewe kama sio kipato basi ndio kashampanda kichwani. Kaka wa watu mpole(sijui alikua amenywea kutokana na hali ile ya kufokewa na mkewe). Ivi kweli mwanamke unapata wap nguvu ya kuropoka maneno ya hovyo kwa mumeo/baba watoto wako.
Alimwambia mumewe lione linachagua chagua nguo kama chizi fanya haraka unanichelewesha nna mambo mengi mjini hapa sijui nilitokea wapi nikaolewa na wewe mzubao chagua haraka kama hutaki hela yangu ina matumizi mengi. Ilibidi yule kaka aache kuchagua nguo na wakaondoka. Nilimuonea huruma sana yule jamaa
Mwanamke anayeweza kukudhalilisha mbele ya kadamnasi huyo ni beyond repair. Hafai hata kwa kulumangia. Na hiki kiburi kinachangiwa na wao kumiliki uchumi. Mwanamke akiwa na hela mwanaume is nothing to her japo sio wote ila atmost 80% ya wanawake wakishika pesa wanakuwa rude to men!Hakuna kitu sipendi kama majibu na kauli za hovyo, nakumbuka kuna siku nikiwa dukani alikuja dada mmoja na mmewe yule dada kwa kauli zake inaonesha tu kamzid mumewe kama sio kipato basi ndio kashampanda kichwani. Kaka wa watu mpole(sijui alikua amenywea kutokana na hali ile ya kufokewa na mkewe). Ivi kweli mwanamke unapata wap nguvu ya kuropoka maneno ya hovyo kwa mumeo/baba watoto wako.
Alimwambia mumewe lione linachagua chagua nguo kama chizi fanya haraka unanichelewesha nna mambo mengi mjini hapa sijui nilitokea wapi nikaolewa na wewe mzubao chagua haraka kama hutaki hela yangu ina matumizi mengi. Ilibidi yule kaka aache kuchagua nguo na wakaondoka. Nilimuonea huruma sana yule jamaa
Asante, hii ndio ukweli kabisa mkuu hasa wengi ambao tumedumu nao for years huwa inakuwaga ngumu sana kuwaacha.Wanaume wengine wapumbavu tu.
Usiogope kuanza upyaz, na kuanza upya sio ujinga.
Mwanamke asipokuwa na nidhani hata mzuri kama nini still nitamuacha tu iwe isiwe.
Mwanamke yeyote ambaye ni controlling na narcissist lazma achukie ujumbe wa namna hio. Lazma abishane tu ndio hao akina me too. Ila mwanamke submissive hawezi shupaza shingo mbele ya mwanaume.Kwanini Wewe una mkalipia Bwanako/Mumeo as if unamuendesha ??
Kama humkalipii kwanini umechukia hiyo Message, imekuuma eeeh ?
Kwamba kuwa ndoani ndio tiketi ya kuanza kutukanana. Hivi kwanini ndoa isiwe sehemu ya kutafutia amani na furaha katika maisha yenu. Why ndoa itazamwe kama mzigo wa miba? People need to change sababu dhamira ya ndoa si kuumizana.Niliwahi kuongea na mdada mmoja kuhusu hii tabia akasema 'ingia ndoani ndio utaelewa' nikaishia kunyamaza. I