Wanawake, Wanawake, Wanawake! Nimewaita mara 3

Wanawake, Wanawake, Wanawake! Nimewaita mara 3

Uwe na pesa,usiwe na pesa Mwanaume atabaki kua Mwanaume tu!! Mimi hata mke wangu ashinde biko bado Mimi nitakua Mwanaume tu,pesa yake haibadilishi uwanaume wangu hata siku moja!! Nawakumbusha Wanaume wote msikubali kujipa unyonge mbele ya mtu aliyepewa kichwa kimoja tu,wakati wwe Mwanaume umepewa vichwa viwili, kimoja cha kufikiria na kingine cha kutia akili!!
"Nawakumbusha Wanaume wote msikubali kujipa unyonge mbele ya mtu aliyepewa kichwa kimoja tu, wakati wewe Mwanaume umepewa vichwa viwili, kimoja cha kufikiria na kingine cha kutia akili"

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Ile 'Manhood' kwenye jamii yetu inaenda kutoweka kwa kasi sana, Ladies punguzeni uzungu jamani, this is too much.!!

MANHOOD kutoweka kwenye jamii" nchi za ulaya zimeshaathirika sana na hali hii,
- wanaume wengi hawahitaji tena ndoa.
- Baadhi ya wanawake nao baada ya kuona ndoa adimu hata boyfriend tu hawataki.
Hii imepelekea hawataki hata kuzaa.
Upweke unazidi kuzikumba hizi nchi.

IPO SIRI KUBWA KWENYE WAZUNGU KUPENDA MBWA HATA KULALA NAO VITANDANI MWAO.

Hivi sasa baadhi ya nchi za ulaya birth rate imepungua sana. Hivyo nguvu kazi pia inapungua pia.

Na sisi tutaelekea huko ikiwa hatutaidhibiti hii hali mapema, na sisi kwetu itatuathiri zaidi kwani mataifa yetu bado ni masikini sana.
Kuiga iga kila kitu kwa madai eti ndiyo utandawazi ilihali tunaowaiga wenyewe wamechemka ndiyo UPUMBAVU wa kiwango cha SGR.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Ndio nipo chuo kwani Kuna shida ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Msalimie my first bon upo nae hapo chuo , subiri uje uoe ukae angalau miaka 5 kwenye ndoa ndipo utajua tena nyie kizazi chenu wa vyuo mnaojifunza kutongoza kwa pesa za boom story zenu za mapenzi tunazijua vizuri mnavyozinguana na madenti wenzenu sasa maliza chuo njoo mtafute mke ndipo tunaanza kuwasikia aisee nimepata single maza , ukiwa mtu mzima na ukiishi kwenye miaka kadhaa na mke unavumulia mengi na hufurahia mengi pia.
 
Nimekupa like za kutosha hadi nimechoka mkuu maana unatembea mule mule inavyotakiwa Me tuwe kiuhalisia kama walivyokuwa Baba zetu wahenga, big up broo.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app

Nje ya mada mkuu, hebu nikumbushe neno "interlacustrine region" ilikua inamaanisha nini tena kwenye geography?😂😂😂
 
Mkuu huo uhalisia nauelewa mimi tu maana utekelezaji wake nishawahi kuufanya mara kadhaa. Muonekano wake unatakiwa uwe kama hiace iliogongwa na scania 😂😂😂 ili adabu ishike mkondo wake.

Mwanamke ananyanyuaje mdomo na kujibu utumbo. Labda afanye hivyo kwenye simu. Ila sio ana kwa ana ntamfumua vibaya mno.
Hata mimi labda afanye tu kwenye simu!! lakini hata kwenye simu akileta mdomo huwa najibu mara moja ..mwelewa huwa anaelewa😂😂😂
 
Baada ya miaka 30, tutaanza kuunda vyama vya kutetea wanaume! Believe me! Na hii nayo ni mifumo inayowekwa eti haki za wanawake!
Kabla hatujafika huko tuanzie hapa tulipo.
Mimi nadhani kabla mwanaume hajafanya maamuzi ya kuoa ajue inavyompasa kuishi kama kichwa cha familia. Kingine japo ni ngumu kujua kila tabia mapema mwanaume ampime sana mwanamke kwa ishu ya heshma ili aoe mwanamke ambae anaona ni mke atakayeweza kumsikiliza na kumheshimu
 
Mwanamke anasema huyo sio mwanaume inakuaje wanaishi kama mume na mke
Wanaume vaeni viatu vyenu msikubali wanawake kuwadharau. Hili ni kosa kubwa sana

Yaani mama D sisi wenyewe hapo hatujui tu deal na dada yetu au tu deal na mume wake maana sio kitu cha mara moja au mbili ni mfululizo wa matatizo kila kukicha. Tumeshapambana na dada yetu imeshindikana. Sema jamaa kweli hela hana kivile, na dada ndio wale wadada wa kichaga ana biashara zake mjini na ni mzuri kwakweli, mweupe pee ila anakula nyama choma kilo nne mwenyewe na bia mingi tuu!😀
 
Hana akili.
Kizazi Cha siku hizi kimejaa wanaume wasio na akili.

Nyie vijana uanamme sio utemi mlimuona Tyson ndoa mlishinda, Mandela bingwa wa ngumi akawa Rais wa nchi bado alimshindwa mkewe Winnie , umemuona Obama anavyoishi na mkewe , unamuona Kagame na utemi wake anavyoishi na mkewe au nao mtawaona wajinga, vijana kama mnataka muingie ndoa za milele jifunzenj vizuri hasa kwa waliodumu
katika miaka mingi 10,15, 25 ,50 ... punguzeni mihemko.
 
Mimi si mwanaume
 
Yaani mama D sisi wenyewe hapo hatujui tu deal na dada yetu au tu deal na mume wake maana sio kitu cha mara moja au mbili ni mfululizo wa matatizo kila kukicha. Tumeshapambana na dada yetu imeshindikana. Sema jamaa kweli hela hana kivile, na dada ndio wale wadada wa kichaga ana biashara zake mjini na ni mzuri kwakweli, mweupe pee ila anakula nyama choma kilo nne mwenyewe na bia mingi tuu!😀

Unajua kwenye dunia ya leo wote wanawake na wanaume ni watafutaji lakini kwenye utafutaji huo tusipoteze ile maana ya nani kichwa cha familia.

Mwanamke asiyemheshimu na kumtii mume wake ajue tuu kwamba hata yeye anadharaulika na jamii. Heshima ya familia inabebwa na kichwa cha familia ambacho ni baba, hakuna mtu atayemheshimu mwanamke asiyemheshimu mume wake.

Utashangaa kuona mwanamke mjane au mama anayejiheshimu na kulea familia yake anaheshimika kuliko mwanamke anayeishi na mume asiyemheshimu
 
Kabla hatujafika huko tuanzie hapa tulipo.
Mimi nadhani kabla mwanaume hajafanya maamuzi ya kuoa ajue inavyompasa kuishi kama kichwa cha familia. Kingine japo ni ngumu kujua kila tabia mapema mwanaume ampime sana mwanamke kwa ishu ya heshma ili aoe mwanamke ambae anaona ni mke atakayeweza kumsikiliza na kumheshimu

Upo sahihi sana. Ila nadhani kuna tatizo kubwa la kimfumo katika jamii za sasa ambalo huko tuendako nadhani tatizo hili litakua kubwa zaidi ya lilivyo sasa.

Kwa sisi tuliokulia ktk familia za vijijini, tumejifunza maisha na majukumu ya mwanaume kwa kuangalia jinsi baba, baba wakubwa, wadogo, kaka zetu nk jinsi walivyokua wakiishi na wake zao, nini walikua wakifanya na nini walikua hawafanyi.

Lakini kwa hali ya maisha ilivyo sasa hasa katika familia za mijini, ni ngumu sana kwa kijana wa kiume kujifunza majukumu yake kama kichwa cha nyumba, wakati kila siku anamuona mama akimchapa makofi baba yake. Familia nyingi sasa ivi wamama ndio vichwa vya nyumba, wengine ni singo mazaz ata huyo baba hayupo. Hivi unategemea huyu kijana anaelelewa ktk mazingira kama hayo kesho anakujaje kuwa kichwa cha nyumba?
 
Unajua kwenye dunia ya leo wote wanawake na wanaume ni watafutaji lakini kwenye utafutaji huo tusipoteze ile maana ya nani kichwa cha familia.

Mwanamke asiyemheshimu na kumtii mume wake ajue tuu kwamba hata yeye anadharaulika na jamii. Heshima ya familia inabebwa na kichwa cha familia ambacho ni baba, hakuna mtu atayemheshimu mwanamke asiyemheshimu mume wake.

Utashangaa kuona mwanamke mjane au mama anayejiheshimu na kulea familia yake anaheshimika kuliko mwanamke anayeishi na mume asiyemheshimu

Mama D , kale lunch na cariha bill nitumie nitalipa
 
Nimeelewa.!
Ila kuna pahala wanaume majukumu yenu mmezembea hili mkubali tu.
Habari nzima ya kulundika "wanawake hivi...", au "wanaume hivi..." bila kunyumbulisha zaidi ni ujinga.

Wanawake wote si sawa, wanaume wote si sawa.

Nyumbulisha habari zako zaidi utuondoe wanaume na wanawake tusio na matatizo kwenye mkumbo wako.
 
Upo sahihi sana. Ila nadhani kuna tatizo kubwa la kimfumo katika jamii za sasa ambalo huko tuendako nadhani tatizo hili litakua kubwa zaidi ya lilivyo sasa.

Kwa sisi tuliokulia ktk familia za vijijini, tumejifunza maisha na majukumu ya mwanaume kwa kuangalia jinsi baba, baba wakubwa, wadogo, kaka zetu nk jinsi walivyokua wakiishi na wake zao, nini walikua wakifanya na nini walikua hawafanyi.

Lakini kwa hali ya maisha ilivyo sasa hasa katika familia za mijini, ni ngumu sana kwa kijana wa kiume kujifunza majukumu yake kama kichwa cha nyumba, wakati kila siku anamuona mama akimchapa makofi baba yake. Familia nyingi sasa ivi wamama ndio vichwa vya nyumba, wengine ni singo mazaz ata huyo baba hayupo. Hivi unategemea huyu kijana anaelelewa ktk mazingira kama hayo kesho anakujaje kuwa kichwa cha nyumba?

Usisahau na mabinti na vijana wa mjini waliolelewa na mahouse girl na mahouse boy , sasa hiki kizazi kinachoandaliwa kwa kukaa nyumbani kuangalia tv na kucheza game . Mimi nimekulia vijijinj nimekuj dar kijana , wazee wangu walikataa kununu tv ili mda mwingi niwe nasoma , ilinisaidia sana ingaw a niliudhika baada ya kuona mtaani nyumba zote zina tv kazoro yetu tu ,
Mke wangu yeye kalelewa mwenyewe anaita kupendwa sana , tuna tofautiana mm naleta zile zilizonisaidia tv less more studies mke anasema slowly mme wangu .
Wababa kweli zama hizi lazima kuzima udhaifu huu wa wake zetu ila halahala na huu mfumo wao wa haki za wanawake na watoto , wale wadada wa vijijini or less educated ni rahisi kuwahandle ila hawa educated wengine na exposure juu . Wanaume mguu sawa.
 
Makofi tena...nimeahirisha kuolewa na wewe
Najua unakataa lakini ukweli ndiyo huo na huniweka huru daima, hujiulizi kwanini Me wakorofi hudumu sana kwenye mahusiano na Ke?

Unadhani zile tamthilia za mapenzi za Wafilipino ndiyo ndoa halisi inavyotakiwa iwe?

Si kila kosa nitakuwa nakupiga la hasha! lakini kama hilo la kufokewa mbele za watu ni lazima nikukumbushe kwa kofi tena lenye uzani kuwa mi ni Mumeo wala si Ke mwenzio.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom