Wanawake, Wanawake, Wanawake! Nimewaita mara 3

Wanawake, Wanawake, Wanawake! Nimewaita mara 3

Angalia PM

Ushapata mume tyr...


Hapo umemjumuisha na Mzazi wako wa like!?


Usirudie kusemea wote.. Tumia baadhi,,,,

BtN sielewi hao waropokaji wanaishi wapi? Au unazungimzia hao wa uswahilini a.k a vigodoro,, kila MTU anapata mwenza kulingana na alivo,,, wewe km ni wa vogodoro utapata vigodoro wenzio, saaasa ukiwa km jirani ukasikia wanaropokeana unatoka baluu kuja kupost huku,, wacha watu maisha hao yaendelee huwezi huo mtaa hama naenda sehemu zilizo staarabika...
Kwanini Wewe una mkalipia Bwanako/Mumeo as if unamuendesha ??

Kama humkalipii kwanini umechukia hiyo Message, imekuuma eeeh ?
 
Hebu tuambie research yako hao wanawake wa wapi?

MTU alielelewa maisha ya kustaarabika sizani km ataropoka ovyo,,,

Lkn kwakuwa mpango wako ni kuwasema wanawake wote,,, hii kitu nakataaaaaa!!!!!!!

Ila tu ntakushauri toka huko uswahilini uje huku ustaarabuni ubadilishe saikolojia ya akili yako kidogo .
Nimeandika pale 'wanawake wenye tabia hiyo'..!
Sweetheart please, I'm not so good in this kind of convos..!!
 
Siku hizi wanawake wamekuwa niwatu wanafanya vibiashara vyenye kuwapa 10000-50000 kwa siku sasa hiii huwapa Sana confidence wanawake nakuoa kuwa nawao wanaweza kuwa baba ndo maaan sikuiz masingle. Maza wanazid kuongezeka hapa mjini na wengine wanpenda kuwa masingle maza yaaan.

Pia wanaume wengi hapa mjin wamekuja kuwa wavivu mnooo kuliko wanawake so unakuta mwanamke anamvisha anamnunulia pombe na mda mwingine mwanamke ndo anasaidia familia ya mwanaume.

Hiii ni mbaya sana mwanamke kumpita mwanaume kipato niheriii mwanamke akupite umri ila sio kipato bana hawa wanawak hawa wakiwa juuu kifedha.

Bro hata huongeeee nn hakuna kitu atakuelewa . Hiii ilinikuta kipind nipo marioo sitak hela ila nataka mwanamke mwenye hela nilikuwa napigiwa kelele bar daah nakuitwa kaka kuku yaaan😂😂😂😂
Hahahhahahaha.
Comment yako imenichekesha sana kuitwa kama kuku ndiyo kukoje? Ama unarushiwa punje za mahindi.?
 
Juzi hapo Kaloleni nilipishana na watoto wa kike wa kama form 3 hivi. Huyo mtoto mmoja alikua anaongea na wanafunzi wenzake wa kiume wapo mbalimbali wanaongelea kukopeshana. Yule mtoto alitoa matusi hayo hadi nikabaki naduaa mbaya Zaid kuna mmama alikua naye anapita hapo nikabaki naona aibu mm. Maana alikua anamtukania viungo vyake mwenyewe nilitamani nimshike nimchape ila ndo hvo siku hizi mtoto ni wa mzazi sio jamii..

Yaani kuna wanawake nao hua wanatumia kiungo chao kama tusi eti kutukania mwanaume..kwanini mwakidharau na kukishusha heshima hivo?? Ndio kiungo kilichobarikiwa zaidi maana kinahusika kwenye kukamilisha uumbaji wa Mungu. Pia ndio kinachanganya wanaume..
Wazazi wa sasa sijui wanashindwa vipi kulea watoto zao kama walivyolelewa wao.
Napita, Usiku mwema
Kuna mahala tumeshafeli kama jamii..!
Usiku mwema kwako pia.!
 
Mimi ninajua kuwa mwanamke akisimama kwenye nafasi yake amepewa "mamlaka" ya kujenga ndoa yake.
Ukisoma (Mithali 14:1)-
Kila mwanamke aliye na "hekima"hujenga nyumba yake, Bali aliye "mpumbavu" huibomoa kwa mikono yake mwenyewe".
Ahsante sana mwalimu wangu, na usingizi ushapaa wooiii..!
 
Nimeshiriki kusuluhisha ndoa kadhaa (Field kijijini) katika ndoa nyingi/ mahusiano mengi ngono hua inaevolve na kutumiwa na mwanamke kama 'reward system' so kinachotokea mwanamke anakua jeuri na mwanaume anatarajiwa atii sipotii hapati reward.

Hali inaweza kua mbaya kiasi kwamba mwanaume anaweza akawa conditioned katika hii reward system kiasi kwamba anajikuta anatii baadhi ya tabia za partner wake ili tu asi-fall out of favour ya partner wake.

You see a man yupo katika not-so-easy-to-explain situation ukahisi kalogwa no ni hii reward system imemkolea.
 
Sidhani kama Ka'generalize soma vizuri
Heading! Ilivoandikwa kisa

Kasikia kwa wa2 wa3 basi unakuja kukandia huku tena ukionesha ni wengi

Bila aibu na nyie mlio oa mnawasimangia Jf badala ya kurekebishana ndani kwenu huoni kuwa wote tu hamjastaarabika na hamna haja ya uzi,, ila tu kila MTU atapata mwenza kulingana na Hadhi yake.

Kikubwa tu mtoke uswahilini mbadili saikolojia zenu.
 
Heading! Ilivoandikwa kisa

Kasikia kwa wa2 wa3 basi unakuja kukandia huku tena ukionesha ni wengi

Bila aibu na nyie mlio oa mnawasimangia Jf badala ya kurekebishana ndani kwenu huoni kuwa wote tu hamjastaarabika na hamna haja ya uzi,, ila tu kila MTU atapata mwenza kulingana na Hadhi yake.

Kikubwa tu mtoke uswahilini mbadili saikolojia zenu.

Wewe Umeamua tu kuleta Utata Au Labda hio Message ina kuhusu vizuri

Kwani kuwaita Mara Tatu ndio nini yani, ndio justification ya kuzungumzi Wanawake Wote ?

Mimi Sijaoa Niko Single
Kwahiyo watu wasitoe uzoefu wao kwamba ni kusimanga ? Kusimanga wakat hatujuani humu, kusimanga kwako hakuleti Maana

Njoo unitoe basi Mimi uswahili ili ukanifokee vizuri Kwenye Prado lako Masaki
 
Back
Top Bottom