Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,122
- 111,806
Huyo kaka naye alimuacha tu??
Aki ya Nani wanaume mna matatizo
Alimuacha hakusema chochote. Sema huyo mwanaume anayo matatzo sio wanaume
Huyo kaka naye alimuacha tu??
Aki ya Nani wanaume mna matatizo
Hivi vinyimbo vya kipumbavu eti "mwanamke hapigwi bali hupigwa kwa kanga tu" huharibu sana vijana, makofi mawili ma3 humkumbusha Ke atambue haishi na Shost mwenziye.Hawa wanawake wa kujibishana watu wanawapataga wapi? Yaani mimi mwanamke anyanyue mdomo wake kuropoka hata tukiwa wawili tu nitamharibu...na siku akiropoka mbele za watu atanitambua mimi ni mtu wa namna gani nitamharibu vibaya sana!!
Atapokea kipigo cha mbwa mwizi!! hao wanaume wanaofanyiwa hivo labda sio wanaume kamili!! Aiseeh Sijui mnanipata lakini najaribu kutengeneza uhalisia wa nitakachokifanya naona hamtanielewa.Ngoja niishie hapa
Maskini. Duniani hapa kuna wanaume wanateseka!
Da
hao hawafai, psychologically wameathirika vibaya.
MARIOO huteseka sana, na mimi nasema acha waendelee kuumia sababu wamesahau wajibu wao na kuvaa wajibu ya kike kimahusiano.Hakuna kitu sipendi kama majibu na kauli za hovyo, nakumbuka kuna siku nikiwa dukani alikuja dada mmoja na mmewe yule dada kwa kauli zake inaonesha tu kamzid mumewe kama sio kipato basi ndio kashampanda kichwani. Kaka wa watu mpole(sijui alikua amenywea kutokana na hali ile ya kufokewa na mkewe). Ivi kweli mwanamke unapata wap nguvu ya kuropoka maneno ya hovyo kwa mumeo/baba watoto wako.
Alimwambia mumewe lione linachagua chagua nguo kama chizi fanya haraka unanichelewesha nna mambo mengi mjini hapa sijui nilitokea wapi nikaolewa na wewe mzubao chagua haraka kama hutaki hela yangu ina matumizi mengi. Ilibidi yule kaka aache kuchagua nguo na wakaondoka. Nilimuonea huruma sana yule jamaa
Basi tu watu wanaopenda wengine waonekane wabaya wao wema huwa naona something is wrong somewhere, na hapa JF imekuwa trend's kulaumu zaidi ya kutoa solutions, pia ukisema shida nini sidhani matatizo mengine unatumia tu common sense, hafu ujue duniani hamna jipya zaidi ya ujio wa social network na watu kuchaganyika wa makabila tofauti tofauti ndio unaona Kuna tatizo, kumbe nothing new at all, yote ya zamani tu
Samahani kidogo bibie kabla sijaandika chochote, naona unaandika kwa lafudhi ya Kikenya . Hivi wewe ni Mkenya au unawaiga wa Kenya.Hi guys,
Sijawasalimu siku nyingi wacha tu Leo niwasalimu,
Naomba tu nisichokwe, kuna vijitabia kwenye jamii wengine hatuwezi vifumbia macho, wahusika nawasema vizuri tu na wengine humu wenye vijitabia hivyo nawakumbusha tu aiseeh' waachane navyo maana vinaboaa..!!
Kuna hii tabia hasa naona hawa warembo wa sahii ndiyo wamepamba nayo moto khatari, hivi huu ujasiri wadada wa kuwajibu ovyo waume ama wapenzi wenu mbele za watu mnatoa wapi..!?
Good Lord..! Vidada vya sikuhizi havina kheshima jamani mpaka kero.! Yaani unakuwa pahala mpaka pa kuweka uso wako unakosa, kama ndiyo upo ugenini unatamani kuaga.!
Yaani huwa naishiwa pozi mpaka wakati mwingine nalazimika kutoka nje maana najiskia vibaya sana, nawaza tu Mimi nahisi vibaya hivi, je huyu nwanaume wa watu maskiini! Walaqhi' you guys are passing through hell uwiiih'.. Naanza kupunguza kuwahukumu kuna mambo sisi wanawake ndiyo chanzo, vile nisivyopenda mtu anidharau halafu naona mwanaume, Baba, Kichwa cha familia anadhalilishwa kiasi kile mbele za watu, yaani mwanamke hajali kuna watoto ama mgeni, anaropoka tu neno lolote linalomjia kinywani, wanawake wenye hii tabia kuni yenu inachochewa, mlivyoambiwa 'watiini waume zenu' hamkuambiwa bahati mbaya..!
Hivi ni kizazi gani kinatengenezwa sahii.? Ni ukosefu wa malezi.? Ni hizi pesa wanawake wanazomiliki? Ni wanaume kuna mahala mnafeli? Ama ni gani.? Hii kiburi na jeuri wako nayo wanawake wa sahii ni ya dunia nyingine, wametoka nayo wapi, maana khali ndiyo inazidi kuwa mbaya, yaani inafika pahala you can't differentiate the two, hujui here who issa husband, who issa wife maana wote wamemea pembe.!
Naomba niachie hapa sintomaliza, Wanaume ni lazima mfanye jambo haqyamama, Ile 'Manhood' kwenye jamii yetu inaenda kutoweka kwa kasi sana, Ladies punguzeni uzungu jamani, this is too much.!!
MARIOO huteseka sana, na mimi nasema acha waendelee kuumia sababu wamesahau wajibu wao na kuvaa wajibu ya kike kimahusiano.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Ni UPUMBAVU Me kudhani hekima ni upole pekee akiwa na mahusiano na Ke, ndiyo yale huongea sauti ya 3 badala ya besi au kushindwa hata kumkalipia Ke akileta UJINGA kisa anaogopa kuachwa.E bana huyu ni dada yangu mmoja ivi ndio ana tabia hizo. Aisee kampanda mumewe kichwani mpaka aibu tunaona sisi kaka zake. Sijui kamloga? Maana kuna vitu mwanaume mwenzio anaweza kuwa anafanyiwa we ukiangalia hasira zinakupanda vibaya sana!
Kuna siku tupo kwenye harusi watu kibao ndugu, jamaa na marafiki na huyo dada alikuwepo na mume wake. Yaani dada anadiriki kuwaambia watu "huyu ni mwanaume? We unaona kuna mwanaume hapa? Yaani wanaume wakiitwa na huyu atatoka?" Na maneno mengine kama hayo na jamaa anasikia..! Yule jamaa kusema kweli nilishindwa kuelewa ni nini hasa tatizo. Ila sema saa nyingine mwanaume ukiwa mpole sana halafu uwe huna hela aisee utapata tabu sana hapa duniani labda usiwe na mwanamke.
The problem starts from the bed in the room.
How can your wife be up while doing sex?!
That makes her feel that she can do anything that you can do.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana akili.Alimuacha hakusema chochote. Sema huyo mwanaume anayo matatzo sio wanaume
Huwa unanifurahisha mno unavyodadavua hoja zenye mantiki kimahusiano kihekima kama alivyo bibiye Namsund, ikwa una hekima hizi basi Mungu azidi kukulindia ndoa yako milele zote amina.Mwanaume ndani ya nyumba anahitaji heshma yake ili mambo yaweze kwenda. Kumdharau mwanaume tena mbele za watu inaweza kumuathiri kiasi kikubwa sana na kubadlisha kabisa mfumo wake wa maisha.
Mwanamke akishaanza kumjibu mwanaume kama hivyo hakuna tena mume na mke katika nyumba ila kuna mwanamke na mume
Wanaume msiruhusu hii kitu maana athari zake huwa haziishii kwenu, mama akiwa ndio mlezi namba moja wa jamii kwa hili anaharibu hadi kwa watoto na wajukuu ambao hawana adabu wala heshma
Hana akili.
Kizazi Cha siku hizi kimejaa wanaume wasio na akili.
ndio mjitahid katika malezi msitoe tu lawamaNimekupa like za kutosha hadi nimechoka mkuu maana unatembea mule mule inavyotakiwa Me tuwe kiuhalisia kama walivyokuwa Baba zetu wahenga, big up broo.Ha
Haya mambo ndio yanasababisha watu tusiopenda ujinga tuonekane violent. Mwanamke asiyejua kutumia mdomo kwa hekima ni kama kaa la moto utosini mwa mume. Huondosha asili kabisa ya mwanaume kwa kumgeuza ndondocha.
Sie tusiokubali kukaliwa hugawa kichapo tu kuweka rekodi sawa.
Baada ya miaka 30, tutaanza kuunda vyama vya kutetea wanaume! Believe me! Na hii nayo ni mifumo inayowekwa eti haki za wanawake!Hi guys,
Sijawasalimu siku nyingi wacha tu Leo niwasalimu,
Naomba tu nisichokwe, kuna vijitabia kwenye jamii wengine hatuwezi vifumbia macho, wahusika nawasema vizuri tu na wengine humu wenye vijitabia hivyo nawakumbusha tu aiseeh' waachane navyo maana vinaboaa..!!
Kuna hii tabia hasa naona hawa warembo wa sahii ndiyo wamepamba nayo moto khatari, hivi huu ujasiri wadada wa kuwajibu ovyo waume ama wapenzi wenu mbele za watu mnatoa wapi..!?
Good Lord..! Vidada vya sikuhizi havina kheshima jamani mpaka kero.! Yaani unakuwa pahala mpaka pa kuweka uso wako unakosa, kama ndiyo upo ugenini unatamani kuaga.!
Yaani huwa naishiwa pozi mpaka wakati mwingine nalazimika kutoka nje maana najiskia vibaya sana, nawaza tu Mimi nahisi vibaya hivi, je huyu nwanaume wa watu maskiini! Walaqhi' you guys are passing through hell uwiiih'.. Naanza kupunguza kuwahukumu kuna mambo sisi wanawake ndiyo chanzo, vile nisivyopenda mtu anidharau halafu naona mwanaume, Baba, Kichwa cha familia anadhalilishwa kiasi kile mbele za watu, yaani mwanamke hajali kuna watoto ama mgeni, anaropoka tu neno lolote linalomjia kinywani, wanawake wenye hii tabia kuni yenu inachochewa, mlivyoambiwa 'watiini waume zenu' hamkuambiwa bahati mbaya..!
Hivi ni kizazi gani kinatengenezwa sahii.? Ni ukosefu wa malezi.? Ni hizi pesa wanawake wanazomiliki? Ni wanaume kuna mahala mnafeli? Ama ni gani.? Hii kiburi na jeuri wako nayo wanawake wa sahii ni ya dunia nyingine, wametoka nayo wapi, maana khali ndiyo inazidi kuwa mbaya, yaani inafika pahala you can't differentiate the two, hujui here who issa husband, who issa wife maana wote wamemea pembe.!
Naomba niachie hapa sintomaliza, Wanaume ni lazima mfanye jambo haqyamama, Ile 'Manhood' kwenye jamii yetu inaenda kutoweka kwa kasi sana, Ladies punguzeni uzungu jamani, this is too much.!!
Ndio nipo chuo kwani Kuna shida ?Umeweka camera kwenye vyumba vya watu ? Mwanafunzi wa chuo ww kama sikosei
Mwanamke anasema huyo sio mwanaume inakuaje wanaishi kama mume na mkeE bana huyu ni dada yangu mmoja ivi ndio ana tabia hizo. Aisee kampanda mumewe kichwani mpaka aibu tunaona sisi kaka zake. Sijui kamloga? Maana kuna vitu mwanaume mwenzio anaweza kuwa anafanyiwa we ukiangalia hasira zinakupanda vibaya sana!