Wanawake wanaojiuza wanashusha thamani ya mwanamke

Wanawake wanaojiuza wanashusha thamani ya mwanamke

Mi nina uhakika ukikaa hapo mjini miezi miwili utaanza kuwaza ela utaacha kupagawa na mapaja ya wanawake

i dont worship debt currencies i worship GOD THE ALMIGHTY
 
Basi heanding ungeandika'wanawake wanaouza wanashusha thamani yao'

Hivyo ulivyoandika umejumuisha thamani ya wanawake wote.

Kujitambua kukoje?

i

kujitambua we ni nani ,upo duniani kufanya nini,na hatma yako ni ipi

kingine mtu akizini na mmama anayejiuza mama yako atamwona anadifference??
 
Huwezi hata kwa nukta kujua duniani tumekuja kufanya nini. Stay in your lane and follow your path. Vitu vinavyokuwazisha havina maana unavyoipa.........

unaupewo mdogo sana,unadhani tumekuja kula,kulala na kufa
be carefully
 
Huyo God wako yuko kwenye mapaja ya wanawake unakokodolea macho?

unajua mana huyo??

what so special about mapaja,umengangania mapaja mapaja,ndo mawazo yako sio??
siko huko unakofikiri ila nakemea unayokubali ndo tofauti ipo hapo
 
Siyo kila aliyeko jf yupo kufungua thread,
umezoea fb hauwezi kushinda bila kuupdate status,vyivyohivyo na jf hauwezi kuishi bila kuanzisha new topic,
hatufanani,
ila nadhani niliyekua nimemqoute siyo wewe..
Tetea thread yako kwa umakini na siyo kuongozwa na hisia na kulazimisha kila mtu akubaliane na wewe.
fungua thread yake mkuu tukemee maovu ila tofautisha usafi na uchafu ingawa vyote ni dhambi kwa unavyoclaim
 
Siyo kila aliyeko jf yupo kufungua thread,
umezoea fb hauwezi kushinda bila kuupdate status,vyivyohivyo na jf hauwezi kuishi bila kuanzisha new topic,
hatufanani,
ila nadhani niliyekua nimemqoute siyo wewe..
Tetea thread yako kwa umakini na siyo kuongozwa na hisia na kulazimisha kila mtu akubaliane na wewe.

go back to school read and reread
 
Kaanzishe kanisa yanalipa sana,unaweza ukafungua hata kiwanda cha kufuma nguo za magunia.

devil doctrines

kujua ukweli inaitaji hekima na utulivu ila sio kukurupuka na matapishi ambayo ni nje ya syntax za kumjibu mtu
 
unajua mana huyo??

what so special about mapaja,umengangania mapaja mapaja,ndo mawazo yako sio??
siko huko unakofikiri ila nakemea unayokubali ndo tofauti ipo hapo

Akili yako haijapambazuka kubali au ukatae. Na ikipambazuka utagundua you are just a single entity in the world of 7 bilions. Each one came with own purpose that u don have a single right to interfere whatsoever. ..
 
the path is one but remember an entity can change the world (Jesus Christ) Everything is on us to win the war ,bring the traitors into the rail so as no one regrets at the end of the battle
 
Na kufahamu unachokiandika inahitajika kujifahamu wewe kwanza kabla ya kumfahamu mwenzio.
devil doctrines

kujua ukweli inaitaji hekima na utulivu ila sio kukurupuka na matapishi ambayo ni nje ya syntax za kumjibu mtu
 
Yes your right i don't know that much but this much i know is quite enough for myself,
i know you want me to please you..Idiot.

soma mada na angalia unachojibu,contribute and nothing else

what do you know about pleasing??

if you are dijalfollower sit down and think
 
Na kufahamu unachokiandika inahitajika kujifahamu wewe kwanza kabla ya kumfahamu mwenzio.

mi najifahamu
wewe je??let me ask you a question how long can you live in water and which type of food will you be using!??
 
Umaskini mkuu mbaya sana ni kuwahurumia wengine...ila bila hawa wanaojiuza sijui wengine tungeponeaga wapi..? Hivi kuna mwanaume hajawahi kula mwanamke anaejiuza kweli..?
Tupo mimi sili,wee unataka kuniambia unaenda makaburini kinondoni? Kwa uelewa wangu anayejiuza ni wale malaya,anatembea na yeyote ilimradi apate pesa.Mimi hawa naona kinyaa.Hii ni tofauti na kuwa na mpenzi.
 
ni sawa na kutembea na ibilisi
 
Pole Husny, umekosa mume.

We huwez oa wa kipedo lakin kumbuka uyo wa kipedo na nywele sio natural ana mmewe,na mmewe ndo anayemnunulia hizo pedo na kumpa ela ya kwenda kutengeneza nywele bandia..upoo!! wewe hupendi wapo wenzio wanapenda usitake wanawake wote waishi unavyotaka wewe.KILA NDEGE HUTUA KWENYE MTI AUPENDAO..
Tafuta mti wako

Ndo dawa!!
 
Back
Top Bottom