SHOOyaKIBABE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,182
- 1,717
nilidhani kuna mathinker kumbe.... Timewastage clients
and you being one of them.. teh teh
nilidhani kuna mathinker kumbe.... Timewastage clients
Kutokana na ushamba wako we unaamini kila anayevaa jinsi anajiuza. But nina uhakika ukipata fursa ya kuendelea kukaa mjini matongotongo yakakutoka utamaind biznez zako na kuacha kukodolea mapaja ya wadada...
nikiwaangalia wadada wanavyopita mtaani na vipedo,jeans,nusu uchi mi naona tu makahaba for real mwanamke yule anayejitambua hapendi ya dunia,ana dress smart ,mtu wa mungu na always anajiheshimu all the time,very natural in skin and hair,na anaelewa thamani yake nje ya hapo hata uweje,uwe na mali gani we ni kahaba tu
unajua ushamba ni nini??
tatizo you take things simple kwasababu huelewi context ya nachomaanisha.Huko mjini unakopasifia whats so special about it,kwanini uvae jeans na wewe ni mwanamke??
kwanini utete ngono zembe kama nawe si mfuasi,unaijua adhabu yake??
nimeangalia mabandiko yako nimeona huna tofauti na thinky na @KUFALAZIMA maana hizi ni id tofauti ila mtu ni mmoja kisha wakapotea wote ghafla sijui ndio wewe?
back to the topic
wengine hawaamini uwepo wa mungu sasa wamuhofie nani wakati sheria za nchi hazikatazi ?
huwezi kuifanya jamii iishi unavyotaka kila mtu huishi anavyotaka
kumbuka wanaojiuza sio wote maisha magumu wengine nu starehe kama kunywa pombe
elimu ni nini??tuanzie hapa
kwa ajili ya wafuasi wa kuzimu
nikiwaangalia wadada wanavyopita mtaani na vipedo,jeans,nusu uchi mi naona tu makahaba for real mwanamke yule anayejitambua hapendi ya dunia,ana dress smart ,mtu wa mungu na always anajiheshimu all the time,very natural in skin and hair,na anaelewa thamani yake nje ya hapo hata uweje,uwe na mali gani we ni kahaba tu
Huwezi hata kwa nukta kujua duniani tumekuja kufanya nini. Stay in your lane and follow your path. Vitu vinavyokuwazisha havina maana unavyoipa.........kwahiyo tusikemee tutubu tufate maisha yetu kila mmoja atahukumiwa kivyake ,
kwanini umsupport shetani afu ujifanye mwema mbele za mungu??
unajua duniani tumekuja kufanya nini??