Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,232
God ndio anakwambia uingilie uhuru wa wenzio? We mbona hakuna aliyeingilia uhuru wako...
kujitambua we ni nani ,upo duniani kufanya nini,na hatma yako ni ipi
kingine mtu akizini na mmama anayejiuza mama yako atamwona anadifference??
HIVI kuingilia uhuru wa mtu ni kumsema hivi huoni kama hawa wanaojiuza nao wanaingilia uhuru wawatu,,,harafu suala la kulaumu wanao nunua mimi siungi mkono,kwanini ulaumu mateja badala ya mapusha,,bila mapusha mateja wangepata wapi? sembe.

Watu bwana....
Kiasili watu wanapiga magome ya miti kufunika vifanyio tu..... walipoendelea saaaaana ni kujifunga lubega. nguo mumshukuru mzungu/mwarabu kuwaletea ila mnanyooshea mwenzenu vidole...
Au mnadhani wahadzabe wanaofunika vifanyio wao hawajiheshimu au kujua thamani yao?
Wangapi wanajifunika gubi gubi na wanagawa k kama pipi?
Na hao eanunuzi je? Wao ni nani marijali au mashujaa?????
Anyway Na wanaume na nyie muache kuvaa vikaptura mnawatamanisha wanawake na hamjiheshimu wala kujitambua kwa kuvaa hivyo..mvae kiheshima kanzu kama za mapadre au waarabu
njia ya kweli na jibu la kinawacho watatiza wanadamu
kwahiyo tusikemee tutubu tufate maisha yetu kila mmoja atahukumiwa kivyake ,
kwanini umsupport shetani afu ujifanye mwema mbele za mungu??
unajua duniani tumekuja kufanya nini??
Wewe usijenifanya nikapewa ban,mbona hampigii kelele washenzi wanaoiba pesa za umma na kuwaumiza wachache,wanaotumia viungo vyao na kunusa mijasho yenu kutafuta pesa ndo mwawaona wakosaji sana ee,"judge yourself first"
nikiwaangalia wadada wanavyopita mtaani na vipedo,jeans,nusu uchi mi naona tu makahaba for real mwanamke yule anayejitambua hapendi ya dunia,ana dress smart ,mtu wa mungu na always anajiheshimu all the time,very natural in skin and hair,na anaelewa thamani yake nje ya hapo hata uweje,uwe na mali gani we ni kahaba tu
soma kichwa cha habari dont force fallacy japo nakusoma ubongo wako ulivyo mdogo
Wanao wanunua hebu sema nao na wao sio uegemee upande mmoja