Wanawake wanaojiuza wanashusha thamani ya mwanamke

Wanawake wanaojiuza wanashusha thamani ya mwanamke

Anayejua maisha ni ngumu kukuoa,halafu ni lazima tukeme maovu ninyi ibilisi

Hivi Thinkyyy mavazi yanahusika vipi na maisha??kwani anaevaa pedo hajui maisha??au wavaa pedo wote wanajiuza?Embu think mkuu ...au wewe meaning ya maisha unaielewaje??
 
unaupewo mdogo sana,unadhani tumekuja kula,kulala na kufa
be carefully
"Tumekuja? Umekuja na nani? Nakubaliana na wewe labda upeo wangu mdogo na bado najifunza lakini so far naona njia bora ni kujitambua mwenyewe kwanza kabla ya kurukia ya wengine.
 
Tupo mimi sili,wee unataka kuniambia unaenda makaburini kinondoni? Kwa uelewa wangu anayejiuza ni wale malaya,anatembea na yeyote ilimradi apate pesa.Mimi hawa naona kinyaa.Hii ni tofauti na kuwa na mpenzi.
Wewe umechagua kinondoni makaburini..lkn kuna ambo wapo huko maeneo mengine na ni wengi..watoto wa ifm, ustawi wa jamii,cbe, mw nyerere na wengine..wanaume wengi tunaponea huko..ila kwa kuwa hapa jukwani kila mtu kaokoka msafi hawezi sema..ila bila hao watu wanaume wangeponea wapi..?!
 
Hili nalo neno,lkn kama wanahitaji kupona kivile basi tuwashauri waoe
 
Back
Top Bottom