Wanawake wanaojiuza wanashusha thamani ya mwanamke

Wanawake wanaojiuza wanashusha thamani ya mwanamke

Thinkyyy

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
548
Reaction score
71
nikiwaangalia wadada wanavyopita mtaani na vipedo,jeans,nusu uchi mi naona tu makahaba for real mwanamke yule anayejitambua hapendi ya dunia,ana dress smart ,mtu wa mungu na always anajiheshimu all the time,very natural in skin and hair,na anaelewa thamani yake nje ya hapo hata uweje,uwe na mali gani we ni kahaba tu
 
mtuache tupumue jamani. khaaaaa!!! maisha ya wengne ww yanakuuma nini?
 
Wanamme wanaonunua wanapandisha thamani ya mwanamme?

Thamani ya mwanamke ni nini?

Una maanisha sasa hivi unamdharau mamayo sababu ya wanawake wanaouza?
 
Kumbuka, neno lako si msahafu.

Hope wanaovaa majalabibi wote wanajitambua.
 
Wanamme wanaonunua wanapandisha thamani ya mwanamme?

Thamani ya mwanamke ni nini?

Una maanisha sasa hivi unamdharau mamayo sababu ya wanawake wanaouza?

wanaume wanaonunua hawajitambui

thamani yake ipo pale akimilikiwa au kuwa na mpenz mmoja wa maisha na kumcha mungu nje ya hapo ni kahaba


mama yangu ana mme wake,hapaki uchafu,anavaa kiheshima na anasema hao wengine hawajitambui,hawajui thamani yao,vivyo hivyo humdharau muumba.SIWEZI MDHARAU YEYOTE ANAYEJITAMBUA
 
Wanavaa hivyo kwa maana kuna wanaopenda
Wasingekuwepo wasingevaa.

BTW watu wakumbuke maadili na malezi wanawake na wanaume
 
Umaskini mkuu mbaya sana ni kuwahurumia wengine...ila bila hawa wanaojiuza sijui wengine tungeponeaga wapi..? Hivi kuna mwanaume hajawahi kula mwanamke anaejiuza kweli..?
 
Yani na matatizo yote ya dunia hii mtu unapoteza mda wako kuangalia wenzako wamevaaje? Yanakuhusu nini!

unaelewa maana ya mavazi,unajua impact,effect na cause kwenye external enviroment


ONE DAY UTAULIZWA WHY ULIMSUPPORT DIJAL
 
ntaolewa na mwanaume wa ukweli anaejua maisha na sio ww mkaa kibarazani kupiga soga na kufatilia ya wenzio.

Anayejua maisha ni ngumu kukuoa,halafu ni lazima tukeme maovu ninyi ibilisi
 
unaelewa maana ya mavazi,unajua impact,effect na cause kwenye external enviroment


ONE DAY UTAULIZWA WHY ULIMSUPPORT DIJAL

Kweli mliokuja mjini juzi mna shida sana... mapaja tu yanakuwazisha siku nzima hadi unakuja kupost Jf...
 
Wanavaa hivyo kwa maana kuna wanaopenda
Wasingekuwepo wasingevaa.

BTW watu wakumbuke maadili na malezi wanawake na wanaume

its only demons will accept and allow sex inspirations

malezi kwa wote ni true
 
Back
Top Bottom