Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,954
- 183,557
Sweet darling umeniita?
Sweet darling umeniita?
Mama unaniita?Kwanini espy?
Kiwivu flani kimenigusaMama unaniita?
Hebu fanya mpango tupate na list ya upande mwingine, si kwa dhihaka la hashaHello ladies and gentlemen. It is my hope that you're doing good na mnaendelea vizuri katika kupambana na hali zenu.
Baada ya salaam kwa lugha ya malkia ambayo wengi wetu huwa tunaibahatisha ningependa kuwaongelea hawa wanawake wafuatao;
GENIVEROS.
-Ni mwanamke anayetambua sana.
- Ana mawazo mazuri na yenye kujenga(Constructive ideas)
- Ni mwanamke ambaye hajui kununa wala kumtukana mtu.
-Anajiheshimu sana kwa sababu sijawahi kuona anatoa matusi hata kama amekwazika.
CHAKORII
- Anajiheshimu kupita kiasi.
- Anapenda amani sana yani siyo mtu wa ugomvi ugomvi usiyo kuwa na maana.
- Mwanamke mchapa kazi
- Anajitambua sana katika nyanja mbalimbali za kimaisha.
- Anapenda utani sana yani mkikutana hautachoka kukaa nae utatamani muda wote muwe wote.
- Ana mawazo mazuri na yenye kujenga.
HEAVEN SENT
-Huyu ni mcha MUNGU sana na ana uelewa mpana na mkubwa kuhusu masuala ya kidini.
- Ni mwanamke mwenye akili kubwa sana siyo wa mchezo mchezo hauhitaji kutumia miscrope kujua uwezo wake ila fuatilia comment zake tu.
- Pamoja na akili kubwa na hekima ni mwanamke mwenye mawazo mazuri sana yaliyojaa busara na hekima ndani yake.
- Anajiheshimu na anajitambua sana. Hapa ndiyo ile wanasema ukimjua Mungu ni mwanzo wa hekima na maarifa.
Kama una kitu kingine cha kuongezea unakaribishwa sana kuchangia.
Cc: geniveros
Cc: Chakorii
Cc: Heaven Sent
Mbona wewe hujawekwa?. Hii list ni uzushi sasaKiwivu flani kimenigusa
Kweli mkuuHebu fanya mpango tupate na list ya upande mwingine, si kwa dhihaka la hasha
Sent using Jamii Forums mobile app
Usipate wivu mama, anaruhusiwa wanne, kwahiyo nafasi bado ipo.Kiwivu flani kimenigusa
Tunashukuru hajaiga tabia za mama ake tuMy dota Heaven Sent tops up aiseee!! Nimejua kuleaaaa.
Love you dota.
Though ni kipenda roho wake lakini wanastahiri ,tuache vijiba vya roho mwenzio akisifiwa msifieHao ni kipenda roho chako na unawajua maybe phisicaly na mnamahusiano ya karibu. Sasa unavyokuja na mjumuisho hapa wanawake wa MMU sijakuelewa hebu fafanua umetujuaje wote?Au kupitia comments
Nguvu ya upendo inashinda wengi,hao ni zaidi [emoji1] [emoji1] [emoji1] tukubaliane na Utafiti wake tu,tuache viroho vya kwanini sheikh wanguKwahiyo wengine hawajiheshimu!?
Kikubwa usipo sifiw,jisifu mwenyewe teh teh teh! Mbona sioni tatizo atii. MMU watu watulie bwana watupe vitu roho inafurahiaJamani punguzeni matusi muwe na hofu ya mungu usilazimishe heshima humu jf ambapo hakuna atakayekusaidia chochote zaid ya kukusifia tuu lkn kama ni njaa zako zitabaki palepale ingekua unasifiwa sifa zikiambatana na hundi hapo hata mimi ningekesha nikitafuta sifa daily humu tupambane na maisha tuu tuache mabishano ambayo ni tijaless
MMU watu hawatumwi huja wenyewe[emoji1] [emoji1] [emoji1] usiwazibe mdomo waache waongee ,mbona wewe umeongea tumekusikiliza na wachache tumekubaliana naweKuna mtu kakwambia hapambani na maisha yake hapa?
Then umejuaje kama haya mabishano ni tijaless?
Umetumwa?
Ha ha ha ha ha ha ha. My ribsSie wengine tunatembea uchi?
Unaheshima kubwa sana hapa jukwaani tangu kitambo... Huyu itakuwa kajiunga juzi hakufaham vyema! Kura YANGU kwako[emoji123] [emoji123]Sie wengine tunatembea uchi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daahSie wengine tunatembea uchi?