joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,054
- Thread starter
- #61
OkaySorry, I have no time for that and am not here for debate.hayo ndo maoni yangu, period!
Sent using Jamii Forums mobile app
OkaySorry, I have no time for that and am not here for debate.hayo ndo maoni yangu, period!
Sent using Jamii Forums mobile app
wachawi tunajuanaKumbe wewe nchawi unawaza kama mimi
Point noted brother.Usibishane na mjinga ukitaka kumuelimisha wewe mwambie ukweli, alafu muache abwate akimaliza ananyamaza baada ya muda atafikilia akilini mwake akiwa peke yake,ukibishana nae unampa sifa.
Nakuheshimu wewe ila sijiheshimu bali naheshimikawewe hujiheshimu mkuu?
Jamani punguzeni matusi muwe na hofu ya mungu usilazimishe heshima humu jf ambapo hakuna atakayekusaidia chochote zaid ya kukusifia tuu lkn kama ni njaa zako zitabaki palepale ingekua unasifiwa sifa zikiambatana na hundi hapo hata mimi ningekesha nikitafuta sifa daily humu tupambane na maisha tuu tuache mabishano ambayo ni tijaless
Kuna mtu kakwambia hapambani na maisha yake hapa?Jamani punguzeni matusi muwe na hofu ya mungu usilazimishe heshima humu jf ambapo hakuna atakayekusaidia chochote zaid ya kukusifia tuu lkn kama ni njaa zako zitabaki palepale ingekua unasifiwa sifa zikiambatana na hundi hapo hata mimi ningekesha nikitafuta sifa daily humu tupambane na maisha tuu tuache mabishano ambayo ni tijaless
Nawashauri wadada ambao wanabishana na machaguo yako nawashauri hiviii tusitafute sifa jf hazina tija kiujumla ukipewa sifa jf hazikusaidii chochote haibadilishi hata picha ya maisha yako tupambane na maisha yetu sifa tupeleke kwa waume zetu wapenzi na familia kiujumla hao ndio wanaotakiwa kujua kama wewe unajiheshimu au vipiKuna mtu kakwambia hapambani na maisha yake hapa?
Then umejuaje kama haya mabishano ni tijaless?
Umetumwa?
Nimekukosesha nini tena baba?
Miss changa* hayupo[emoji5] [emoji5]Hello ladies and gentlemen. It is my hope that you're doing good na mnaendelea vizuri katika kupambana na hali zenu.
Baada ya salaam kwa lugha ya malkia ambayo wengi wetu huwa tunaibahatisha ningependa kuwaongelea hawa wanawake wafuatao;
GENIVEROS.
-Ni mwanamke anayetambua sana.
- Ana mawazo mazuri na yenye kujenga(Constructive ideas)
- Ni mwanamke ambaye hajui kununa wala kumtukana mtu.
-Anajiheshimu sana kwa sababu sijawahi kuona anatoa matusi hata kama amekwazika.
CHAKORII
- Anajiheshimu kupita kiasi.
- Anapenda amani sana yani siyo mtu wa ugomvi ugomvi usiyo kuwa na maana.
- Mwanamke mchapa kazi
- Anajitambua sana katika nyanja mbalimbali za kimaisha.
- Anapenda utani sana yani mkikutana hautachoka kukaa nae utatamani muda wote muwe wote.
- Ana mawazo mazuri na yenye kujenga.
HEAVEN SENT
-Huyu ni mcha MUNGU sana na ana uelewa mpana na mkubwa kuhusu masuala ya kidini.
- Ni mwanamke mwenye akili kubwa sana siyo wa mchezo mchezo hauhitaji kutumia miscrope kujua uwezo wake ila fuatilia comment zake tu.
- Pamoja na akili kubwa na hekima ni mwanamke mwenye mawazo mazuri sana yaliyojaa busara na hekima ndani yake.
- Anajiheshimu na anajitambua sana. Hapa ndiyo ile wanasema ukimjua Mungu ni mwanzo wa hekima na maarifa.
Kama una kitu kingine cha kuongezea unakaribishwa sana kuchangia.
Cc: geniveros
Cc: Chakorii
Cc: Heaven Sent