Wanawake wanaojiheshimu na kujitambua MMU

Hao ni kipenda roho chako na unawajua maybe phisicaly na mnamahusiano ya karibu. Sasa unavyokuja na mjumuisho hapa wanawake wa MMU sijakuelewa hebu fafanua umetujuaje wote?Au kupitia comments
I think alikosea tu kutokusema kuwa hiyo ni kwa namna alivyoona yeye sio mawazo ya watu wote.
Maana sometimes kujudge mtu huwa tunaona tofauti. Lakini mwishoni kasema unaweza kusema nawe uonavyo.
 
MMU watu hawatumwi huja wenyewe[emoji1] [emoji1] [emoji1] usiwazibe mdomo waache waongee ,mbona wewe umeongea tumekusikiliza na wachache tumekubaliana nawe

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani kila mtu yuko huru kuchangia humu na huwezi lazimisha watu wawe na mtazamo mmoja, cha msingi tunaelimishana tu. Kusifiana au kupondana kupo tu kutokana na namna mtu anavyokuona. Kwahiyo kama una opinion tofauti na mtoa mada si unautoa tu!!!
 
Jamani kila mtu yuko huru kuchangia humu na huwezi lazimisha watu wawe na mtazamo mmoja, cha msingi tunaelimishana tu. Kusifiana au kupondana kupo tu kutokana na namna mtu anavyokuona. Kwahiyo kama una oppenion tofauti na mtoa mada si unautoa tu!!!
Haswaa hicho ndicho kilichotuleta kwenye social media,socialization ndio msingi Mkuu!! Huyu kama alikua hataki kupingwa angebaki na Uzi wake kwenye akili yake lakini akishauweka hapa tu atapingwa,atakubaliwa na atakosolewa. Hapa ni sehemu huru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dada Heaven Sent pia namkubali saana,ana busara saana,hana matusi wala makuu.nawashauri wanawake wengine jamii za Miss Natafuta mjifunze kwa Heaven Sent
Ujue mambo haya bwana ni magumu sana kila mmoja anajiheshimu kwa namna yake anavyojua haimaanishi labda kuongea lugha nzuri nyepesi ndio kujiheshimu au kuongea lugha nzito ni kutojiheshimu hapana neno kujiheshimu lina wigo mpana sana huwezi kumsoma mtu vizuri ktk maandishi kuna ku pretend pia kupretend kwenye maandishi ni rahisi sana haimaanishi waandishi wa vitabu au makala za kijamii wataandika mambo yanayoendana na tabia zao hapana wanaandika vitu ambavyo vinawavutia watu kama ni cha maadili basi atazama ktk maadili kwenye uandishi wake kwa kuwa anajua kipi jamii inapenda kipi haipendi sio kwamba mwandishi akiandika maadili kwenye kitabu basi ndio na yeye ana maadili sana kwahiyo usijaj watu kwa covers hata ambao unawaona wanaandika ujinga humu siku ukiongea nao au ukawakuta ktka maisha yao ya kawaida utashangaa wako bright wanaweza hata wakabadili maisha yako Sio kila wasemao bwana, bwana watauona ufalme wa mbigu
 
Sawa mkuu,ila kumbuka character yako ni rahisi saana kuwa expressed kupitia maadish yako.huyu member nmemfuatilia kabla sijajiunga JF,yaan nkiwa naingia na kusoma kama GUEST.Hata baada ya kujiunga mwaka 2015 kama official member,nkazid kufuatilia comments zake katika thread tofauti tofaut,nka appreciate kuwa ana kitu cha ziada.Na sina hakika kama mtu anaweza kupretend siku zote humu ndani,kuwa na lugha za kukera watu ili iweje? na kwa manufaa yapi? Ila nacho amini kuwa huo ndo uhalisia wa mtu.nakusihi hata wewe mfatilie huyu member Heaven Sent na ujifunze kwake.
 
Mimi nimejifunza sana hata kupitia jamii inayonizunguka huwezi kuwafananisha watu
 
Sawa mkuu,ila kumbuka character yako ni rahisi saana kuwa expressed kupitia maadish yako.huyu member nmemfuatilia kabla sijajiunga JF,yaan nkiwa naingia na kusoma kama GUEST.Hata baada ya kujiunga mwaka 2015 kama official member,nkazid kufuatilia comments zake katika thread tofauti tofaut,nka appreciate kuwa ana kitu cha ziada.Na sina hakika kama mtu anaweza kupretend siku zote humu ndani,kuwa na lugha za kukera watu ili iweje? na kwa manufaa yapi? Ila nacho amini kuwa huo ndo uhalisia wa mtu.nakusihi hata wewe mfatilie huyu member Heaven Sent na ujifunze kwake.
Uko sawa mkuu.
 
HEAVEN SENT.... je vais bien

Hatuwezi wote kuishi kwa style moja kila mmoja alivyo ndivyo alivyo ulivyo wewe ni unique huwezi kumpata wewe mwingine popote kuna mwingine watasema ni kama wewe lkn kuna vitu tuu mtapishana hamuwez kufanana typically hata identical twins huwa wanafanana sura zaidi kuliko tabia
 
hahahahahhahaha !
SO KWA KUWA WENGINE HAWAKUHESHIMU WEWE BASI HAJAJIHESHIMU WAO!

na heshima ni NINI KWANZA?
 
Umejuaje ni wanawake.? Yaan kumbe watu wanakubali kuonana nje ya jf??
 
Back
Top Bottom