joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,054
Hello ladies and gentlemen. It is my hope that you're doing good na mnaendelea vizuri katika kupambana na hali zenu.
Baada ya salaam kwa lugha ya malkia ambayo wengi wetu huwa tunaibahatisha ningependa kuwaongelea hawa wanawake wafuatao;
GENIVEROS.
-Ni mwanamke anayetambua sana.
- Ana mawazo mazuri na yenye kujenga(Constructive ideas)
- Ni mwanamke ambaye hajui kununa wala kumtukana mtu.
-Anajiheshimu sana kwa sababu sijawahi kuona anatoa matusi hata kama amekwazika.
CHAKORII
- Anajiheshimu kupita kiasi.
- Anapenda amani sana yani siyo mtu wa ugomvi ugomvi usiyo kuwa na maana.
- Mwanamke mchapa kazi
- Anajitambua sana katika nyanja mbalimbali za kimaisha.
- Anapenda utani sana yani mkikutana hautachoka kukaa nae utatamani muda wote muwe wote.
- Ana mawazo mazuri na yenye kujenga.
HEAVEN SENT
-Huyu ni mcha MUNGU sana na ana uelewa mpana na mkubwa kuhusu masuala ya kidini.
- Ni mwanamke mwenye akili kubwa sana siyo wa mchezo mchezo hauhitaji kutumia miscrope kujua uwezo wake ila fuatilia comment zake tu.
- Pamoja na akili kubwa na hekima ni mwanamke mwenye mawazo mazuri sana yaliyojaa busara na hekima ndani yake.
- Anajiheshimu na anajitambua sana. Hapa ndiyo ile wanasema ukimjua Mungu ni mwanzo wa hekima na maarifa.
Kama una kitu kingine cha kuongezea unakaribishwa sana kuchangia.
Cc: geniveros
Cc: Chakorii
Cc: Heaven Sent