Wanawake wanaojiheshimu na kujitambua MMU

Wanawake wanaojiheshimu na kujitambua MMU

Tatizo nini wewe binti mbona unapenda drama sana.

Miss Natafuta ni mwanamke Anajiheshimu dunia nzima umefurahi?
sio drama mkuu mimi najiheshimu hata wewe unaniheshimu.kuheshimu wengine ndo hapo kuna watu siwaheshimu kwa sababu flani flani
 
sio drama mkuu mimi najiheshimu hata wewe unaniheshimu.kuheshimu wengine ndo hapo kuna watu siwaheshimu kwa sababu flani flani
Tatizo lako mkiu unapenda ukali na ubabe kama Simba mwenye njaa ya siku saba
 
kama kuna watu navutiwa nao jf ni wewe yaani una style yako flani hivi amaizing. fataki si fataki,basi tu.silent unajinyakulia kimwana.hapa mada tofauti we ushakuaja na yako ahahaaa
asante miss , nakupenda sana ujue.
but kajojo namkubali kitambo sana. nataka apate my aatention tu .
 
Back
Top Bottom