Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
🤣🤣🤣Hii nimecheka sn..dizaini km umesusa hivi,akija atakuta manyoya,ndege kaliwa
🤣🤣🤣Hii nimecheka sn..dizaini km umesusa hivi,akija atakuta manyoya,ndege kaliwa
MsambaaAlikuwa mtoto wa kibondei/kisambaa au kidigo?
Kuna muda hesabu hazikai si unajua hizi biashara ni ngumuUlikua upeleki Hesabu
Sasa hiyo hesabu yenyewe ataitoa wapi na alikuwa anaishia kunyonywa mbupu tu mchezo imekwishaUlikua upeleki Hesabu
Mh hao uliomention malofa tu hamna chochote kama hao wasafisha kucha wanadharaulika Sana na mademWasaf
Wasafisha kucha na waha wanaokopesha vyombo vya majumbani
Kunywa juice ya miwa nakuja kulipaAcha tu. Imefikia hatua mtu akikuona unatembea anahisi huna hela ya bodaboda. Wengine kutembea ni mazoezi na ni hobby lakini utakavyosumbuliwa na watoa lift, huwa hawaamini kama kuna mwanamke anatembea kwa hiari yake. Unawahakikishia kwamba huna shida lakini watakulazimisha wakupe lift. Wanakuambia mtu kama wewe sio wakutembea. Wtf???
Wanawake wenzangu tusipende kukaa kizembe tutembee na kufanya mazoezi ili kuepusha magonjwa. Finale uzeeni, kisukari presha nk. kisikie kwa mwenzio.
Haina onyo hiyo mzee, mwanamke akianza hayo mambo usimuonee huruma mwache aende kwa wahuni wenzie.Duh yaani straight red kabisa 🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bodaboda kazi zao sijawai sikia wakilalama maisha magumu ,,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanajua siri za wake za watu kila kona na mitaa wanaijua sijui wanalala saa ngapi 11 wapo macho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dr una nini wee? Hebu muache wifi ale pesa zako, tena umtafutie boda wake kabisaa.Ndy maana siku hizi unaweza ukapiga nae shoo kimoja Tu,anahema utadhani amepandisha mlima. kutoushughulishisha mwili inachangia
Au nasema uongo cocastic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mahondaw kuna ujumbe wenu huku[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] nimecheka Sana hii comment
Karucee njoo huku mara moja uje uniambie unapenda bodaboda au wewe ni mtu wa mazoezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaa... yanii kama mie nilivo mvivu kutembea sasa uuwiiiiiii!!!!
Umemalizaaaaah.Jamii ya sasa kwa ujumla kizazi cha wakati huu chote kimekua na uvivu, sio kwenye boda boda tu hata kwenye dala dala
Kituo hapa hadi pale mtu yupo radhi atoe 300 apande daladala,wakazi wa Dar mtu anapanda daladala Kimara Mwisho
anaenda kushukia Stop Over, au Mtu anapanda Kimara suka Anaenda shukia Temboni sehemu ambazo ukisema unatembea
hata dk 10 humalizi, sishangai watu kuumwa magonjwa yasio na kichwa wala miguu kwasababu ya kutotaka ishughulisha miguu yetu.
Ila nimeandika yoteeee, mimi ni nambari 1 kupanda hiz boda sehemu ya kwenda kwa miguu,mjue sazngine boda inawahisha mambo,dala dala kadhalika Ki ufupi ulimwengu wa sasa watu tunajali MUDA bana eboooo..
Halafu nyie wadada wapanda boda boda mimi nawashukuru maana heri yenu,kuna wale majini wana aleji na boda boda wao ni UBER tu..
Mkuuu usiombe ukutane na majini UBER bwana bwana bwana , ana App zote za online transport mzeee kuanzia UBER,BOLT hao viumbe ukikutana naoooooooo Mkuu hao wanaenda sokoni kwa uber TU..
Anakaa Makumbusho sokoni anaenda manzese chezea wewe.. anakwambia anarahisisha mizunguko ataptia kabisa na saloon kuosha nywele kubandka kucha kwa Athanas mambo kede kedeee.
Sema nini Mkuu, Mtafutie mpenzi/mke wako biashara ili hela ya boda awe anaitoa mwenyewe kupitia biashara yake Hata akitaka kwenda kariakoo na Ndege shauri lake si hela yake mwenyewe. Hela yako jibaneeeeeee Mfungulie kitu apendacho cha kumpa hizo hela za Boda Boda. Mengine achana nayo maana hawachungiki hao wala hawazuiliki n waamue tu wenyewe kubadilika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bodaboda wake anamletea mke/demu wako mbooooo-ga nyumbani kwako wakati wewe upo kazini.
Akitaka kuondoka anamwambia kikiiva unistue nije kula na kweli kinaiva anaambiwa aje kula wakati wewe haupo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wasaf
Wasafisha kucha na waha wanaokopesha vyombo vya majumbani
[emoji23][emoji23][emoji23]kweli kabisaMbona wanakula hela za wanaume [emoji1][emoji1]hakuna hela ya mwanamke inaliwa hapo, ingekuwa wanalipa wao wasingethubutu kuendekeza huo ujinga