Wanawake wanamaliza sana hela Kwa bodaboda

Wanawake wanamaliza sana hela Kwa bodaboda

Bodaboda wale wapi sasa??

Acha roho mbaya, anaetoa hela ni mwanamke we kinakuuma nini??.

#k-vant ndo imeongea sio mimi.
 
MBOOOOO-GA inaletwa ndani kwako na bodaboda!!!! Cha ajabu hawa jamaa sio kwamba wanalipwa kwa trip ,huwa wanapigishwa misele mchana kutwa then malipo anakadiriwa na anaridhika tu!! Ila anajua kuwa akishambeba mkeo/demu wako trip kadhaa tu za kujifanya lofa anaanza kumchombeza apewe mzigo.

Kimaskhara tu anapewa na anakula, we ile mikumbato ya kwenye boda halafu wasiwale tu hao maduu???unamkuta demu kabinua kiuno huku kamkumbatia boda...matiti yanamchomachoma mgongoni
 
Kweli ila ndo biashara zilivyo na ajira ya vijana wengi hio
 
Dah inauma sana, Mimi mwenza wangu amegoma kabisa kuachana na boda boda wake. Nilijaribu kumpiga marufuku ku deal nae majibu nilioishaia kuyapata ni kuwa ilo jambo haliwezakani kabisa. Hapa nilipo sijui hata nichukue uamuzi gani kwa kweli.
 
daaah pole mkuu
 
Duh..20k Kama anasafiri mkoani? Huyo kazidi asee
Mzee alafu bahili balaa Sjui hashtuki maana hapiki asubuh anamtuma kitafunwa mchana jion hvyo hvyo haya kwenye kipindi darasani bodaboda akitoka bodaboda anaenda kulewa mjini nauli 15'000 siku akasema Yani hela yote Mimi inaishia kwenye bodaboda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Ajitafakari huyo..njia siyo sahihi,ana matumizi mabovu kupindukia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom