makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,522
- 108,716
Sasa binamu kwani msiowajua ndio watawaangusha. [emoji23]Acha hizo binamu. Unataka tupande bodaboda za tusiowajua watuangushe??
Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
Sasa binamu kwani msiowajua ndio watawaangusha. [emoji23]Acha hizo binamu. Unataka tupande bodaboda za tusiowajua watuangushe??
Itakuwa haumo kwenye kundi hilo, lazima ushangae.Kwamba?
Sawa SHEMEJI.Kama mwanamke anakwambia nina "bodaboda wangu na wewe mwanaume tafuta nina "mama ntilie wangu" ili ubalance mkuu
Yote 9, 10 njmekumiss binamu yangu, binamu ze Meat of ze appetite.Acha hizo binamu. Unataka tupande bodaboda za tusiowajua watuangushe??
Mwili ufanyishwe zoezi wote.Siyo sehemu fulani tu mkuu!😝😝😝😝zoezi la kule naniliu linatosha haya ya kukimbia/kutembea tunawaachia nyie
mkuu kule viungo vyote vinaexercise mbonaMwili ufanyishwe zoezi wote.Siyo sehemu fulani tu mkuu![emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
"Bodaboda wangu"....Unakuta mtu anataka aende sokoni,umbali hauzidi hata dakika 15 anampigia bodaboda aje amfuate na baadae amrudishe
Kutoka kituo cha daladala Hadi home dakika kadhaa tu,wikiend anakuja ghetto kufua nguo([emoji39][emoji39]), unashangaa anakupigia simu 'nimeshafika getini njoo ufungue'..unachungulia dirishani unaona bodaboda anamshusha kisha anachukua buku lake anasepa
Siku hizi Wamekuja na staili ya 'bodaboda wangu'
Anampigia muuza chipsi anamwambia niwekee chipsi Yai kisha funga kuna mtu atafuata,mara bodaboda huyoo analeta mzigo home kisha anachukua chake anaishia zake
Wengine Hadi sokoni hawaendi tena siku hizi.Wanatuma bodaboda wanamaliza kila kitu kisha anafikisha mzigo home
Ukitembea nae mwendo mdogo tu anaweza kukuharibia siku Kwa jinsi atakavyokupandisha hasira.Utasikia 'me nimechoka kutembea bana tupande boda'..unamjibu mbona tumefika Tyr si pale tu,ananuna!!
Bodaboda wanakula hela za wanawake kama wachungaji wa mwendo kasi.
Kwa nini hamna huruma na hela?
Huku tunakoelekea mtakuja kutuambia tuache na bajeti ya bodaboda mezani Kwa mwendo huu mnaoenda nao
Mmekuwa wavivu mno!!
Ulikua upeleki HesabuNilishawahi kuwa bodaboda mitaa ya tanga kuna sister huwa namchukuaga kila siku mitaa ya somaia siku moja saa moja akaniambia nimpeleke mitaa ya forodhani kufika hana hela akaniambia basi kaka nikunyonye mboo nikakubali tukashuka kule chini baharini akaninyonya mara nikasikia ananiambia na jirani anataka yaani puru anamanisha nikamaliza yangu nikasepa
Boda boda oyee ile kazi niliipenda sana sema bosi aliuza pikipiki
Huyo That Gentleman si ananijua kwamba Mimi ni mpango wa kando? Ruhusa ya nini sasa[emoji3]Omba ruhusa That Gentleman
Wasafisha kucha na waha wanaokopesha vyombo vya majumbaniBodaboda, wauza chipsi, wauza magenge, duka na mabucha, madereva wa daladala, ni kazi ambazo mwanaume ukiwa mzinzi unawagegeda kifala saana vibinti, wadada na wamama.
Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
Punguza mwili huo mamii..achana na bodaboda 😀Hahahaaa... yanii kama mie nilivo mvivu kutembea sasa uuwiiiiiii!!!!
Utakuwa Kijana wa Bosnia weweNilishawahi kuwa bodaboda mitaa ya tanga kuna sister huwa namchukuaga kila siku mitaa ya somaia siku moja saa moja akaniambia nimpeleke mitaa ya forodhani kufika hana hela akaniambia basi kaka nikunyonye mboo nikakubali tukashuka kule chini baharini akaninyonya mara nikasikia ananiambia na jirani anataka yaani puru anamanisha nikamaliza yangu nikasepa
Boda boda oyee ile kazi niliipenda sana sema bosi aliuza pikipiki
Alikuwa mtoto wa kibondei/kisambaa au kidigo?Nilishawahi kuwa bodaboda mitaa ya tanga kuna sister huwa namchukuaga kila siku mitaa ya somaia siku moja saa moja akaniambia nimpeleke mitaa ya forodhani kufika hana hela akaniambia basi kaka nikunyonye mboo nikakubali tukashuka kule chini baharini akaninyonya mara nikasikia ananiambia na jirani anataka yaani puru anamanisha nikamaliza yangu nikasepa
Boda boda oyee ile kazi niliipenda sana sema bosi aliuza pikipiki
Kabisa yani! ✌️Punguza mwili huo mamii..achana na bodaboda 😀
Duh yaani straight red kabisa 🤣🤣🤣🤣Niliachana na mwanamke kisa mambo hayohayo ya bodaboda wangu, mara bajaj wangu. Nikampa red card.
Kwanza hajaonekana mpaka muda huu tuendelee tu na yetu.Huyo That Gentleman si ananijua kwamba Mimi ni mpango wa kando? Ruhusa ya nini sasa[emoji3]
Ukisikia hivyo maana'ake unasaidiwa🙄..Siku hizi Wamekuja na staili ya 'bodaboda wangu'
Hii nimecheka sn..dizaini km umesusa hivi,akija atakuta manyoya,ndege kaliwaKwanza hajaonekana mpaka muda huu tuendelee tu na yetu.